Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

Jamani hii OTEAS mbona majanga, nimemfanyia mtu application nikamaliza vizuri, yeye ana degree nashangaa tena kwenye kupreview naona kuna attachment ya Grade A certificate kwamba ni miongoni mwa attachment nilizoweka wakati hata pale kwenye orodha yao ya vitu vya kuattach hicho kitu hakipo sasa hii inatoka wapi tena?. Pia Transcript nimeattach nikaambiwa imekuwa successfully uploaded lkn kwenye preview siioni!!

Mwenyew hii kitu imetokea hapo nahisi kitakuwa kati ya transcrip au aplication letter maana ndo nilikuwa nahangaika navyo.sasa cjui tunatoaje hayo maandishi mfumo wao mbovu kule tume ya ajira unauwezo wa kuedit.
 
Mkuu mi Leo nimemaliza application, ila inabidi utumie internet yenye speed ndio utafanikiwa ijapo nimetumia Siku nzima ya Leo. Pia transcript uki upload inakubali ila ukiangalia kwenye application report haitokei, so nilichokifanya nimeattach transcript kwenye sehemu ya oath certificate na imetokea
Mkuu sasa wewe una attach vipi trascript sehemu ya oath certificate...wewe hapo subiri warekebishe system uta upload transcript sehemu husika
 
Mkuu sasa wewe una attach vipi trascript sehemu ya oath certificate...wewe hapo subiri warekebishe system uta upload transcript sehemu husika
Hawatarekebisha hao mkuu, siku wakiziprint hizo dicument watakutana na transcript
 
Amani naiwe kwenu.
Nimejaribu kumjazia mdogo wangu maombi ya ajira TAMISEMI kwenye system yao ya OTEAS, lakini changamoto ninayoipata ni kwenye attachment, kila nikijaribu ku-upload attachment ina-load tu bila kumaliza. Niki-view application naona taarifa zote kasoro attachment tu.Please naomba msaada wa yeyote ambaye ameshawahi kufanikiwa kufanya application na namna alivyofanikiwa hasa kwenye ku-upload attachment.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.

HAKUNA NAMNA HATA UKIAMKA USIKU WA MANANE! MIMI JAMAA YANGU ANA SIKU YA 4 LEO HAJAMALIZA KUJAZA! JAMBO LA AJABU SASA USIKU SYSTEM INAKUWA KIMEO KABISA! ILIFUNGA SIKU MOJA TU USIKU, AFTER ALL HUWEZI TENA KUIPATA MARA UTAONA KA NOTIFICATION HAKA "BAD GATE WAY"
 
Dah wazee mziki bado mnene
 
JAMAN NAOMBA KUJUA NAMNA YA KUFUTA GRADE A MAANA MIM NILIKUWA NA UPLOAD TRANS NA LETTER SASA HAPO SIJUI ITAKUWA NI KIPI YA HIVYO VIWILI.
 
HEBU NISAIDIENI NIKITAKA KULOG IN NAONA SECURITY ALERT NYEKUNDU
 
nimemaliza ku upload sasa hiyo grad A yao cjui itakuwaje
 
Back
Top Bottom