Huyo mwamba ni hatari.NEXT LEVEL-CRIME NAMPA SALUTE HUYO MWAMBA KUBLOCK ACCESS ZOTE HIZO NA KUCHUKUA PESA KIRAHIS..PIA POLE SANA MKUU.
TUWE NA SUBIRA ATAKUJA MJUZI MDA SIO MREFU KUELEZA JINSI ALIVO FANYA FANYA MPKA AKAFANIKIWA KUIBA HIZO HELA.
Huyo mwamba ni hatari.NEXT LEVEL-CRIME NAMPA SALUTE HUYO MWAMBA KUBLOCK ACCESS ZOTE HIZO NA KUCHUKUA PESA KIRAHIS..PIA POLE SANA MKUU.
TUWE NA SUBIRA ATAKUJA MJUZI MDA SIO MREFU KUELEZA JINSI ALIVO FANYA FANYA MPKA AKAFANIKIWA KUIBA HIZO HELA.
Unacho kiamini sivyo ndivyo kilivyo unaweza ukaibiwa na bado hao cyber wako unao waamini wakabaki wameduwaa na wasimpate mhalifu hata kama namba wanayoVODACOM +255 743 938 273 iliyosajiliwa kwa jina la NYAMIZI MASANJA. Ushapata jina lake na namba ya simu ya evidence afu unashindwa kumpata may be huna shida nae tu, elfu 60 tu ukienda polisi ukaongea na wahusika huyo unampata ndaki ya masaa 6 tu , tena unampata yeye na ukoo wake wote.
Mi nikiamua kumwinda mtu Tanzania hii nampata yeye na ukoo wake wote.
Warning: huyo jamaa ataendelea kupata hela zote zinazoingia bank na tigopesa/mpesa mpaka mmpate au mtelekeze hizo akaunti na laini zote na simu muitupe
Ila hawa jamaa ni nomaHapana wife hana kosa, ila ni uwizi mpya technology ni pana sana mkuu tusimgombanishae jamaa na mkewe
HahahHh dah aisee kweli, haikuwa siku yako... Hao jamaa huwa wana mbinu sana, ukimpa mwanya tu basi story ita badilikaMimi hadi sasa nimeruka viunzi kadhaa vya matapeli. Na kiunzi cha mwisho ni abiria niliyekuwa nimekaa naye kwenye siti ya basi
Jamaa tuliyoingia tu ndani ya basi akaanza stori za hapa na pale ili tuzoeane
Hua sipendi kuzoea watu safarini yaani tukishasalimiana habari inaishia hapo isipokuwa kama kuna matukio ya muhimu yamejitokeza barabarani
Jamaa kila akijiongelesha mi naitikia tu hata sehemu zilizotakiwa kuchangia
Baadae nikaona asijekuniona namna gani vipi nikawa nampa ushirikiano kiasi fulani
Tuko katikati ya safari akaanza kuniomba simu awasiliane na anapoenda waje kumpokea kwani nimgeni anapoenda
Nanyanyua mkono wangu nimpe, roho ikapiga paap! Nikasita! Wakati mwingine Mungu anaingilia kati
Nilivyosita tu akili nayo ikanipa ushirikiano wa haraka wazo likaja la kumwambia anitajie namba nipige mimi yeye aongee nae.
Jamaa akaanza stori za mara anayewasiliana nae kuongea ni shida na simu yake spika huwa haisikiki vizuri hivyo anataka atume msg
Nikamwambia sina msg nimebaki na dk. Jamaa kumbe ana vocha!
Ikabidi niwe mswahili tu nikamwambia ukweli kwa lugha ya kistaarabu iliyojaa kila aina ya diplomasia ndani kwamba simu yangu ni yangu tu kama anashida kweli msg nitaituma Mimi kwasababu hakuna siri yoyote kwa mtu unayempa taarifa
Ikabidi awe mpole na Mimi nikajifanya kumpa ushauri kwamba siku hizi wajanja ni wengi na hizi simu zetu ni kama bank, sio vizuri kila mtu akawa anagusa gusa simu yako hasa kama hamfahamiani.
Stori ikaishia pale na stori zikabadilika cha ajabu tumeshuka msamvu pale Morogoro wakati anaingia kwenye daladala nikaona anatoa simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama asemavyo DubeHapana mkuu, hawa viumbe akili zao wanazijua wenyewe. Ni waongo na wanafiki kupindukia.
There's no truth in this world.
Hii tofautii...!!Nasikia mbinu wanayotumia hawa jamaa ni kwamba, Anapofika kwa wakala anauliza kama analo salio la kutosha. Baadaye anamwambia wakala nitumie fedha kwenye simu yangu, anataja namba. Lakini namba hiyo anayotaja anaikosea makusudi namba moja. Kwa wakala ambaye hayuko makini anatuma hiyo fedha. Baadaye yule mwizi anasikilizia taarifa ya kupokea fedha haifiki. Anaanza kulalamika. Anamwambia wakala; we kwani umetuma kwenye namba gani? Wakala anapoisoma hiyo namba, yule mwizi anamwambia umekosea namba ya mwisho. Yule Wakala anapojaribu kufuatilia muamala wake anakuta yule aliyemtumia ambaye ni mshirika wa yule mwizi anakuwa ameshaitoa na hivyo kujikuta hawezi kulipwa na yule aliyemwambia amtumie kwa sababu fedha hazikuingia kwake, ndiyo anakuwa kaibiwa tena.
NajuaHii tofautii...!!
Hahahah akili yako ni ndogo sana lengo sio jina lake,ukipata namba moja kwa moja umepata na eneo namba hiyo inatumika na unapata mawasiliano yake yote ya nyuma na njia zote alizotembea na hiyo lainiUNA AKILI ZA HOVYO SANA....KWA TAARIFA YAKO HAKUNA MWIZI ANATUMIA SIMU ILIYOSAJILIWA JINA LAKE HALISI. NI SAWA NA WALE MAJAMBAZI WANAKURUPISHWA WANAKIMBIA WANAACHA GARI YAO, MTU ANASEMA SI WAFUATILIE TU NAMBA YA GARI TRA WATAMPATA, HAKUNA WEZI WANAOTUMIA GARI WAKAWEKA PLATE NAMBA HALISI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah bongo hatuna hackers wa viwango vya juu ki hivyo ila wizi wa mtandaoni huwa unaacha ushahidi ambao ni rahisi kumpata tofauti na wizi wa nje ya mtandaoUnacho kiamini sivyo ndivyo kilivyo unaweza ukaibiwa na bado hao cyber wako unao waamini wakabaki wameduwaa na wasimpate mhalifu hata kama namba wanayo
Unajua ile laini/chip ukiiweka kwenye simu tu ni tracker nzuri sana yaani kupitia hiyo mtu anaweza elezea safari yako ilianzia wapi na ikaishia wapi hata akiitupa huwa tunachora mduara kutoka laini ilipotupwa mpaka mhusika alipo na ile laini kama ashawahi itumia kwa matumizi yoyote ya kupiga/kupokea,text,internet taarifa zote zinapatikanaUtawapata wasiohusika huwajui vibaka wewe.
Tena unaweza kupata ndugu zako, si wanaenda na vinida vyao kusajili laini au hawaendi? Kama wanaenda hamna jambo mkae kwa kutulia tu
Duh Wewe unazani wanawake wote ni wasabato?..Au wanawake WA kitaa kama Buza hawaolewi!....Huyo mkeo mbona ana lugha za mtaani sana. Eti " mpunga". Usimuamini hata kidogo.
Ahahahaha boss haya mambo yetu ujue.Unajua ile laini/chip ukiiweka kwenye simu tu ni tracker nzuri sana yaani kupitia hiyo mtu anaweza elezea safari yako ilianzia wapi na ikaishia wapi hata akiitupa huwa tunachora mduara kutoka laini ilipotupwa mpaka mhusika alipo na ile laini kama ashawahi itumia kwa matumizi yoyote ya kupiga/kupokea,text,internet taarifa zote zinapatikana
Not easy as you think.Hiyo ishu kwa polisi ni ndogo sana kama wakiamua wanamkamata
1)kuna laini aliyojiamishia pesa
2)kwa wakala aliyetoa hiyo pesa Mara nyingi matapeli wanakuwa na namba za mawakala wao akifanya utapeli tu anaitoa fasta
2)kuna simu aliyoitumia inaweza kusoma laini zote ambazo ziliwahi kuwekwa humo
Kwa kutumia hivyo vitu 3 polisi wanauwezo wa kumkamata huyo mwizi
Lakini utashangaa jinsi utakavyo zunguushwa ila kama angemtikana raisi fasta tu angekamatwa hii nchi bado sana
Inategemea coz yey ndie anamjua mkewe vizuri. Kama angekuwa wakwangu mimi ningemfungia humo shop wiki nzima dadeki.Vipi tena,makofi kidogo au suspension?!
Nilianza kuandika hapa ila nimefuta ila iko hivi hakuna assurance ya security ukiwa na kifaa chochote kinacho radiate EM waves, Yani ukiwa ndani ya network tu kuwa tracked down ni swala la muda na expertise ya wanaokutafuta, Ukitaka safety 100% Usitumie kabisa vifaa vya kielectronicsAhahahaha boss haya mambo yetu ujue.
Huwezi kumkamata hata ufanye vipi huwa wanatumia stingrays ku-trace location ya simu n.k
.
Sasa mimi nimekuja na Nokia tochi OG moja ya simu zenye strong security ambayo ina laini yangu ya Vodacom niliyoisajili kiwizi kutoka kwa Ashura Justin bila yeye kujua nikaiba fedha zako nikajitumia nikaenda nikatoa fedha nika-block IMEI nikaitupa utanipataje?
Sure bwana na poleni mnoAsante sana cariha , inaonekana operation order yake ilikuwa so well organized. He's the mastermind!
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa za weweMambo vipi?