Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

HAO MKUU WAPO. UNAMFANYA KAMA FAMILIA YAKO. HATUNA SHIDA MPANGAJI ANAKUJA ANAKWAMBIA NDUGU YANGU MOJA MBILI TATU HALI YANGU SIYO KIUKWELI MTU KAJA KWA UNYENYEKEVU ANAOMBA MSAADA HUYO HATA KAMA NI MIEZI4 KAJA KUNIPA TAARIFA NA NAJUA HALI ANAYOPITIA ATAENDELEA KUKAA.

UNPIGIWA SIMU UPOKEI MARA UNAZIMA, MARA UNARUDI USIKU KAMA ZOMBI UTAKI KUONYESHA UTU TUNAKUFANYIA UNYAMA TU UNATOKA UTAKE USITAKE
Sahihi Mkuu
 
Na hiki ndo nachokifahamu, unaenda KWA mjumbe chini ya uongozi ya serikali vitu vinatolewa au kitasa kinabadilishwa siyo mtu ananiambia ety sheria inasema nimuache miezi3 halafu hakutafuti simu apokei hizo sheria kweli ndugu yangu?
We nae unaropoka km umekatwa kichwa ! Ushaambiwa sheria ndio inasema ivo we bado umekaza kichwa hutaki kuelewa
 
Sahihi Mkuu
Sheria ya ardhi vifungu vya 78 na 79 inatambua mikataba ya upangaji ya muda mrefu na vipindi vifupi. Inatambua pango la wiki, mwezi, miezi, mwaka na miaka. Imetoa uhuru kwa wahusika wenyewe kuamua ni muda gani wangependa kuingia mkataba.
3. NOTISI YA KUONDOKA.
Katika vitu muhimu sana katika suala la pango ni notisi ya kuondoka au kuondolewa katika pango. Jambo la kuzingatia awali kabisa ni kuwa notisi hii ni muhimu pande zote mbili. Upande wa mwenye nyumba na upande wa mpangaji. Kila mmoja kwa nafasi yake anawajibika kutoa notisi kwa mwenzake panapo mahitaji ya kuondoka au kuondolewa.
Ikumbukwe notisi si kwa ajili tu ya kuondoka na kuondolewa bali pia hutakiwa yanapotokea mabadiliko yoyote katika masharti ya mkataba. Hii ina maana hata kuongeza kodi, kupanga kukagua nyumba, kufanya marekebisho n.k. notisi yafaa itolewe.
4. NOTISI NI YA MUDA GANI.
Sheria haikutamka moja kwa moja notisi ya kuondoka au kuondolewa iwe ya muda gani. Kinachohitajika na cha lazima ni kuhakikisha notisi inatolewa lakini pia inatolewa katika muda unaokadirika na kuingia akilini( reasonable ).
 
Hii Imekaa vizuri, muhimu kushirikishana kwenye kuhama au kuondoshwa.

Kuna baadhi ya wapangaji huondoka bila taarifa saa 8 za usiku, kumbe hili huwa ni kosa🙌
 
Hii Imekaa vizuri, muhimu kushirikishana kwenye kuhama au kuondoshwa.

Kuna baadhi ya wapangaji huondoka bila taarifa saa 8 za usiku, kumbe hili huwa ni kosa🙌
Halafu kuna mapumbavu hapo juu yanakwambia sheria ni miezi3 yamekaa yamekadanganyana kwenye kahawa.
Halafu yanajifanya majuaji kweli. Sheria haijataja muda specific nimewaambia waniletee sheria inayosema miezi3 unampa MPANGAJI naona kimya
 
Unataka mwenzio badala ya kulipwa yeye, amlipe yeye mpangaji, mdanganye tyuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nyumba yako inaloloma hapa.
Kwangu mpangaji angejikuta serikali za mitaa.
 
Habarini Wanajamvi,

Kuna mpangaji wangu ni msumbufu balaa kulipa kodi anasumbua (ana deni la miezi 2) na bill ya maji ndiyo kabisa hajisumbui.

Naombeni msaada jinsi ya kudeal na wapangaji wasumbufu kama hawa maana nataka nishike hata mali yake moja ya gharama asije akahama usiku usiku.

Asanteni, nasubiri ushauri wenu
Kwani mkataba wenu unasemaje?
 
Mkatie Umeme
 
Tumia ustaarabu pesa inasumbua Sana ndugu ukiona mtu anakucheleweshea kodi usifikiri ni makusudi Hali ni mbaya Sana huku mahangaikoni.

najua kuwa lazima atakuwa anakufikiria sana kwa kuwa kipao mbele chake au Cha mtu yeyote kwenye maisha haya ni sehemu ya kulaza mbavu.

Jaribu kumsikiliza na kumuelewa miezi 2 sio mingi kabisa kwa sisi watafutaji mpe muda hata Kama atakutoroka muache aende punguza roho mbaya nae hana Kama wewe ambavyo huna unamkomalia.
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Habarini Wanajamvi,

Kuna mpangaji wangu ni msumbufu balaa kulipa kodi anasumbua (ana deni la miezi 2) na bill ya maji ndiyo kabisa hajisumbui.

Naombeni msaada jinsi ya kudeal na wapangaji wasumbufu kama hawa maana nataka nishike hata mali yake moja ya gharama asije akahama usiku usiku.

Asanteni, nasubiri ushauri wenu
Tumia diplomasia. Ikifeli timua. That's business & not a church or mosque mission.
 
Angalia jamaa asije akakudhulumu Kodi yako, Kuna wapangaji Ni wasumbufu sio poa.
 
Halafu kuna mapumbavu hapo juu yanakwambia sheria ni miezi3 yamekaa yamekadanganyana kwenye kahawa.
Halafu yanajifanya majuaji kweli. Sheria haijataja muda specific nimewaambia waniletee sheria inayosema miezi3 unampa MPANGAJI naona kimya
Kwa huruma na tamadani zetu za kiswahili za kuvumiliana,wavamizi tumeigeuza kama sheria na haki yetu.
 
Kwa huruma na tamadani zetu za kiswahili za kuvumiliana,wavamizi tumeigeuza kama sheria na haki yetu.
HAO WOTE WAPUMBAVU HAKUNA SHERIA YA MUDA SPECIFIC KAMA WANAVYODAI HAKUNA HATA MMOJA ALIYELETA HIYO SHERIA
ACHANA NAO MKUU MPANGAJI MSTAARABU UNAMSIKILIZA MPUMBAVU MPUMBAVU ANATOLEWA TENA TUNAMTOA KWA KAMA MBWA
 
Ninaweza kukupa ushauri kadhaa juu ya jinsi ya kushughulikia mpangaji msumbufu na namna ya kushikilia mali yake kama hatua za mwisho. Hapa kuna hatua unazoweza kuzingatia:

1. Wasiliana na mpangaji: Anza kwa kuzungumza na mpangaji wako kwa njia ya kirafiki na uwasilishe wasiwasi wako juu ya malipo ya kodi na bili za maji. Jaribu kuelewa sababu ya kutolipa na ongeza umuhimu wa kulipa madeni yake kwa wakati.

2. Weka maandishi: Ikiwa mazungumzo ya awali hayajazaa matunda, andika barua rasmi kwa mpangaji wako. Taja malimbikizo yake ya kodi na bili za maji na wapeleke barua hiyo kwa njia ya kuthibitika ili kuwa na rekodi ya mawasiliano.

3. Panga ratiba ya malipo: Kwa matakwa ya pande zote, unaweza kujaribu kufikia makubaliano ya kulipa madeni yake kidogo kidogo kwa muda fulani. Kwa mfano, unaweza kukubaliana kuwa anaweza kulipa nusu ya kodi na bili za maji katika kipindi cha mwezi mmoja.

4. Toa ilani ya kisheria: Ikiwa mpangaji wako haendelei kulipa au kutoshirikiana, unaweza kufikiria kutoa notisi ya kisheria. Hii inaweza kuwa notisi ya kulipa madeni ndani ya muda fulani au kuwaachisha mkataba wa kupangisha.

5. Lipa hatua za kisheria: Ikiwa mpangaji wako bado anashindwa kulipa na hajali notisi ya kisheria, unaweza kuchukua hatua zaidi za kisheria. Hii inaweza kujumuisha kufungua kesi ya kumwondoa mpangaji au kuchukua hatua zingine za kisheria zinazotolewa katika eneo lako.

6. Shikilia mali: Ikiwa hatua zote za kisheria zimeshindwa, unaweza kujaribu kushikilia mali ya mpangaji wako kama njia ya kurudisha madeni yaliyopotea. Kabla ya kufanya hivyo, hakikisha kushauriana na mwanasheria na kuzingatia sheria za eneo lako kuhusu utekelezaji wa mali.

Ni muhimu kukumbuka kwamba sheria na taratibu za kukabiliana na mpangaji msumbufu zinaweza kutofautiana kulingana na eneo lako na mikataba ya kupangisha. Ni vyema kupata ushauri wa kisheria kutoka kwa mwanasheria au mamlaka husika ili kuhakikisha kuwa unafuata taratibu sahihi.

Natumai ushauri huu utakusaidia kushughulikia hali hi

yo. Kumbuka kuwa ni muhimu kuwa na rekodi sahihi ya mawasiliano yote na kuzingatia taratibu za kisheria ili kulinda maslahi yako kama mwenye nyumba.
huruhusiwi kushika mali ya mtu kisa unadai kodi, sheria ya ardhi inasema hivyo kipengele cha 102
 
Back
Top Bottom