Kule wanakojilipua hovyo kwa ahadi ya mabikra 70?
yaan nimerudia mara 3.. nimeelewa ulichomaanisha ila aina ya uandishi uliyoutumia ni kiboko!!!!damu ni hyo hyo tu
dada mtu
kaka mtu
dada mdogo
kama mtoto wa dada mtu anaweza kuona na mtoto wa dada mtu au dada mdogo hata dada mtu na dada mdogo sawa tu .seti ni hyo hyo
Umeshafunga mjadala,maana tunajaza uzi wa watu kwa mjadala mwingine ambao haupo hapa nadhan na bwana mkubwa buffaro89 atakua ameputia hii comment.Naona mtaligeuza hili suala na ukabila na udini
Uislam upo wazi kabisa wa nani unaweza kumuoa na nani huwezi.
Hao ndugu zako wasiiangalie dunia,waangalie sheria inasemaje?!
Sasa wakizini wakapata mtoto wa zinaa c watu presha zitawapanda?!
Hilo ni somo ambalo litagharimu Muda wangu kukuelimisha.UISILAMU NI NANI NA MUNGU NI NANI? JE!! ZIPI NI SIFA ZA USILAMU NA NI ZIPI NI SIFA ZA MUNGU? UTAKUJA KUGUNDUA! KUWA HAPA PANAJAMBO!
Ushauri mzuri.Mi nafikiri mngemuita kiongozi wa dini yenu aweke wazi hilo swala
MIMI NNA DINI YANGU WEWE UNA DINI YAKO,SITAABUDU UNACHOKIABUDU NA WALA MIMI SITAABUDU NINACHOKIABUDU' KWAIYO UNAABUDU KITU USICHO KIJUA?Hilo ni somo ambalo litagharimu Muda wangu kukuelimisha.
'MIMI NNA DINI YANGU WEWE UNA DINI YAKO,SITAABUDU UNACHOKIABUDU NA WALA MIMI SITAABUDU NINACHOKIABUDU'
Mjadala ufie hapa,maana hata ntoa mada halikua lengo lake hili tunalojadilo,
Ni makosa tu ya kiuandishi, lakini alikusudia,MIMI NNA DINI YANGU WEWE UNA DINI YAKO,SITAABUDU UNACHOKIABUDU NA WALA MIMI SITAABUDU NINACHOKIABUDU' KWAIYO UNAABUDU KITU USICHO KIJUA?
72 nawewe sio 70Kule wanakojilipua hovyo kwa ahadi ya mabikra 70?
Na mito itiririkayo mvinyo mtamu usioisha.shetani muongo sana! yaani umeuwa wenzio uku! alafu anakudanganya eti utapewa mabikra peponi! alijua wanadamu wanapenda ng'ono!
Hata Mtume alimuoa dada wa Abou Sufian.Naona mtaligeuza hili suala na ukabila na udini
Uislam upo wazi kabisa wa nani unaweza kumuoa na nani huwezi.
Hao ndugu zako wasiiangalie dunia,waangalie sheria inasemaje?!
Sasa wakizini wakapata mtoto wa zinaa c watu presha zitawapanda?!
Usi changae mbona nikutuliza akili tu kidogo unapata jibu kwa nini mtoto wa mama mdogo na mama mkubwa nao siitane binam kama ilivyo mtoto wa kaka na dada? Wakati wote hao ni ndugu?Ndio na mimi nashangaa, kama mwanzo ilikua sawa vipi sasa iwe haramu.
Amani iwe juu yenu Waungwana ...
Sasa nimeshindwa kuelewa jambo hili, Kwani watoto wa Mjomba na Shangazi almaarufu kama BINAMU sio NDUGU???
Kwanini jamii ikubali ndoa zao na ikatae ndoa za Watoto wa Mama mkubwa na Mama mdogo???.