Msaada wa kutatua changamoto ya Whatsapp yangu

Msaada wa kutatua changamoto ya Whatsapp yangu

Unatumia simu gani... Nilishawai kutana na simu inakataa Whatsapp japo nimedownload play store..

Kufuatilia Whatsapp wakasema simu ambazo Rom (Storage) imekua forged huwa hazikubali Whatsapp...

Pia jaribu kubadilisha namba uone tatizo ni simu au namba
 
Ni takriban karibu mwezi umepita account yangu ya Whatsapp ipigwe ban ila najaribu ku log in inaleta hii message.
View attachment 3640398

Nilisha wa tumia email mpaka basi wanasema ni download version original ila bado changamoto iko pale pale

Je watakuwa wamenipga ban mazima?

Kuna mtu kashawahi pata changamoto ya namna hii?

Mwenye kujua namna ya kutatua anisaidie.
Ifure na uiweke tena na uitoe playstore, ukiona bado tatizo halijakoma tafuta simu nyingine jaribu kuingia akunti yako kupitia hiyo. Ikikubali tu basi elewa shida ni simu yako..

Nishaletewa simu yenye ishu kama hiyo ilikuwa ni Samsung galaxy A17, hata ukifungua akaunti mpya na whatsapp ya Playstore haipiti muda inakula ban. Ajabu sasa akaunti iliyofungwa tulikog in na simu nyingine ikakubali.
 
Ahaa so shida itakuwa device sio?
 
Back
Top Bottom