Mkuu huu msiba ni wa jirani ndiyo maana unasema hivyo.
Hauwezi kupisha chambo cha tapeli, maana haukosi udhaifu wa kibinadamu na ndiyo fursa yao.
Wewe kama upo strong, basi washua hupitia hata kwa mama watoto ili akushawishi ulegee!
Tapeli hana sura wala rangi, yaani ni shetani anayekunasa kwa udhaifu wako wa sekunde1, ana uwezo wa kukulia mingo ya mwaka mzima kusubiria udhaifu wako wa sekunde!
Mimi ni mgumu na ni mjanja, lakini nikikusimulia kisa cha namna nilivyotapeliwa utastaajabu!
Sent using
Jamii Forums mobile app