Msaada wa mawazo kuhusu combi ya PGM

Srebrina

JF-Expert Member
Jan 28, 2012
924
1,500
Habari wana JF toka selection zimetoka mpaka Leo kichwa changu hakijakaa sawa, shida nilo nayo ni kwamba nimepangwa PGM ifunda tech lakini asilimia kubwa ya walimu ya shule nilomalizia wananambia kuwa hii combi haina maana ivo nikabadilishe ila hawanambii sababu ivo nikaona sio mbaya kuja kuomba ushauri kabla sija badili, nikiwa na maswali hata kama combi haina maana tz Kwann IPO? Na baada ya advance INA faculty ngapi chuoni? Zipi? Na zina manufaa apa bongo?

Nawasilisha msaada wenu ndio mkombozi wangu kabla sijakurupuka
 
Galapagosi

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
2,824
2,000
PGM kama home pako vizuri na wewe upo vizuri kupiga nyingi class piga hiyo baadae usepe mbele.

Ila kama umeanza kuwa na hofu mkuu kapiga PCM hiyo uje kuwa engineer makini kwenye kitengo makini.
 
TangataUnyakeWasu

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,276
2,000
PGM kama home pako vizuri na wewe upo vizuri kupiga nyingi class piga hiyo baadae usepe mbele.

Ila kama umeanza kuwa na hofu mkuu kapiga PCM hiyo uje kuwa engineer makini kwenye kitengo makini.
Hata pgm unaweza kuwa engineer.

Combination yyte ya science ni deal endapo tu utaifaulu vizuri.

Nakushauri nenda kasomee ila ujitahidi ufaulu vema. Kwa sasa achana na kuusikiliza ushauri wa walimu wako wengi wao watakupoteza kwani mwisho wa siku watakwambia ukasome HKL
 
Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
5,477
2,000
Kama una mpango wa kuja kupiga kozi za Engineer (Ukiondoa Chemical Engineer) na kozi za Geology basi PGM ndio mahali pake.
Ni combination nzuri, iko sambamba na PCM.

Kama una wasiwasi sana na hiyo Combination, basi fuata ushauri huu...

Kama shule uliyopangiwa PGM ina PCM pia, na kama wewe umefaulu Mathematics kwa kiwango cha D na kuendelea, wewe nenda kajiunge na hiyo shule, ila ukifika huko badilisha Combination kutoka PGM kwenda PCM juu kwa juu (Ni jambo linalowezekana kwa 100% ukiwa na dhamira au msimamo). Hiyo style tunaiita kubadilisha gear angani.
 
Srebrina

JF-Expert Member
Jan 28, 2012
924
1,500
Kiukweli Mimi interest zangu huwa ni computer na electronic na electric na zinazo resemble kama automation na zingine
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
14,744
2,000
PGM kama home pako vizuri na wewe upo vizuri kupiga nyingi class piga hiyo baadae usepe mbele.

Ila kama umeanza kuwa na hofu mkuu kapiga PCM hiyo uje kuwa engineer makini kwenye kitengo makini.
Kwanini asepe mbele?? Kwani hapa tz hamna kozi za watu wa PGM??

Nadhani na wewe una ile mentality ya watu wa PGM wanasoma urubani tu!! Haya ni mawazo mfu kabisa!!!
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
14,744
2,000
Kama una mpango wa kuja kupiga kozi za Engineer (Ukiondoa Chemical Engineer) na kozi za Geology basi PGM ndio mahali pake.
Ni combination nzuri, iko sambamba na PCM.

Kama una wasiwasi sana na hiyo Combination, basi fuata ushauri huu...

Kama shule uliyopangiwa PGM ina PCM pia, na kama wewe umefaulu Mathematics kwa kiwango cha D na kuendelea, wewe nenda kajiunge na hiyo shule, ila ukifika huko badilisha Combination kutoka PGM kwenda PCM juu kwa juu (Ni jambo linalowezekana kwa 100% ukiwa na dhamira au msimamo). Hiyo style tunaiita kubadilisha gear angani.
Kwa chemical engineering sawa hataweza kusoma ila kwa geology anasoma tena vizuri kabisa!!
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
14,744
2,000
Habari wana JF toka selection zimetoka mpaka Leo kichwa changu hakijakaa sawa, shida nilo nayo ni kwamba nimepangwa PGM ifunda tech lakini asilimia kubwa ya walimu ya shule nilomalizia wananambia kuwa hii combi haina maana ivo nikabadilishe ila hawanambii sababu ivo nikaona sio mbaya kuja kuomba ushauri kabla sija badili, nikiwa na maswali hata kama combi haina maana tz Kwann IPO? Na baada ya advance INA faculty ngapi chuoni? Zipi? Na zina manufaa apa bongo?

Nawasilisha msaada wenu ndio mkombozi wangu kabla sijakurupuka
Nirudi kwako sasa! Mkuu nakumbuka enzi hizo PGM was my favourite!! Kiuhalisia utasoma kozi zoooote ambazo mtu wa pcm anasoma isipokua kozi kama chemical engineering ambayo inahitaji kemia kwa kiwango kikubwa!!!

Usidanganywe mkuu! Kama unapenda kuwa engineer pgm au pcm ndio penyewe...usije dangamywa mtu mkuu!!
 
Srebrina

JF-Expert Member
Jan 28, 2012
924
1,500
Nirudi kwako sasa! Mkuu nakumbuka enzi hizo PGM was my favourite!! Kiuhalisia utasoma kozi zoooote ambazo mtu wa pcm anasoma isipokua kozi kama chemical engineering ambayo inahitaji kemia kwa kiwango kikubwa!!!

Usidanganywe mkuu! Kama unapenda kuwa engineer pgm au pcm ndio penyewe...usije dangamywa mtu mkuu!!
Sawa mkuu kwa izo apo chini
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
14,744
2,000
Kwa izo nyingine mfano automation, telecommunications, comp engineering na zinazofanana vip mkuu
Unapoongelea comp engineering unangelea hardware and software...unapoongelea hardware unaongelea electronics...diode..capacitors na umeme kwa ujumla...hivi vyooote utasoma ukiwa form5 au 6 kwenye physics!!

Telecommunications inaingiliana sana na comp engineering...mambo ya networking ..programing and the alike!! Haya yoote yana msingi wa physics na hesabu masomo ambayo kwenye pgm yapo!! Sintaongelea automation sana ila pia inaingiliana na comp engineering!!

Kwa kifupi unapoongelea engineering unaongelea pure maths na physics so kama una pgm by any chance you are good to go my friend!!
 
Jabman

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
1,012
2,000
Pilots and General Managers.
Haaaaaaah. Komaa tu utakuwa pilot, engineering zote isipokuwa chemical, Nahodha Wa Titanic, Mwl, Geologist na mengine mengi
 
Giltami

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
709
1,000
Kiukweli Mimi interest zangu huwa ni computer na electronic na electric na zinazo resemble kama automation na zingine
Kama unaweza PCB chukua hii.Hizo PCM na PGM ni mtu na Dada yake ila kama unajiona ni mvumilivu hutaogopa kufanikiwa hata uzeeni basi chukua PCM au PGM sababu kubwa hata uwe na Elimu gani ya Engenearing mafanikio yako asilimia 85 yatategemea uzoefu ila Ukiwa Docta,Medical lab ni suala la nin unaelewa na unatenda kwa kiasi gani hapo ndipo mafanikio yako.Pia usisahau kufata dream yako maana hata ukiwa huna kitu umetima dream yako ya kuwa na taaruma Fulani huta juta.
Hata pgm unaweza kuwa engineer.

Combination yyte ya science ni deal endapo tu utaifaulu vizuri.

Nakushauri nenda kasomee ila ujitahidi ufaulu vema. Kwa sasa achana na kuusikiliza ushauri wa walimu wako wengi wao watakupoteza kwani mwisho wa siku watakwambia ukasome HKL
 
BAKOI

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
1,059
2,000
Mkuu soma hiyo PGM halafu faulu vizuri baada ya hapo nenda Udsm course inaitwa ACTUARIAL SCIENCE baada ya hapo miaka kadhaa mbele utanitafuta. Sina maneno mengi Sana .
Ila wakimaliza wengi wanaajiriwa TCAA na TRA
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
14,744
2,000
Labda kwa nyongeza tu! PCM na PGM zimetofautiana kwenye chem na geography!! Sasa hapa uangalie je unapenda chem?? Au unapenda geography??

Sasa jiulize hilo swali na ikipata jibu fanya maamuzi!!
 
misasa

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
10,410
2,000
PGM kama home pako vizuri na wewe upo vizuri kupiga nyingi class piga hiyo baadae usepe mbele.

Ila kama umeanza kuwa na hofu mkuu kapiga PCM hiyo uje kuwa engineer makini kwenye kitengo makini.
Home kuwa vizuri kama vipi mkuu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom