dariro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2016
- 276
- 286
AHsante mkuuMaana yake wilaya unayokaa mkuu pamoja na anuani yako.
AHsante mkuuMaana yake wilaya unayokaa mkuu pamoja na anuani yako.
Hapo ndio tayari umesubmit, kuna option hapo ya kupreview your application kama unaona hiyo basi umeshamaliza application
Amani naiwe kwenu.
Nimejaribu kumjazia mdogo wangu maombi ya ajira TAMISEMI kwenye system yao ya OTEAS, lakini changamoto ninayoipata ni kwenye attachment, kila nikijaribu ku-upload attachment ina-load tu bila kumaliza. Niki-view application naona taarifa zote kasoro attachment tu.Please naomba msaada wa yeyote ambaye ameshawahi kufanikiwa kufanya application na namna alivyofanikiwa hasa kwenye ku-upload attachment.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.

Ndio hizo mkuu
Unataka kufahamishwa nini hasa?Habari ndugu naomba Kwa yeyote anaefahamu mfumo Wa kuomba ajira Kwa OTEAS anifahamishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako ni uvivu yaani unataka kila kitu upewe kikiwa tayari.
Nimejaribu ilah haifunguki Ni tatizo la hiyo site au?? Ni zaidi ya mara nane ssilah haifungukiTatizo lako ni uvivu yaani unataka kila kitu upewe kikiwa tayari.
Hivi unashindwa nini kuingia tovuti ya tamisemi na kuangalia hilo tangazo la ajira? Au hata tovuti ya tamisemi huijui?
Ingia hapa www.tamisemi.go.tz
Kisha shuka chini tafuta tangazo la ajira za ualimu, chini yake utaona link ya kutuma maombi ambayo ni hii http://ajira.tamisemi.go.tz ukiingia hapo fuata maelekezo kujisajili kila kitu kimeelekezwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia usiku mnene au damka asubuhi sana kabla internet cafe na stationery hazijafunguliwa maana hapo watumiaji wanakua wachache, kwenye muda wa kawaida ni ngumu sanaNimejaribu ilah haifunguki Ni tatizo la hiyo site au?? Ni zaidi ya mara nane ssilah haifunguki
Ndugu unaeza saidia na mm Luna kitu kimetatizaMungu ni mwema,mungu awasaidie tuu ndugu zangu,shetani hua anatumia nguvu sana kuwaangusha watu wa mungu.amen