Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

tamsana

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
3,219
7,077
Amani naiwe kwenu.

Nimejaribu kumjazia mdogo wangu maombi ya ajira TAMISEMI kwenye system yao ya OTEAS, lakini changamoto ninayoipata ni kwenye attachment.

Kila nikijaribu ku-upload attachment ina-load tu bila kumaliza. Niki-view application naona taarifa zote kasoro attachment tu.

Please naomba msaada wa yeyote ambaye ameshawahi kufanikiwa kufanya application na namna alivyofanikiwa hasa kwenye ku-upload attachment.

Natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Amani naiwe kwenu.
Nimejaribu kumjazia mdogo wangu maombi ya ajira TAMISEMI kwenye system yao ya OTEAS, lakini changamoto ninayoipata ni kwenye attachment, kila nikijaribu ku-upload attachment ina-load tu bila kumaliza. Niki-view application naona taarifa zote kasoro attachment tu.Please naomba msaada wa yeyote ambaye ameshawahi kufanikiwa kufanya application na namna alivyofanikiwa hasa kwenye ku-upload attachment.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Mkuu uki attach document moja subiri hadi ikuletee taarifa kuwa tayari, huchukua dk 6 hadi 15. Mi Jana nimemjazia DOGO fresh kabisa
 
Mkuu uki attach document moja subiri hadi ikuletee taarifa kuwa tayari, huchukua dk 6 hadi 15. Mi Jana nimemjazia DOGO fresh kabisa

Mimi nimejaza kila kitu ila nimeshindwa kusubmit. Je ukishajaza taarifa zote unakuwa umemaliza? Hamna mahali pa kubonyeza SUBMIT?
 
Kuna mahali pameandikwa 'appply' ndio hapo unabonyeza

Mbona ukibonyeza apply inakuja kitu kingine kabisa cha kuadd mikoa unayotaka kufanyia kazi.. See screenshot attached below

oteas.PNG
 
ndio hivyo lazima u propose mikoa unayotaka upangiwe
Yes kila kitu tayari nilishafanya hapo yaani application iko complete. Swali langu ni je kuna mahali pa kubonyeza submit ili application iende? au ukishamaliza kujaza sehemu zote unaachia hapo hapo kwenye system bila kusubmit?
 
Kule mwisho Kuna sehemu uta click Kama I send copy kwenye email yako au VIP hapo utakuwa umemaliza. Unaweza uka view application report.

Kwani zinatoka lini hizi.
 
Mbona kuna watu walikuwa wanasema oooh ajira hazikutangazwa watu wa 2016/2017 wametoa hongo wakapewa ajira,,, kwa wao hawakuaply,,,,, sasa kaz wanayoo
 
Kule mwisho Kuna sehemu uta click Kama I send copy kwenye email yako au VIP hapo utakuwa umemaliza. Unaweza uka view application report.

Kwani zinatoka lini hizi.
Habari mkuu,ninashindwa jinsi ya kujanza council of residence,tunafanyaje hapa?? Ni kile kipengele cha kwanza kabisa cha taarifa binafsi
 
Kwa yeyote ambaye amejaza msaada tafadhali,vipi kusearch council of residence
 
Yes kila kitu tayari nilishafanya hapo yaani application iko complete. Swali langu ni je kuna mahali pa kubonyeza submit ili application iende? au ukishamaliza kujaza sehemu zote unaachia hapo hapo kwenye system bila kusubmit?
Hapo ndio tayari umesubmit, kuna option hapo ya kupreview your application kama unaona hiyo basi umeshamaliza application
 
Habari mkuu,ninashindwa jinsi ya kujanza council of residence,tunafanyaje hapa?? Ni kile kipengele cha kwanza kabisa cha taarifa binafsi
Maana yake wilaya unayokaa mkuu pamoja na anuani yako.
 
Back
Top Bottom