Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

Amani naiwe kwenu.

Nimejaribu kumjazia mdogo wangu maombi ya ajira TAMISEMI kwenye system yao ya OTEAS, lakini changamoto ninayoipata ni kwenye attachment.

Kila nikijaribu ku-upload attachment ina-load tu bila kumaliza. Niki-view application naona taarifa zote kasoro attachment tu.

Please naomba msaada wa yeyote ambaye ameshawahi kufanikiwa kufanya application na namna alivyofanikiwa hasa kwenye ku-upload attachment.

Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Welcome 0756385789 for help... Dakika30done
 
Yule Ndiyo Chakubanga mzee baba Kama hujui
Wengi wanao ifagilia ccm sio wafanya kazi wala watu wenye kazi zinazo eleweka, wengi wao ni waajiriwa wasio rasmi (hawapo kwenye payroll) wa Lumumba. Wale wenye ofisi pale Lumumba na wapo kwenye payroll na wenyewe hawamkubali jamaa kiviiile. So hao kina laki si pesa and the team wala wasikusumbue, ni kula kulala tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huko jikoni inaonekana kunapikwa uchafu au wewe ndio umetia uchafu kwenye chakula ili usichafue heshima ya jiko
 
Mleta uzi acha uongo. Serikali haiajiri walimu wanaotoa hizo ajira ni UVCCM. Au hukuona tangazo lao?

IMG-20190306-WA0034.jpg
 
Msipate shida. Uchaguzi unakaribia na wote mtaajiriwa tu. Nani hataki Kula (kura)? Zingine hizi ni mbwembwe tu.
 
Samahan jamani naombani msaada hapa kwenye online teachers employment nimesahau kuchange gender ya female nikaserve sasa nataka ku edit kujaza gender ya female inagoma. Nifanyaje?
 
Samahan jamani naombani msaada hapa kwenye online teachers employment nimesahau kuchange gender ya female nikaserve sasa nataka ku edit kujaza gender ya female inagoma. Nifanyaje?
Hiki kipengele cha majina na jinsia hupatikana mwanzoni kabisa wakati WA kutengeneza akaunti sasa ukija kwenye kupreview utaona hizo taarifa tu kama zilivyo na hutoweza kurekebisha kabisa kama ilivyo Kwa taarifa nyingine.

Kama bado hauja kamilisha Kwa maana ya kujaza mikoa ya machaguo yako na application yako kuwa sent. Waweza Fanya haya
1. Tengeneza akaunti nyingine na ujaze vizuri taarifa zako za jinsia.
2.Au Ziache taarifa zako kama zilivyo then wataona jinsia yako kwenye vyeti hapa itategemea kama watavifungua vyeti kimoja kimoja na kuhivihakiki .



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom