Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

Acha ujinga, jenga nyumba yako acha kupigia kelele nyumba za wenzio, unajua gharama ya ujenzi wewe. Me natoa vitu vyako nje na makofi nakupiga unadhani nyumba ni matako.
Muache ajitoe akili kwenye nyumba za watu hataki shida ajenge au atulie kwao kwa wazazi🤣🤣
 
Kama utakuwa ulipitia maisha ya kupanga kabla hujawa Baba mwenye nyumba hopefully utakuwa na uzoefu na changamoto.

Binafsi nina wapangaji 8, kuna wanaolipa kabla hujawakumbusha na kuna wengine una wakumbusha zaidi ya mara 5 lakini wamekuwa wakitoa ahadi tu pasipo kutimiza.

Kuna mmoja haja ana miezi 4 hajalipa, nasubiria ifike miezi 6 nimtoe kwa nguvu.

Yaani pamoja na kuwajali kwa kuwavutia Maji, Luku yao lakini bado Kodi yenyewe naipata kwa shida.

NB; Nikiambiwa kuchagua biashara ya kufanya hii ya kupangisha sio biashara kabisa, biashara gani hela yako ya mtaji inarudi baada ya miaka 11 [emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli mkuu shida tupu na bado hapo hapo hela yako kupata mpaka utumie nguvu.
 
huko huko chitoholi, Siyo Kwa mtu anayejitambua.

Nitolee vitu vyangu uone ntakuvyo kufanya ujinyeee na hela ambazo utanilipa.

niko radhi hela niipoteze mahakamani siyo kulipa
Wewe jifanye sababu upo nyuma ya keyboard hivi wale maboss waliotolewa vitu NHC unawajua ? Wewe ni Nani usitolewe vitu nje wakati hulipi hela ya pango ulisaidia hata Pesa ya tofali kwenye hio nyumba au umeona nyumba ni ya baba yako unakaa tu bure ? Endelea kujifanya utalala nje siku moja
 
Muache ajitoe akili kwenye nyumba za watu hataki shida ajenge au atulie kwao kwa wazazi🤣🤣
Ukiona mpangaji hana uwezo mwambie akulipe kila mwezi, hakuna sehemu wanalipa mshahara wa miezi mitatu, sita au mwaka.

Kikubwa zaidi kama siyo apartment usiishi kwa kutegemea kodi, tafuta kazi ya kufanya kodi iwe ni ziada tu, tena Mimi kodi inakuwaga ndio pesa yangu ya kulewea.
 
Nimegundua kuwa wewe ni mfuasi wangu na umenifollow ili kila ninachopost uje upinge.

Najisikia fahari kuwa role model wako.Ila nakerwa na jambo moja tu.

Kunitingishia matter col na kunitega, hilo nachukizwa kwasababu bado una nguvu za kufanya kazi ila hutaki
Mfuasi wa nyoko
Usitoke nje ya mada kesi yetu haijaisha.

Panga kwenye nyumba yangu halafu usilipe kodi uone, nauza mpaka chupi za mkeo kufidia deni langu lofa we.
 
Habarini Wanajamvi,

Kuna mpangaji wangu ni msumbufu balaa kulipa kodi anasumbua (ana deni la miezi 2) na bill ya maji ndiyo kabisa hajisumbui.

Naombeni msaada jinsi ya kudeal na wapangaji wasumbufu kama hawa maana nataka nishike hata mali yake moja ya gharama asije akahama usiku usiku.

Asanteni, nasubiri ushauri wenu
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ Oya usitusumbue yaani kodi ya miezi 2 unaanza kufikiria kukamata mališŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ ninamashaka hii ni chai ungekua mwenye nyumba kweli ungeshajua cha kufanya. Ongeza chai kwenye sukari
 
Wewe jifanye sababu upo nyuma ya keyboard hivi wale maboss waliotolewa vitu NHC unawajua ? Wewe ni Nani usitolewe vitu nje wakati hulipi hela ya pango ulisaidia hata Pesa ya tofali kwenye hio nyumba au umeona nyumba ni ya baba yako unakaa tu bure ? Endelea kujifanya utalala nje siku moja
Wale wanatolewa vitu nje kisheria baada ya kutumiwa demand note.

Halafu wanaotumika kutowa vitu nje ni madalali wa mahakama kama Yono, in short huna pa kukimbilia.

Taasisi zote kubwa zina kitengo cha legal, wanasheria wanalipwa pesa kwa kazi hiyo, kila kinachofanywa na taasisi kinafanyika baada ya legal advice.
 
Ukiona mpangaji hana uwezo mwambie akulipe kila mwezi, hakuna sehemu wanalipa mshahara wa miezi mitatu, sita au mwaka.

Kikubwa zaidi kama siyo apartment usiishi kwa kutegemea kodi, tafuta kazi ya kufanya kodi iwe ni ziada tu, tena Mimi kodi inakuwaga ndio pesa yangu ya kulewea.
Kama hakuna mshahara wa miezi3 nenda kajenge nyumba YAKO tusisumbuane, utalipa miezi3 au sita hutaki siyo lazima jenga YAKO. Au wewe unayo umepangisha unaweza FANYA hivyo wakulipe mwezi ILA wenye nyumba wengi hawawezi kufanya hiyo biashara kichaa
 
We Jamaa upo na akili SAna
 
Kama hakuna mshahara wa miezi3 nenda kajenge nyumba YAKO tusisumbuane, utalipa miezi3 au sita hutaki siyo lazima jenga YAKO. Au wewe unayo umepangisha unaweza FANYA hivyo wakulipe mwezi ILA wenye nyumba wengi hawawezi kufanya hiyo biashara kichaa
Tafuta Ajira au Biashara rasmi yaani elfu 90k ndo unalalamika kuwa hujalipwa acha upumbavu ,watz mnaishi Maisha ya hovyo Sana. ...ukitoa vitu vyake nje hakikisha unaandaa mtu wa kukutoa magereza.
 
Watu mnaomiliki nyumba za urithi ni wapumbavu Sana Mfano wa mtoa mada hizi nyumba zenu mbovu za temeke uswahilini chafu chafu siwezi kukulipa Kodi miezi mitatu , unabidi kulipwa mwezi mmoja au miwili huwezi kukaa Sehemu ya hovyo then unategemea hela zetu ili kuishi .

Jenga nyumba ya Maana Sehemu nzuri tafuta wapangaji wenye vipato vikubwa uwapangishe
 
Tafuta Ajira au Biashara rasmi yaani elfu 90k ndo unalalamika kuwa hujalipwa acha upumbavu ,watz mnaishi Maisha ya hovyo Sana. ...ukitoa vitu vyake nje hakikisha unaandaa mtu wa kukutoa magereza.
Wewe ndo mpumbavu nionyeshe sehemu niliyosema nalalamika sababu sijalipwa 90k uone ulivyo mpumbavu
 
Watu mnaomiliki nyumba za urithi ni wapumbavu Sana Mfano wa mtoa mada hizi nyumba zenu mbovu za temeke uswahilini chafu chafu siwezi kukulipa Kodi miezi mitatu , unabidi kulipwa mwezi mmoja au miwili huwezi kukaa Sehemu ya hovyo then unategemea hela zetu ili kuishi .

Jenga nyumba ya Maana Sehemu nzuri tafuta wapangaji wenye vipato vikubwa uwapangishe
Huwezi kulipa kodi ya miezi3 kaa kwa baba yakoo usitusumbue wewe kama mwanaume nenda kajenge
 
A
Yanafanywa kila siku naona, unapigiwa simu upokei, miezi3 inakatika simu unazima unakimbia kimbia tunatoa vitu chini ya uongozi na huna utachofanya, utaenda chukua vitu vyako serikali ya mtaa
Anaponyata malaika,mpumbavu hutembea kwa kishindo.Ukifanya hivyo,subiri sheria ikunyooshe,ili uwe balozi kwa wengine.
 
We Jamaa upo na akili SAna.
There is no permanent situation in our life.

Ishi na watu vizuri, shida zina tabia ya kukutanisha na watu ambao hukuwatendea vyema.

Kuna Ninja mmoja ameishi kwangu sasa hivi ana mawe na connection za kufa mtu, ana mjengo wake wa ghorofa na ana Kampuni yake, Jana tu katoka kunitembelea na kanitowa na pocket money juu.

Makonda aliwahi kumdhalilisha Chongoro hadharani, sasa hivi Makonda ni jobless kabaki na mitako yake tu na Chongolo ndio Katibu mkuu wa CCM.
 
Back
Top Bottom