Msaada wa mawazo katika swala hili la ndoa

Buffaro kwa hiyo uislam haumruhusu mwanaume kumua hata mtoto wake wa KAMBO (Yaani mtoto wa mkewe ambaye alizaliwa na mwanaume mwingine)
UISILAMU NI NANI NA MUNGU NI NANI? JE!! ZIPI NI SIFA ZA USILAMU NA NI ZIPI NI SIFA ZA MUNGU? UTAKUJA KUGUNDUA! KUWA HAPA PANAJAMBO!
 
Haya umesikika Yakhee kunywa maji upumzike sasa.

Huu mjadala mimi sikuuleta kidini ndio maana nakaelekeza mtazamo kwenye jamii ila umegeuka na kua wa kidini.

Mashokolo.
acheni uswahili!!
 
Nazani tungeangazia zaidi kwenye tamaduni ya jamii husika, ila kwa ninavyojua kwa jamii nyingi za bongo kuanzia Ndoa ya kwanza sio sahihi, ni mtazamo tuu
 
Sawa kabisa, ilitakiwa kama kukataza ingeanza ile ya kwanza ili isilete mkanganyiko kama uliotokea,

Lakini kibongo bongo hiyo hiyo tunaona Binamu wanataniana kwa kuitana MKE NA MUME inakua ni kawaida tu ila kwenye swala la ndoa ndio inakua pagumu.
 
Amani iwe juu yenu Waungwana,

Miezi kadhaa iliyopita tume hudhuria ndoa iliyofungwa kati ya Kaka na Dada Mabinamu (Mtoto wa Mjomba na Shangazi), Harusi ilifana na pande zote mbili zilishiriki kikamilifu.

Sasa tumepata habari tena kua kuna Kaka na Dada (Mtoto wa Mama mkubwa na Mama Mdogo) wamependana na wanataka kufunga ndoa,

Ajabu familia imetikisika, wazazi wa pande zote mbili wanapinga kwa afya na nguvu zote, kua hawawezi kuoana kwa kua wale ni kaka na dada hivyo ni ndugu.

Sasa nimeshindwa kuelewa jambo hili, Kwani watoto wa Mjomba na Shangazi almaarufu kama BINAMU sio NDUGU???

Kwanini jamii ikubali ndoa zao na ikatae ndoa za Watoto wa Mama mkubwa na Mama mdogo???.

Ndowa zote mbili zina kasoro kiafya. Hatari yenyewe wote wanaweza kuzaa watoto wenye upungufu, kwa kuwa gene zao ziko karibu sana. Utakuta jamii za kihindi Pakistani, au Israel hata uarabuni Idadi ya watoto wenye upungufu ni kubwa sana hii ni kwaajiri ya kuowana within the family.
 
Mtoto wa BABA MKUBWA na mtoto wa BABA MDOGO..ni ruksa kuoa..ila MAMA MDOGO na MAMA MKUBWA..hawawezi kuoana.. PIA shangazi na mjomba wanaoana.mtoto wa..baba mkubwa na mdogo watoto wao ki asili ni MATUMBO tofauti..ila mama mdogo na mama mkubwa NI ASILI MOJA..na hata shangazi kwa mjomba...ni tofauti sababu SHANGAZI. atazaa na mwanaume mwingine...na mjomba atazaa na MWANAMKE mwingine...kama huyo mjomba angekuwa mwanamke.. Basi ingekuwa ni mama mdogo au mama mkubwa..ingekuwa haifai...kwani mjomba ni sawa na mama mkubwa..au mama mdogo...tofauti yake yeye ni mwanaume..na ndy maana akaitwa mjomba..angekuwa mke angekuwa mama mdogo au mama mkubwa...Na pia atazaa na mwanamke mwingine..ndy maana mjomba ni halali...na hata mtoto wa baba mdogo na mkubwa pia ni halali kuoana...na sio mtoto wa mama mdogo au mtoto wa mama mkubwa
 
Umeongea vema kabisa mama Obama.
 
Ebwana eèeh!!! Umefafanua vizuri Mwandende.
 
Sawa kabisa, ilitakiwa kama kukataza ingeanza ile ya kwanza ili isilete mkanganyiko kama uliotokea,

Lakini kibongo bongo hiyo hiyo tunaona Binamu wanataniana kwa kuitana MKE NA MUME inakua ni kawaida tu ila kwenye swala la ndoa ndio inakua pagumu.
Sure that..
 
ndio umeuleta mjadala! lakini wanao fanya hivyo wanaongozwa na dini! lazima tukosoe hizo dini zenu zinazo waruhusu ndugu waoane! alafu mnampakazia Mungu kuwa amewaruhusu! na kama hakuwaruhusu je!! inakuwaje?

Back
Top Bottom