Msaada wa jinsi ya ku-upload picha kwenye online application system ya vyuo vikuu

Msaada wa jinsi ya ku-upload picha kwenye online application system ya vyuo vikuu

Nipe Andiko

Senior Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
133
Reaction score
133
Wadau naomba kufahamishwa hivi kwa wale ambao mmeaply chuo kikuu mwaka huu, kupitia ONLINE APPLICATION SYSTEM, Je, kuna sehemu ya ku-upload picha ya muombaji kwenye profile yake? Maana mimi naona sehemu ambayo kama vile inatakiwa kuwekewa picha, lakini nikitafuta jinsi ya kuiweka picha kwenye hiyo sehemu ndio inakuwa shida, maana hakuna maelekezo yoyote kwamba unatakiwa ku-click wapi ili ku-upload picha kwenye profile yako? Na hii shida nimekutana nayo zaidi ya vyuo viwili nilivyoaply, mwishowe nimeamua kuapply bila picha, na chuo wameniambia maombi yangu yamepokelewa, sasa sijajua labda itaweza kuleta shida baadae ?

Au hii ikoje kwa wengine ambao mmeapply vyuo kwa njia ya Mtandao? Je, picha zenu mmeweka au hamjaweka? Kama mmeweka tufahamishane njia iliyotumika! Nawasilisha.


4f3ef2f9e9f49592b1a50d4d0e3a0221.jpg
 
Mkuu vipo vyuo ambavyo havihitaji kiapload pic ila kwa vyuo ambavyo vinahitaji pic
Usi click kwenye pic space Bali tafuta box lenye neno browse mara yingi liko Chini ya picha sample

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom