Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

Si Bora Hawa jamaa wangetumia email ni rahisi kuliko mfumo wao huu. Kuna uwezekano wa kutajirisha makampuni ya simu kipindi hiki kwa sababu zaidi ya masaa 48 unatakiwa uwe online kujaribu kufikia hiyo site.
Nawashaur mkisha atach jarbun kuangalia report maana unaweza attached kikakubal kuwa attached lakn kisiende
 
Msamehe bure alipo amechanganyikiwa. Hujawahi kuona mtu anaibiwa gari lkn anajisachi mpaka kwenye mifuko ya shati, suruali na anaenda kuliangalia ndani ya nyumba? Hapo alipo anatumia akili siyo yake.
Ujue nimeupload lakn inakataa mpk nikahs kingereza changu ndo hakina kaZ
 
Ujue nimeupload lakn inakataa mpk nikahs kingereza changu ndo hakina kaZ
System imeelemewa na si unajua ma-IT wa serikali walivyo? JF inatumiwa na watu zaid ya laki 9 lkn ipo fasta, angalia hata Facebook zaid ya watu bilion 1 wanatumia lkn hii OTEAS imekuwa changamoto. Kibaya zaid serikali inajisifia.
Komaa kibishi kibishi
 
Hahhahshs powa
 
Back
Top Bottom