Msaada wa mawazo katika swala hili la ndoa

Msaada wa mawazo katika swala hili la ndoa

wewe unauhakika kama maneno ya kumuoa ndugu yako bina! yanatoka kwa Mungu! itakuwaje kama hayakutoka kwa Mungu??
Mimi naamini Qur'an ni maneno ya Mwenyezimungu ambayo kwa mujibu wa TAREKH yameshushwa kwa mtume Muhammad kupitia malaika Jibril.Na si Qur'an tu vitabu vingine vya Mwenyezimungu ni Injili,Torati.
 
lini uisilamu ulikwambia na kukuruhusu ukamuo ndugu yako? uisilamu ni nini? sio watu? DINI, ni kitu kingine na Mungu ni kitu kingine! shauli yenu!
 
nimekuuliza swali!! wewe unaamini hayo maneno! unauhakika kwamba maneno hayo yalitoka kwa Mungu? au unafuata mkumbo?
Mimi naamini Qur'an ni maneno ya Mwenyezimungu ambayo kwa mujibu wa TAREKH yameshushwa kwa mtume Muhammad kupitia malaika Jibril.Na si Qur'an tu vitabu vingine vya Mwenyezimungu ni Injili,Torati.
 
nimekuuliza swali!! wewe unaamini hayo maneno! unauhakika kwamba maneno hayo yalitoka kwa Mungu? au unafuata mkumbo?
Soma sentensi ya KWANZA ya jibu langu nimejibu vizur tu kuwa NAAMINI
 
ayo maneno yamepitia mikononi mwa binadamu! unausibitisho gani kuwa hayo maneno yalisemwa na Mungu? na kama hayakusemwa na Mungu, wewe utasimama katika nafasi gani?
Mwenyezimungu amewataja watu ambao hawaruhisiwi KUOANA,na wanaoruhusiwa kuoana.
Mtoto wa mama mkubwa,mdogo,mjomba,shangazi, wametajwa kwenye kundi la watu wa kuwaoa.Na wasioruhusiwa hawa wasome kwa maandiko ya kisw,Suratul An Nissaa aya ya 23
View attachment 499005
 
itakuwaje endapo utagundua imani yako imedanganywa?
Ningeshagundua muda mrefu tu.
Yapo mambo mengine ya uwongo yanayonasibishwa na uislam kama WALE WANAOJILIPUA HOVYOHOVYO unajua tu kuwa WANALETA UZUSH KWENYE DINI
 
wewe? maneno ya Mungu yupi? unauhakika kuwa hayo maneno yalizungunzwa na yeye? uhakika! naomba uongee fact!!
Yalisemwa na Mungu ndio,uthibitisho kupitia MANENO yake mwenyewe MUNGU.
 
Kwetu Mbeya ukiolewa na binamu naona utatengwa na kutengwa, kwanza unaanzaje kumvulia nguo mtoto wa shangazi yako? Nadhani hiyo ipo kwa waarabu sana ingawa binafsi naona kama ni uchafu .
 
wewe? maneno ya Mungu yupi? unauhakika kuwa hayo maneno yalizungunzwa na yeye? uhakika! naomba uongee fact!!
Facts ndo hiyo nimekupa hapo juu buffaro89 Mwenyezimungu ameshusha maneno yake kupitia Malaika na hao wakawapa mitume,lakini pia kuna some events Mungu aliongea moja kwa moja na mitume wake,like Muhammad wakat anakabidhiwa Sala 5.
Ni kama Magufuli aliposema anaajiri madaktar 258 ulimsikia akisema?Si ameongea Ummy kwa niaba ya RAIS
 
Amani iwe juu yenu Waungwana,

Miezi kadhaa iliyopita tume hudhuria ndoa iliyofungwa kati ya Kaka na Dada Mabinamu (Mtoto wa Mjomba na Shangazi), Harusi ilifana na pande zote mbili zilishiriki kikamilifu.

Sasa tumepata habari tena kua kuna Kaka na Dada (Mtoto wa Mama mkubwa na Mama Mdogo) wamependana na wanataka kufunga ndoa,

Ajabu familia imetikisika, wazazi wa pande zote mbili wanapinga kwa afya na nguvu zote, kua hawawezi kuoana kwa kua wale ni kaka na dada hivyo ni ndugu.

Sasa nimeshindwa kuelewa jambo hili, Kwani watoto wa Mjomba na Shangazi almaarufu kama BINAMU sio NDUGU???

Kwanini jamii ikubali ndoa zao na ikatae ndoa za Watoto wa Mama mkubwa na Mama mdogo???.

MNAJUANA... KAJADILINI WENYEWE!
 
Naona mtaligeuza hili suala na ukabila na udini

Uislam upo wazi kabisa wa nani unaweza kumuoa na nani huwezi.
Hao ndugu zako wasiiangalie dunia,waangalie sheria inasemaje?!

Sasa wakizini wakapata mtoto wa zinaa c watu presha zitawapanda?!
 
UISILAMU NDIO ULIO SEMA SIO MUNGU! NAOMBA MSICHANGANYE HAYO!
 
kama binadamu tuu! tunaona kabisa kuoana ndugu ni uchafu! sembuse Mungu akuruhusu! labda shetani!! maana yeye ndio anapenda hayo mambo ya ng'ono! watu walitamaniana kupita kiasi, wakaharalisha kuoana ndugu kwa ndugu! alafu wanasema Mungu amewaruhusu! sikuzote ukipenda kitu furani lazima ukitafutie mazingira ya kukiharalisha kionekane ni sahihi!! ISHI MAISHA YA KUFIKIRIA ZAIDI SIO KUKOPI NA KUPESTI, DINI TUMEZIKUTA,,, FANYA UCHAMBUZI WAKO!!
 
everhurt;
Wajibu hivi; Mjomba ni Kaka wa mama. Mjomba akazaa kifaa chema, mtoto wa mama akakiona akakipenda. Alioa dada yake upande wa kaka wa mama. Leo Mama mkubwa akazaa dume na mama mdogo akazaa jike. Iweje nongwa huyu wa mamkubwa anyimwe ruksa kujichukulia kwa mamdogo?? Huu ni uonevuuuuu. Walikula ya mbuzi wakaota mapembe.
Hahahaha, Naam, "Walikula ya Mbuzi sasa wameota Mapembe"
 
kama binadamu tuu! tunaona kabisa kuoana ndugu ni uchafu! sembuse Mungu akuruhusu! labda shetani!! maana yeye ndio anapenda hayo mambo ya ng'ono! watu walitamaniana kupita kiasi, wakaharalisha kuoana ndugu kwa ndugu! alafu wanasema Mungu amewaruhusu! sikuzote ukipenda kitu furani lazima ukitafutie mazingira ya kukiharalisha kionekane ni sahihi!! ISHI MAISHA YA KUFIKIRIA ZAIDI SIO KUKOPI NA KUPESTI, DINI TUMEZIKUTA,,, FANYA UCHAMBUZI WAKO!!
Haya umesikika Yakhee kunywa maji upumzike sasa.

Huu mjadala mimi sikuuleta kidini ndio maana nikaelekeza mtazamo kwenye jamii ila umegeuka na kua wa kidini.

Mashokolo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom