Migango kelvin
Member
- Mar 2, 2019
- 5
- 1
inatakiwa ukubwa wa kiasi ghani coz nimejaribu inakataaaa Kbs ngapi au jb ghapi
inatakiwa ukubwa wa kiasi ghani coz nimejaribu inakataaaa Kbs ngapi au jb ghapi
inatakiwa ukubwa wa kiasi ghani coz nimejaribu inakataaaa Kbs ngapi au jb ghapi
Umesubmit kabisa!... Maana na mimi nimemaliza na kuna hiyo grade A, sasa napata mashaka kusubmitnimemaliza ku upload sasa hiyo grad A yao cjui itakuwaje
Ni kweli hili tatizo hata mim limenitokea sijui tunafanyaje hapoNi
Ni Transcript ukiupload inaleta Grade A certificate kwenye report preview
Mnaosema mmemaliza bla kufata maelekezo nunuen kabsa majembe mwende shamba
Attach mpl vitokee vyoteSorry wa ndugu kwa MTU aliyeresit anafanyaje ktk kuatach vyeti maana mim nimeatach vyote lakini kimetokea kimoja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeupload inaleta grade a hakuna tatO ucjal maana kule mwanzo kipind una create aacount uliweka grade a holder hapo hakuna shida
Kwahyo msijal mambo ni sawa kabsa msijal kuhusu kuandika grade aKama umeupload inaleta grade a hakuna tatO ucjal maana kule mwanzo kipind una create aacount uliweka grade a holder hapo hakuna shida
Mkuu vipi kuhusu suala la majina kuwa mawili kwenye vyeti vya taaluma na utalamu ili hali kwenye cheti cha kuzaliwa yapo matatuKwahyo msijal mambo ni sawa kabsa msijal kuhusu kuandika grade a
Mwanzoni wakati WA kucreate akaunti niliweka arts subject teachers lakini huku kwenye transcript inaandika grade AKama umeupload inaleta grade a hakuna tatO ucjal maana kule mwanzo kipind una create aacount uliweka grade a holder hapo hakuna shida
bora yako wewe umefanikiwa kufika hatua hiyo mimi siku mbili nafika hatua ya kuapload attachment imenigomea hapo hadi leoo.Habarini wakuu, nina changamoto kidogo hapa. Wakati nafanya hii application jana usiku mtandao ulikuwa unasumbua sana hadi ikafikia stage naambiwa uploaded lakini ukienda kuangia kwenye application report hakuna kitu, sasa katika hizo hatua nimejikuta kimeingia kijina cha GRADE A CERTIFICATE wakati sikukiweka na wala sina attachment yake coz mm naomba shahada ya mwalim wa science. Msaada wenu wakuu nitoe hiyo grade a cetificate ili niweke Transcript. Mwenye uzoefu tafadhali.
pia hili tatizo naona linatokea kwa watu wengi sana sijui ndo matatizo ya kiufundi au lah!Habarini wakuu, nina changamoto kidogo hapa. Wakati nafanya hii application jana usiku mtandao ulikuwa unasumbua sana hadi ikafikia stage naambiwa uploaded lakini ukienda kuangia kwenye application report hakuna kitu, sasa katika hizo hatua nimejikuta kimeingia kijina cha GRADE A CERTIFICATE wakati sikukiweka na wala sina attachment yake coz mm naomba shahada ya mwalim wa science. Msaada wenu wakuu nitoe hiyo grade a cetificate ili niweke Transcript. Mwenye uzoefu tafadhali.
pia hili tatizo naona linatokea kwa watu wengi sana sijui ndo matatizo ya kiufundi au lah!
Hata kwenye cheti chako si kimeandikwa grade a certificate auMwanzoni wakati WA kucreate akaunti niliweka arts subject teachers lakini huku kwenye transcript inaandika grade A
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shida yoyoteMkuu vipi kuhusu suala la majina kuwa mawili kwenye vyeti vya taaluma na utalamu ili hali kwenye cheti cha kuzaliwa yapo matatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwenye cheti chako si kimeandikwa grade a certificate au