Msaada wa mawazo katika swala hili la ndoa

Msaada wa mawazo katika swala hili la ndoa

Na mimi nashangaa! Kwa english wote ni aunts na uncles... Kwanini ikija kiswahili majina waliyopewa yawape status tofauti?
 
Wamejisahau, siku zote mtoto sio wa upande wa mama, mtoto ni wa upande wa baba, sasa ikiwa ni hivyo, mtoto wa mama mkubwa na mtoto wa mama mdogo utawakatazaje kuoana??? Maana hapo koo ni tofauti
Mkuu sababu kuu ziko mbili :

1. Undugu ni kwa mama kibailojia hakuna aliye na shaka na mama yake. Lakini hatuna uhakika na baba zetu.
Hivyo basi mtu anaweza kuoa binamu au mtoto wa baba mdogo au ba mkubwa kibailojia haina athari.

2. Lakini huwezi kuoa au kuolewa na mtoto wa ma mdogo au ma mkubwa kwa sababu wote mmebeba vinasaba dhaifu (recessive gens) kutoka kwa bibi yenu kitendo ambacho kinaweza kunawahatarishia kuzaa watoto wa ajabu, wafu, walemavu wa viungo, wenye magojwa hatari kama sickle cell.
Kumbuka yule binamu au mtoto wa baba mkubwa mmetofautiana bibi wazaa mama.
 
Back
Top Bottom