Msaada wa kutatua changamoto ya Whatsapp yangu

Msaada wa kutatua changamoto ya Whatsapp yangu

Yes,
Nimepost humu karibuni mara mbili na nilijaribu option hizo zoote..

Nilikuwa natumia unofficial apps, ndo ilikuwa chanzo cha ban

Baadae wadau wa kasema niache tu wataifungua baada ya muda

Ila takriban mwezi sasa Hola tu

yaan Ume unistall Whatsapp alaf ukaenda playstore kudownload upya na imegoma?.

Hakikisha files zoote za whatsapp iliyoleta shida zimefutika kwa simu
 
Unatumia simu gani... Nilishawai kutana na simu inakataa Whatsapp japo nimedownload play store..

Kufuatilia Whatsapp wakasema simu ambazo Rom (Storage) imekua forged huwa hazikubali Whatsapp...

Pia jaribu kubadilisha namba uone tatizo ni simu au namba
Kama tatizo ni simu hata abadili namba, itafunguka na atatumia siku kadhaa na baadaye itaiifunga tena kama hivyo
 
yaan Ume unistall Whatsapp alaf ukaenda playstore kudownload upya na imegoma?.

Hakikisha files zoote za whatsapp iliyoleta shida zimefutika kwa simu
Yes

Nime clear data na cahes zote..

Nahisi labda itakuwa device kuna jamaa kasema shida yaweza kuwa device, ila Kuna namba nyingine inakubali?
 
Tatizo sio simu, nimelog in kwa namba tofauti imekubali, ila hii ya muhimu iliyo na ban ndo imeleta shidaa
Ukilog in namba nyingine itakubali ndiyo ila elewa haitakuwa na muda mrefu. Itakula ban kama hiyo. Nimekwambija ujaribu simu nyingine namba iliyofungiwa kama ina shida itakuwa imefungwa tu, ila ukiona imefungua akaunti fresh basi elewa ni simu hiyo
 
Tatizo ni eidha simu au namba yako.

Ikiwa ni simu unaweza kubadili na ukaendelea kupata huduma, ikiwa ni namba yako kwasababu uliviolate terms zao kwa kutumia unofficial WhatsApp au kutumia vibaya mtandao wao hapo imekula kwako badili namba tu hawataifungua.
 
Yes

Nime clear data na cahes zote..

Nahisi labda itakuwa device kuna jamaa kasema shida yaweza kuwa device, ila Kuna namba nyingine inakubali?
Yes

Nime clear data na cahes zote..

Nahisi labda itakuwa device kuna jamaa kasema shida yaweza kuwa device, ila Kuna namba nyingine inakubali?

Fanya hivi.

Futa hiyo whatsapp inayogoma.
Tafuta namba ambayo haijawai kuwa na whatsapp.
Weka namba hiyo kwenye simu yako. Na nenda playstore kudownload whatsapp. (Namba hiyo mpya ikiwepo kwenye simu).

Ingia kabisa kwa whatsapp.
Then log out.

Alaf weka namba yako sasa na login.
Wakikataa nenda option ya support .
Utaona namba yako wamekupiga Ban ya muda gan.

mara nyingi ni masaa 24 au 48.
Baada ya hapo itakubali kulogin.

Tatizo limetokea kwasababu marobot yao yameinasa namba yako kuwa ilikuwa inatumia un official whatsapp app.
 
Back
Top Bottom