Msaada wa mawazo kuhusu combi ya PGM

Pilots and General Managers.
Haaaaaaah. Komaa tu utakuwa pilot, engineering zote isipokuwa chemical, Nahodha Wa Titanic, Mwl, Geologist na mengine mengi
Pgm sio lazima awe pilot mkuu... Anaweza kuwa hata civil...mechanical engineer...electrical engineer and the alike!!
 
Labda kwa nyongeza tu! PCM na PGM zimetofautiana kwenye chem na geography!! Sasa hapa uangalie je unapenda chem?? Au unapenda geography??

Sasa jiulize hilo swali na ikipata jibu fanya maamuzi!!
Mkuu Chemi inanipiga chini geo Nilikuwa napasua
 
Kama unaweza PCB chukua hii.Hizo PCM na PGM ni mtu na Dada yake ila kama unajiona ni mvumilivu hutaogopa kufanikiwa hata uzeeni basi chukua PCM au PGM sababu kubwa hata uwe na Elimu gani ya Engenearing mafanikio yako asilimia 85 yatategemea uzoefu ila Ukiwa Docta,Medical lab ni suala la nin unaelewa na unatenda kwa kiasi gani hapo ndipo mafanikio yako.Pia usisahau kufata dream yako maana hata ukiwa huna kitu umetima dream yako ya kuwa na taaruma Fulani huta juta.
Bios nilikuwaga siipendi toka form one kutokana na mwalimu japo nimepata C ila itaniumiza
 
Mkuu soma hiyo PGM halafu faulu vizuri baada ya hapo nenda Udsm course inaitwa ACTUARIAL SCIENCE baada ya hapo miaka kadhaa mbele utanitafuta. Sina maneno mengi Sana .
Ila wakimaliza wengi wanaajiriwa TCAA na TRA
Mkuu hii inahusiana na nn
 
Utakua mwalim kama usipopata marks nzuri mkuu! Kama ukiwa div one au two pia unaweza kuwa mwalimu kama ukitaka...au unaweza endelea na uhandisi!!
Ahaaaa sasa kumbe naweza kujipanga nipasue maana phy na math naipenda sana tu na geo ndio nimepata A ayo mengine C na math D
 
Actuarial science ni moja ya kozi mpya hapa tz nadhani ilianzishwa mwaka 2011 pale udsm...ni kozi inayohusu maswala ya insurance na mengine kama hayo...hii kitu inahitaji sana pure maths!!

Sio pgm tu...hata egm na pcm wanasoma bila shida!!
Kumbe mkuu, hapo nimekupata
 
Actuarial science ni moja ya kozi mpya hapa tz nadhani ilianzishwa mwaka 2011 pale udsm...ni kozi inayohusu maswala ya insurance na mengine kama hayo...hii kitu inahitaji sana pure maths!!

Sio pgm tu...hata egm na pcm wanasoma bila shida!!
Lakini n moja ya course nzuri
 
Ahaaaa sasa kumbe naweza kujipanga nipasue maana phy na math naipenda sana tu na geo ndio nimepata A ayo mengine C na math D
Mi nakushauri achana na matokeo ya fom4...kama umeamua kusoma pgm na kama mda wa kufungua shule bado...tafuta twishen au tafuta mtu aliyesoma phy anendelee kukupigia mapindi ya phy na maths....ukianza na mechanics na pure ukapiga walau trig itakupa faida sana ukienda shulen!!
 
Sawa mkuu
 
Hiyo comb hainaga ushirikiano kabisa!!
Ndio maana hata wasomaji wake kupata division one huwaga ni msala kinoma! Na ukipata two au three jua ualimu wa physics au hesabu lazma uhusike!
Mark my word......
Kaulizie pale ifunda one Kali alishawahi toka nayo demu Fulani( One ya tano) haijawahi kutokea tena!

Nakushauri kama chemia inapanda kakamue pcm au pcb
Kutokana na ugumu wa hesabu na phys utajikuta geography unafanya km subsidiary mwishoni mayo inakutolea mbavuni
 
Back
Top Bottom