johnku the best
Member
- Feb 20, 2018
- 8
- 0
Asante mkuu. Ubarikiwe.
Asante mkuu. Ubarikiwe.
Unajaza mwenyewe kilakitu hukomkuu hebu nikuulize kitu watu wengi wananiuliza je unavyo apply unaandika interms of letter au unakuta barua Huko na kuijaza?
Chochote tu unattachMkuu una-attach nakala za vivuli ama hata scanned original certificates? msaada plz
Shukrani sana mkuu.Chochote tu unattach
Mkuu sema ni wewe waalimu tupo wengi humuKuna Dogo nimemuombea hizo nafasi, nimeenda kupreview application report naona attachments hazipo..naweza kurudia kuattach halafu nitume tena?? Wenye kujua hili tafadhali.
Yes kila kitu tayari nilishafanya hapo yaani application iko complete. Swali langu ni je kuna mahali pa kubonyeza submit ili application iende? au ukishamaliza kujaza sehemu zote unaachia hapo hapo kwenye system bila kusubmit?
Mkuu sema ni wewe waalimu tupo wengi humu
Hamna bwana..Mimi niko mzigoni miaka saba sasa. namhangaikia dogo naye aweze kutumia maarifa yakeMkuu sema ni wewe waalimu tupo wengi humu
Mimi pia nimekesha lakini attachments zimekubali mbili tu.Bora hata`ajira portal. hii system iko down kinoma. nimefanya hadi saa 8 usiku nimefanikiwa kuregister tu.attachments zinagoma
Huu mfumo ni legevu sana..but I think also applicants are so many..three and plus years have elapsed people are on streets without recruitment.. mfumo umesheheni waombaji wengi mno..Mimi pia nimekesha lakini attachments zimekubali mbili tu.
yaani tangu juzi vijana wanahangaika mtu wangu! nawajua vijana karibia wanne mara huku mara kule kwenye vikefu nothing doing!!!. website hiyo kuna pages hazikuwa tayari wakati tangazo linatoka; hapo ujue sasa hela ni ngumu kuipata halaf mtu anaweka tangazo kila kona wakati miundombinu haiko tayari watu wanaanza kupoteza hela kwenye vikefu na usafiri! mtu unajikuta unatamani kutukana. Deadline? tarehe 15 March!!!!! so bullllll!!!!!!Ni kero kweli kwa vijana