Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

Inategemea na location.... ila hiyo 300m ina anzisha kituo kizuri tu..... nina experience.... ukiwa na swali la ziada ni pm....
Labda niulize kwa faida ya wengine, binafsi sidhani kama nitakuja kuwahi kumiliki "sheli'. Ila kwa Dar maeneo mengi pembezoni mwa barabara kuyanunua tu ni issue.
 
Viwanja tu vinafika milioni mia,halafu mtu anakwambia milioni 200 unaanzisha
 
Habari waungwana.

Naomba kujua hatua za mwanzo jinsi ya kuanzisha kituo cha Mafuta, gharama na utaratibu wote kuanzia namna ya kupata matenki pamoja na mashine zake. Na ni wapi naweza kupata vifaa hivyo hasa kati ya Mwanza ama Dar, na kama kuna utofauti wowote wa kuanzisha kituo kidogo ama kikubwa.
Naomba kuwasilisha.
Fuata hatua hizi hapa:
1. Kiwanja eneo la mradi. Nyaraka zote.
2. Waone watu wa mipango miji na kuwakilisha Nia yako ya kufungua biashara Kama hiyo kwenye eneo husikia.
3. Brela na TRA
4. Nemc. Kati 5m kidogo Hadi 10m kikubwa + 5m za consultant
5. Ewura haizidi 5m garama zote
6. Manunuzi ya pump @5m ya kawaida, gharama ya underground tanks Ni makubaliano na fabricators
7. Ujenzi site
8. Leseni ya biashara
9. Jaza mafuta uanze kupiga mpunga wako.
 
Ubarikiwe sana mkuu. Hii ni faida kwa wengi pia na sio mimi pekee niliye na mpango huo. Umenufaisha wengi sana.
 
Yani jinsi unavyozungumzia hiyo biashara utafikir Ni biashara ya machungwa it's cost a billions of money
 
MIMI NILIWAHI KUULIZIA HII BIASHARA KITAMBO SANA NA NILIJIBIWA HIVI;

Mwaka 2014 niliwahi kufanyakazi GAPCO (terminal-kurasini) kipindi hiko Meneja Mkuu alikuwa mzee MOSHA kabla hajastaafu, kuna siku alikuja kukagua matenki kwenye eneo yalipojengwa matenki (farm tank).
Basi tukakutana na kwakuwa yeye alikuwa ndio boss pale akaniuliza maswali kuhusu services za matenki maana yalikuwa yanatakiwa kupigwa rangi upya, katikati ya maongezi nilimuuliza;
‘’ hivi mzee nikiwa na milioni mia sita naweza nikafungua kituo cha kuuza mafuta yaani (petrol station)? Maana haiitwi sheli.... sheli ni jina la kampuni ya kuuza mafuta zamani zileee kama leo ilivyo Total, Puma, Engen, Kobil n.k

Alinijibu hivi;
‘’kijana wangu kama umeuza nyumba ya urithi umepata hiyo pesa ni bora ufanye biashara nyingine tu, hiyo pesa ni kidunchu mno usione watu wanamiliki vituo ukadhani ni biashara ya mzaha! Hiyo pesa kama kweli unataka kufanya biashara ya mafuta labda ukodi kituo cha kampuni yoyote mfano hapa Gapco tukukodishe yaani kila kitu ni mali yetu isipokuwa wafanyakazi na mafuta utakayoweka tu ndio mali yako... tena tunakuuzia kwa masharti halafu kukipata tu hiko kituo lazima ukutane na changamoto’’

Baada ya kuniambia hivyo nikataka kujua kidogo hayo masharti na hizo changamoto zake zipoje?

Akaendelea kusema;
‘’ 1.kwanza mafuta lazima unnue kwenye terminal ambayo inamiliki kituo mfano kama kituo chako ni Gapco huruhusiwi kunnua terminal nyingine hata kama bei imepanda au kukiwa na upungufu wa mafuta inakubidi usubiri sio kunnua kwingne.
2.Mafuta unapangiwa ujazo (lita) za kununua kwa kila mwezi na hiyo ipo kwenye mkataba, mfano unaweza kuambiwa kwa kila mwezi unatakiwa kunnua lita 80,000 ni lazima unnue haijalishi kama hauuzi hiyo ni juu yako lazima unnue kila mwezi.
3.Pamoja na kuwa unanunua mafuta yao lakini kituo unakilipia kodi kama kawaida.
4.Na ili upate wateja wengi lazima uwe na msingi mkubwa yaani biashara ya mafuta mwenye msingi mkubwa ndio mwenye wateja wengi.....kivipi?
Ipo hivi unapouza mafuta kuna watu watanunua kwa cash (hawa huwa hawanunui mafuta mengi) na kuna kampuni ambazo (hazitanunua kwa cash yaani wao wanapohitaji unawajazia unaandika mwisho wa mwezi mnapiga hesabu unalipwa) kampuni hizi utakuta zinamiliki magari madogo, malori au mabasi yanayokwenda mikoani mfano unapata kampuni moja tu ya NEW FORCE hebu fikiria lile basi moja kutoka dar mpaka sumbawanga linatumia lita ngapi? (takribani mia tatu). Halafu jiulize hizo basi zipo ngapi? Zote zije kunyonya mafuta kwako kilasiku halafu malipo ni mwisho wa mwezi utaweza kumudu? (Kumbuka kila mwezi unatakiwa ufikie kiwango cha manunuzi uliyowekewa) ina maana lazima uwe na pesa ya ziada ndio maana nikakwambia kwa hiyo hela yako haitoshi.
5.kupata kituo katika kampuni yoyote ile ni kama kupata nyumba ya NHC utakuta mtu mkataba wake unaisha baada ya miaka mitano ijayo lakini kuna watu wengine si chini ya wanne au watano na wao pia washatoa order ya kukitaka endapo atashindwa biashara au mkataba wake ukiisha...kwa ufupi ili uweze kupata uwe mpambanaji haswaa!
KUMBUKA HII ILIKUWA MWAKA 2014
NA SASAHV GAPCO IMEUZWA INAITWA TOTAL
 
Mimi nafuatilia mtu anaropoka bilioni mbili bila hata kua na uzoefu na anachokizungumza
 
Acha utani wewe kituo Cha mafuta hakijengwi kwa pesa ya kununulia nyanya.
Dah...ukiondoa kiwanja..kituo cha kuuzia mafuta rejareja... unahitaji dispenser 1 yenye pump 3 (16m)...matenki ya chuma 3 (6m)... jenerata 1 (2m) ....kizima Moto(0.12m)...jumla 24.15m....kituo tayari
 
Hao wa mikopo ndio hatuwataki, maana hau uchangia kufilisi biashara na kibaya zaidi wengine hadi wanafilisika hawalipi mafuta, mfano Scandinavian Express hadi snafilisika alikuwa na deni la mafuta la karibu Bilioni 2 kutoka PUMA (Zamani BP ), maana yake bilioni mbili iko nje ya mzunguko wa biashara na haitarudi,
Hapa ni Cashmoney ubaoni...
Ukimlea mteja sana anakuacha na hasara.
kwanza margin kwa litre ni ndogo halafu bado mtu aje alipe mwisho wa mwezi hiyo hapana mzeiyaah...
Don't entertain credit on business...

Back
Top Bottom