Msaada wa mawazo katika swala hili la ndoa

Msaada wa mawazo katika swala hili la ndoa

waisilamu ndivyo mlivyo! endeleeni kuoana hadi na watoto zenu!
_20170421_114038.JPG

Us
Uislam haubahatishi, Mwenyezimungu ameshatoa Miongozo,ni kharam baba kumuoa mwanae,soma tafsiri ya suratul An Nisaaa nimekuwekea hapa kwa faida yako na wale wenye mawazo kama yako ambao hawakutaka kuonyesha upumbavu wao hadharani
 
Sijajua hiyo familia ni dini gani,lakin kama ni waislam basi Qur'an peke yake inaweza kuwapa mwongozo pasina shaka.
Someni Suratul An-Nissaa humo kuna majibu yoteView attachment 498997View attachment 498998View attachment 498999
Shukrani kwa muongozo, wanalijua hilo ila mkazo wao upo kwenye jamii kwamba itawachukulia vibaya, lakini naona jamii hiyo hiyo inayohofiwa ndio wanasema BINAMU NYAMA YA HAMU ila likija swala la Mama mkubwa na Mama mdogo Inakua nzito kukubàli.
 
Mie nimeshuhudia watu wakifunga ndoa za namna hiyo na haikuleta shida.Ndoa ya kwanza uloielezea na hii ya pili zote ni za aina sawa.
La pili WANAANGALIA JAMII,au ALLAH amesemaje?Hao wanakatazwa kuoana kesho WATAZINI hao,na mimba ndiiii.
Hapo ndo JAMII itawabadilikia na kuwashangaa zaidi.
Mambo ambayo hayapaswi kucheleweshwa.
1.Mtu anapokufa basi asicheleweshwe kuzikwa
2.Mtu anapotaka kuoa na dini yake ni ya kiislam na muolewaji ni muislam basi aozwe
3.Muda wa sala unapofika
 
Wamejisahau, siku zote mtoto sio wa upande wa mama, mtoto ni wa upande wa baba, sasa ikiwa ni hivyo, mtoto wa mama mkubwa na mtoto wa mama mdogo utawakatazaje kuoana??? Maana hapo koo ni tofauti
Mmh! Kazi kweli.
 
Kumbe hakuna neno eeh, ila wanadai jamii inachukulia vibaya ndoa ya aina hiyo lakini za binamu ni sawa.

everhurt;
Wajibu hivi; Mjomba ni Kaka wa mama. Mjomba akazaa kifaa chema, mtoto wa mama akakiona akakipenda. Alioa dada yake upande wa kaka wa mama. Leo Mama mkubwa akazaa dume na mama mdogo akazaa jike. Iweje nongwa huyu wa mamkubwa anyimwe ruksa kujichukulia kwa mamdogo?? Huu ni uonevuuuuu. Walikula ya mbuzi wakaota mapembe.
 
nani aliye waruhusu? ni binadamu au ni Mungu?
Mwenyezimungu amewataja watu ambao hawaruhisiwi KUOANA,na wanaoruhusiwa kuoana.
Mtoto wa mama mkubwa,mdogo,mjomba,shangazi, wametajwa kwenye kundi la watu wa kuwaoa.Na wasioruhusiwa hawa wasome kwa maandiko ya kisw,Suratul An Nissaa aya ya 23
_20170421_114038.JPG
 
tatizo uwezo wenu wakufikiri ni mdogo mnoo!
Wamejisahau, siku zote mtoto sio wa upande wa mama, mtoto ni wa upande wa baba, sasa ikiwa ni hivyo, mtoto wa mama mkubwa na mtoto wa mama mdogo utawakatazaje kuoana??? Maana hapo koo ni tofauti
 
Mwenyezimungu amewataja watu ambao hawaruhisiwi KUOANA,na wanaoruhusiwa kuoana.
Mtoto wa mama mkubwa,mdogo,mjomba,shangazi, wametajwa kwenye kundi la watu wa kuwaoa.Na wasioruhusiwa hawa wasome kwa maandiko ya kisw,Suratul An Nissaa aya ya 23
View attachment 499005
wewe unauhakika kama maneno ya kumuoa ndugu yako bina! yanatoka kwa Mungu! itakuwaje kama hayakutoka kwa Mungu??
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Buffaro kwa hiyo uislam haumruhusu mwanaume kumua hata mtoto wake wa KAMBO (Yaani mtoto wa mkewe ambaye alizaliwa na mwanaume mwingine)
 
Back
Top Bottom