Migango kelvin
Member
- Mar 2, 2019
- 5
- 1
Jamani attachment tunaweka kwa format ghani?pdf amaMaana yake wilaya unayokaa mkuu pamoja na anuani yako.
Jamani attachment tunaweka kwa format ghani?pdf amaMaana yake wilaya unayokaa mkuu pamoja na anuani yako.
Jamani attachment tunaweka kwa format ghani?pdf ama
Sio wew tu hata me broJamani hii OTEAS mbona majanga, nimemfanyia mtu application nikamaliza vizuri, yeye ana degree nashangaa tena kwenye kupreview naona kuna attachment ya Grade A certificate kwamba ni miongoni mwa attachment nilizoweka wakati hata pale kwenye orodha yao ya vitu vya kuattach hicho kitu hakipo sasa hii inatoka wapi tena?. Pia Transcript nimeattach nikaambiwa imekuwa successfully uploaded lkn kwenye preview siioni!!
Mkuu sasa hiyo Grade A certificate tunaitoaje?Sio wew tu hata me bro
Dah hapo sasMkuu sasa hiyo Grade A certificate tunaitoaje?
Kwa kweli huu mfumo ni janga, ukifikiri umefanikiwa kwa upande huu, kunaibuka tena bonge la tatizo. Transcript haionekani, mara Grade A certificate, tabu tupu.Dah hapo sas
Oohh hapo n kisanga na nusuMkuu sasa hiyo Grade A certificate tunaitoaje?
Mimi nime upload document ambalo siyo nifanyeje maana hamna Pa kueditTranscript si ndo cheti cha chuo ama
Vumilia broKwa kweli huu mfumo ni janga, ukifikiri umefanikiwa kwa upande huu, kunaibuka tena bonge la tatizo. Transcript haionekani, mara Grade A certificate, tabu tupu.
Weka upyaMimi nime upload document ambalo siyo nifanyeje maana hamna Pa kuedit
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi imekuja attachment ya Grade A, sijuiJamani hii OTEAS mbona majanga, nimemfanyia mtu application nikamaliza vizuri, yeye ana degree nashangaa tena kwenye kupreview naona kuna attachment ya Grade A certificate kwamba ni miongoni mwa attachment nilizoweka wakati hata pale kwenye orodha yao ya vitu vya kuattach hicho kitu hakipo sasa hii inatoka wapi tena?. Pia Transcript nimeattach nikaambiwa imekuwa successfully uploaded lkn kwenye preview siioni!!
Mkuu mi Leo nimemaliza application, ila inabidi utumie internet yenye speed ndio utafanikiwa ijapo nimetumia Siku nzima ya Leo. Pia transcript uki upload inakubali ila ukiangalia kwenye application report haitokei, so nilichokifanya nimeattach transcript kwenye sehemu ya oath certificate na imetokeaKwa kweli huu mfumo ni janga, ukifikiri umefanikiwa kwa upande huu, kunaibuka tena bonge la tatizo. Transcript haionekani, mara Grade A certificate, tabu tupu.
Msaada kwenye walimu wa elimu maalumu maana category ni mbili tu arts na science ila elimu maalum hazipo
Bonge la idea mwanaMkuu mi Leo nimemaliza application, ila inabidi utumie internet yenye speed ndio utafanikiwa ijapo nimetumia Siku nzima ya Leo. Pia transcript uki upload inakubali ila ukiangalia kwenye application report haitokei, so nilichokifanya nimeattach transcript kwenye sehemu ya oath certificate na imetokea
Lakin hapo pa oath ni chet cha kiapo kama umebadl jinaBonge la idea mwana
Upload upyaNIME UPLOAD CHETI CHA GRADE A BILA KWA BAHATI MBAYA. NATOAJE?? MWENYE UJUZI ANISAIDIE
View attachment 1037866
dah! tangu saa saba nahangaika bila kujua chochote maana kila nikiUpload Transcript inakuja Grade AMkuu mi Leo nimemaliza application, ila inabidi utumie internet yenye speed ndio utafanikiwa ijapo nimetumia Siku nzima ya Leo. Pia transcript uki upload inakubali ila ukiangalia kwenye application report haitokei, so nilichokifanya nimeattach transcript kwenye sehemu ya oath certificate na imetokea
mbona nimejaribu kurudia ila hakuna mabadilikoUpload upya