Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Tatizo la kutizama GPA lipo sana katika hizi nchi zetu za Africa; na ninaamini linatupotezea vipaji sana. Leo kuna taarifa kutoka Afrika Kusini Rubani mmoja wa ndegu za SAA kaendesha ndege bila hata tatizo moja kwa miana 20 mnoko mmoja kagundua alipata kazi kwa kutumia vyeti feki; Wameamua afukuzwe kazi na kulipa faini sijui randi ngapi! mtu unabaki unajiuliza kipi muhimu: vyeeeti? au ujuzi????