Msaada kuhusu transfer ya mkopo...

Barbosa

Member
Jun 23, 2016
42
95
Habar za muda huu wana JF?


Mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliofanya transfer katika mwaka wa kwanza, na nashkuru Mungu nlifanikiwa kuona jina langu katika waliofanikiwa kupata mkopo mwaka 2016/2017 ila jina nliliona kwenye chuo nlichokua nimepangwa mwanzo kabla ya transfer, nkaenda kwa loan officer wa chuo nliochamia akachukua taarifa zangu zote ambapo alinambia wanatuma taarifa TCU afu badae TCU wao watapeleka majina yetu HESLB
na majibu yatatumwa chuoni.,,,,,,
sasa mda umeenda kidgo na maisha ya chuo yanakua tait pia...

sasa naomba yoyte mwenye uelewa kuhusiana na transfer ya mkopo mwaka huu maana nadhan system imebadilika sio kama miaka ya nyuma saiv mfumo wote umabadilika hivyo hatufaam majibu yanakuja lini, hivyo naomba msaada wa mawazo au ata ushauri kuhusiana na huu uzi...NTASHUKURU SANA KWA MAJIBU YOTE MAZURI
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom