Mfumo wa 'Online Teachers Applications System(OTEAS)' upo hewani. Waombaji wa kazi za ualimu wanaweza kuendelea

hashimrashidy

Senior Member
Sep 11, 2015
197
145
Muhimu
1. Hakikisha upo katika internet nzuri.
2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb.
3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual.
4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019.

Kila la kheri
DICT TAMISEMI.
04.03.2019

BONYEZA HAPA CHINI KUPATA MAELEKEZO KWA MFUMO WA VIDEO HATUA KWA HATUA

Screenshot (135).png
 
*Muhimu*

Nimeelewa vzr sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana ucku nilijiregister nikaishia kwenye kuattach cha ajabu mda huu naingia nashindwa kulogin imegoma kabisa na nilibakisha kipande kidogo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali mawili;

1. Kwa nini ukiattach Transcript, inakuonesha kuwa imekuwa successfully uploaded lakini ukifanya preview haionekani?
2. Kwa nini attachment ya Grade A certificate inatokea kwenye orodha ya vitu vilivyokua attached wakati hujai attach na huna kiwango hicho cha elimu, unawezaje kuiondoa?------Msaada kwenye tuta tafadhali!!
 
Wadau mimi namsaidia dogo wangu kuapply lakini tangia last week inaandika
"This Page isn't working
ajira.tamisemi.go.tz didn't send any data
ERR _EMPTY_RESPONCE

Na hata nikijaribu ku-reload page na ku-refresh still inarespond hivyo hivyo. Na yeye amejaribu kwenye internet cafe huko huko alipo na anapata error hiyo hiyo. Msaada wenu please kwa link mnayotumia manake ninatumia ile ile iliyopo kwenye website ya TAMISEMI
 
Maswali mawili;

1. Kwa nini ukiattach Transcript, inakuonesha kuwa imekuwa successfully uploaded lakini ukifanya preview haionekani?
2. Kwa nini attachment ya Grade A certificate inatokea kwenye orodha ya vitu vilivyokua attached wakati hujai attach na huna kiwango hicho cha elimu, unawezaje kuiondoa?------Msaada kwenye tuta tafadhali!!
Napenda kurudisha mrejesho kwamba hilo tatizo limeisha, kwa sasa naiona transcript kwenye preview na ile Grade A certificate imeondolewa. Asante
 
Muhimu
1. Hakikisha upo katika internet nzuri.
2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb.
3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual.
4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019.

Kila la kheri
DICT TAMISEMI.
04.03.2019

BONYEZA HAPA CHINI KUPATA MAELEKEZO KWA MFUMO WA VIDEO HATUA KWA HATUA

View attachment 1038135

Naomba msaada tafadhali, kwa waombaji wa Ualimu Grade A, kwenye kipengele cha Academic Qualification pana shida. Cheti cha Grade A kimetolewa na NECTA, lakini panahitaji kujaza NACTE Candidate Number. Ukiandika index number ya mtihaniwa wa Ualimu unapata notification 'No data found', pengine kwa kuwa Index number imetolewa na NECTA. Msaada tafadhali nini kifanyike.
 
Kuna changamoto kibao. Sijui kwa nini tunatumia mfumo wa online. Mfumo umeganda tu. Ni muda gani unakuwa unafanya kazi?
 
Naomba msaada tafadhali, kwa waombaji wa Ualimu Grade A, kwenye kipengele cha Academic Qualification pana shida. Cheti cha Grade A kimetolewa na NECTA, lakini panahitaji kujaza NACTE Candidate Number. Ukiandika index number ya mtihaniwa wa Ualimu unapata notification 'No data found', pengine kwa kuwa Index number imetolewa na NECTA. Msaada tafadhali nini kifanyike.
Hicho chagua kwanza kwamba hakijatolewa na NACTE ndo ujaze namba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhimu
1. Hakikisha upo katika internet nzuri.
2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb.
3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual.
4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019.

Kila la kheri
DICT TAMISEMI.
04.03.2019

BONYEZA HAPA CHINI KUPATA MAELEKEZO KWA MFUMO WA VIDEO HATUA KWA HATUA

View attachment 1038135
Mbona ukisave inaonuesha you successifully saved. Lakini kiuhalisia hamna kilichosevika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom