Nataka kujua kama naweza kutumia transcript kuomba maana vyet bado havijatoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
umeattach copy au? kama scanned ya original ya vyeti umeshakosaJmn mnisaidie kitu kmoja nimeatach vyeti vyote lkn kienda kuview chet cha matokeo ya chuo hakitokei kwny panel attachment ,,tafadhal msaada
Nimeatach scanned ya original ndio ,sasa koo niatach koppy naeza rudia?umeattach copy au? kama scanned ya original ya vyeti umeshakosa
Fafanua hapaumeattach copy au? kama scanned ya original ya vyeti umeshakosa
Naomba kuuliza, kwan na CV tunaatach?Nimeatach scanned ya original ndio ,sasa koo niatach koppy naeza rudia?
Rudia Mkuu mpka kiwe attachedNimeatach scanned ya original ndio ,sasa koo niatach koppy naeza rudia?
Hivi kwani huwa anajitahidi kuvuruga?Mungu ni mwema,mungu awasaidie tuu ndugu zangu,shetani hua anatumia nguvu sana kuwaangusha watu wa mungu.amen
Mkuu nisaidie unaattach nakala za vivuli zilizohakikiwa na mwanasheria ama hizi za kuscann original certificates? Msaada plzMkuu uki attach document moja subiri hadi ikuletee taarifa kuwa tayari, huchukua dk 6 hadi 15. Mi Jana nimemjazia DOGO fresh kabisa
mkuu hebu nikuulize kitu watu wengi wananiuliza je unavyo apply unaandika interms of letter au unakuta barua Huko na kuijaza?Mkuu uki attach document moja subiri hadi ikuletee taarifa kuwa tayari, huchukua dk 6 hadi 15. Mi Jana nimemjazia DOGO fresh kabisa
Mkuu una-attach nakala za vivuli ama hata scanned original certificates? msaada plzMkuu uki attach document moja subiri hadi ikuletee taarifa kuwa tayari, huchukua dk 6 hadi 15. Mi Jana nimemjazia DOGO fresh kabisa
Scanned MzeeeMkuu una-attach nakala za vivuli ama hata scanned original certificates? msaada plz
Scanned MzeeeMkuu una-attach nakala za vivuli ama hata scanned original certificates? msaada plz
mkuu hebu nikuulize kitu watu wengi wananiuliza je unavyo apply unaandika interms of letter au unakuta barua Huko na kuijaza?
Scan Vyeti Vyako Tu Haina Haja Ya Kupigwa MuhuriMkuu nisaidie unaattach nakala za vivuli zilizohakikiwa na mwanasheria ama hizi za kuscann original certificates? Msaada plz
Jaribu NightYaaan OTEAS ni kimeo haifunguki au wanacheza mchezo mi najua hii mwamba www.tamisemi.go.tz
Sent using Jamii Forums mobile app
PERMANENT SECRETARY,na anuwani unatumia ipi wakuu?