ntawi hussein
Member
- Apr 8, 2018
- 35
- 15
Kwa walimu wa fizikia na hesabu waliomaliza 2018 je wanaweza kuapply kwa kutumia transcript mana vyeti havijatoka bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shida yoyote
Umekosea wapi?Jamani msaada kama umekosea na na ushatuma unafanyaje
Nimeomba primary badala ya secondary, nilikua cna taarifa ya kubadishwa kwa tangazo
Nimeomba primary badala ya secondary, nilikua cna taarifa ya kubadishwa kwa tangazo
Nilichagua arts ,bt kwenye application ndo nimespesDuh nilivyoona ni kuwa ukiwa ndo unaanza Ku create akaunti kuna category tatu ya kwanza ni science teachers for secondary... Arts subject teachers( hawajascpecify kuwa watafundisha wapi kama science).. Then kuna primary I think grade A sasa wewe kwa hapo ulichagua wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichagua arts bt kwenye barua ndo nikaspecifyDuh nilivyoona ni kuwa ukiwa ndo unaanza Ku create akaunti kuna category tatu ya kwanza ni science teachers for secondary... Arts subject teachers( hawajascpecify kuwa watafundisha wapi kama science).. Then kuna primary I think grade A sasa wewe kwa hapo ulichagua wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn Mimi attachment zinakataaHabarini wakuu, nina changamoto kidogo hapa. Wakati nafanya hii application jana usiku mtandao ulikuwa unasumbua sana hadi ikafikia stage naambiwa uploaded lakini ukienda kuangia kwenye application report hakuna kitu, sasa katika hizo hatua nimejikuta kimeingia kijina cha GRADE A CERTIFICATE wakati sikukiweka na wala sina attachment yake coz mm naomba shahada ya mwalim wa science. Msaada wenu wakuu nitoe hiyo grade a cetificate ili niweke Transcript. Mwenye uzoefu tafadhali.
Kiinabd mtu utume hvo hvo maana hakuna option kabsaHata mimi imekuwa hivyo hivyo, baada tu ya ku upload transcript, ikatokea hiyo Grade A na transcript haitokei. Sasa sijui hilo tatizo linatatuliwaje?
Keep trying brother, mtafutaji hachoki.yaani tangu juzi vijana wanahangaika mtu wangu! nawajua vijana karibia wanne mara huku mara kule kwenye vikefu nothing doing!!!. website hiyo kuna pages hazikuwa tayari wakati tangazo linatoka; hapo ujue sasa hela ni ngumu kuipata halaf mtu anaweka tangazo kila kona wakati miundombinu haiko tayari watu wanaanza kupoteza hela kwenye vikefu na usafiri! mtu unajikuta unatamani kutukana. Deadline? tarehe 15 March!!!!! so bullllll!!!!!!
Umesubmit kabisa!... Maana na mimi nimemaliza na kuna hiyo grade A, sasa napata mashaka kusubmit
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiinabd mtu utume hvo hvo maana hakuna option kabsa
Haiwezekanihiv unaweza apply post ndo ukaja kufanya attchment?maana attchment inagoma kbs.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana mkuu, maana kwenye apply post unachagua mikoa tu hakuna kinginehiv unaweza apply post ndo ukaja kufanya attchment?maana attchment inagoma kbs.
Sent using Jamii Forums mobile app
sababu kuna mwl hapa amefanya hivyo kaomba post. ndio anafanya attchment.na bado zinakataa .
sababu kuna mwl hapa amefanya hivyo kaomba post. ndio anafanya attchment.na bado zinakataa .
maana naamin kwa mfumo huu unaweza edit kutoka mwanzo mpk mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app