Msaada wa mawazo kuhusu combi ya PGM

Sawa Mimi nimempa tu ushauri kulingana na uzoefu wangu kuangalia performance ya pgm!
egm wengi wamafaulu safi coz economics na geography ndio Yale Yale hakuna calculation sana zaidi ya maelezo tu!
Anyway ni ushauri tu kama ataona vipi au chukue au aupige chini
Nani kasema geog haina hesabu? Nani kasema economics haina hesabu?

All in all...tuko pamoja arifu!
 
Utaumiza kichwa kwenye masimo mawili halafu geog unaua kwa sababu Geog ya ADVANCED ndo ile ile ya O' LEVEL
 
Na aliyepa CBG
CBG haina wigo mpana kama pcb...ni kombi nzuri ila kwa miaka ya karibuni imekua ngum kupata chance kwenye phamacy na udaktari!!

Kwa ushauri...kama ukiweza kupiga one au two wala usiumize akili...nenda pale SUA kuna kozi kama veterinary medicine!! Ukiwa na kichwa kizuri ukimaliza utaenjoy sana life!
 
Asante mkuu ngoja kesho nianze tuit
Na Mungu akusaidie mkuu!! Naimani baada ya miaka sita tutakua timeongeza idadi ya mainjia tz kwetu!!

NB: Kwa phy tafuta kitabu cha nelkon na chand two mapema kabisa!!

Kwa pure tafuta pure one na two alafu malizia na chand two!!

Geog tafuta kitabu cha msabila...japo sikushauri sana maana kiko shalo kiasi flan though ndio kinatumika sana!

Hata kama huna uwezo nadhan shule nyingi wanavyo library ! Kila la heri arifu!
 
CBG haina wigo mpana kama pcb...ni kombi nzuri ila kwa miaka ya karibuni imekua ngum kupata chance kwenye phamacy na udaktari!!

Kwa ushauri...kama ukiweza kupiga one au two wala usiumize akili...nenda pale SUA kuna kozi kama veterinary medicine!! Ukiwa na kichwa kizuri ukimaliza utaenjoy sana life!
Nimepangiwa Ifunda tech
 
Na Mungu akusaidie mkuu!! Naimani baada ya miaka sita tutakua timeongeza idadi ya mainjia tz kwetu!!

NB: Kwa phy tafuta kitabu cha nelkon na chand two mapema kabisa!!

Kwa pure tafuta pure one na two alafu malizia na chand two!!

Geog tafuta kitabu cha msabila...japo sikushauri sana maana kiko shalo kiasi flan though ndio kinatumika sana!

Hata kama huna uwezo nadhan shule nyingi wanavyo library ! Kila la heri arifu!
Asante phy tayari Nina chand class XI na physics cha Robert resnick alafu math nina pure one
 
Chand one iko shalow kiasi flan kwenye phy...japo unaweza kukitumia mwanzoni!! chand two ndio imeshiba hasa kwenye umeme na electronics!! Kiufupi uziri wa chand ni kwamba inakupa mwanga sana kwenye topics...yaani inaelezea mpaka unaelewa!!

Pure one is good...

Ukienda shule utaikuta pure two either library au kwa masela!!

KWA PHY PIA ONGEZA CHA NELKON KANA UNA UWEZO!

Alafu kuna kitabu kinaiywa tranter...hahahaha hiki ni noma...so far sikushauri sana ukipitie kwa sasa labda ukifika fom6 hukoo!!

I repeat, ANZA TWISHEN SOON AS YOU CAN! Na ukianza twition sio unasoma tu alafu unasema utaenda pitia ukifika shule....ukitoka class anza kugonga msuli usingoje ufike shule ndio uanze kusoma!
 
We jamaa Kama Unataka hizo mishe za Automation, Computer Science Basi kakomae na PGM au PCM mwisho u apply Umeme Yani Electrical Engineering Chuo utakutana na izo taka taka zote
 
Chand one iko shalow kiasi flan kwenye phy...japo unaweza kukitumia mwanzoni!! chand two ndio imeshiba hasa kwenye umeme na electronics!! Kiufupi uziri wa chand ni kwamba inakupa mwanga sana kwenye topics...yaani inaelezea mpaka unaelewa!!

Pure one is good...

Ukienda shule utaikuta pure two either library au kwa masela!!

KWA PHY PIA ONGEZA CHA NELKON KANA UNA UWEZO!

Alafu kuna kitabu kinaiywa tranter...hahahaha hiki ni noma...so far sikushauri sana ukipitie kwa sasa labda ukifika fom6 hukoo!!

I repeat, ANZA TWISHEN SOON AS YOU CAN!!
Sawa mkuu
 
Kitu ambacho sitaki ni kupiga msuli kuja kuishia kuwa mwalimu
haaaya bhana utaki kua mwalimu ngoja nicheke kwanza cindonyinyi mnadoma engineering alafu mnaanza kuvamia professional za watu mnaanza kuomba temple.........en way kapige kitabu....PCM
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu! Ila jiulize kwanini engineer anaweza kuwa mwalimu na mwalim hawezi kuwa engineer?? No disrespect mkuu!
 
Back
Top Bottom