DJ Kassu
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 382
- 282
- Thread starter
- #241
You've got a good sense. Nami nimefikiria hivyohivyo. Time will tellNinachoamini mimi huyo jamaa atakuwa ni IT wa hiyo mitandao ya simu, yaani alishafanya kazi huko then akafukuzwa au akaacha kwa hiyo siri nyingi na utaalam mwingi anaujua!
Mke wangu ni 'mwana' sana mkuuHuyo mkeo mbona ana lugha za mtaani sana. Eti " mpunga". Usimuamini hata kidogo.
. So huo mwandiko usikuchanganye, it's totally different from her personality. 
Asante sana mkuu, tumeshareport Polisi tayari, wanaendelea na uchunguzi.Dah!
Pole sana mkuu..
Nenda ka report polisi
Asante sana cariha , inaonekana operation order yake ilikuwa so well organized. He's the mastermind!Huyo mwizi inaonyesha Alisha msoma wife long time, na ukute hushirikiana na hao wa benki kujua password.poleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Probably, hatuwezi jua. Japo sijawahi shuhudia hilo jambo kwenye simu ya bishosti. Anything is possible though!Saa zingine mtu anasevu kwenye simu password, labda jamaa aliiona akahamisha fasta
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutamgombania mkuu, mwenye dau kubwa ndo atamdakaHuyo natakiwa nimpate nimwajiri aisee

Una make sense sana mkuu. Asante sana, umakini ndo jambo la msingi. Japo bado naumiza kichwa inakuwaje mtu anaweza kutoa pesa kwenye akaunti yako bila kuleta notification, na baadae kublock kila kitu. How is that possible kwenye Banking System?Apo mkuu kuna menu ukibonyeza inatokea maneno ambaye yanamtaka mhusika aweke namba ya siri then jamaa anamwambia aweke namba ya siri yeye bila kijua baada ya apo inaleta sms ile sms inapokuja inakuwa ina namba ya siri kwahiyo wakala anafungua ile sms anasoma fast then anafuta ....pole sana mkuu tuwe makin
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata uyo uncle wako ni walewale...aina iyo ya uhuni naifahamu na tushawahi mkamata mmoja akiwa katika jaribio la kutaka kumuibia bi mkubwa wake na rafiki angu,wanachofanya wakati anakusajilia iyo laini mpya ya chuo anakuuliza technical questions ili kukuingiza kingi na wewe ukiwa mzembe unaingia kweli...mfano atakwambia anataka kukusajilia na m pesa so kwenye kukusajilia m pesa atakuuliza password na mara nyingi password zinakuwa zinafanana na bank,so ukimpa tu m pesa password imekula kwako..wengine atakudanganya kuwa hii line mpya tunataka tukusajilie na sim banking,hapo ndo mtu unalizwaMkuu dunia kubwa hii acha ubishi asee .
Mimi story ya huyo jamaa haijanistua kwa mana Nina Uncle wangu nae kapigwa 2.5M mwaka huu mwezi January kwa style hyo hiyo.
Wee jamaa siye kweli, watu wanaongelea technology we unaongelea ramli kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiishika nami nipo na kuna kitu amekipenda huko haswa mada za jf
Niliposema sim yangu tayari nafsi yangu ipo hapoWewe si ni mtu pia??
Shida wanaosajili hao wanaotembea, wanakusajilia wakimaliza kila kitu wanakuambia kunasehemu kakosea anaanza upya kukusajili, kwahiyo anasajili mbili laini nyingine inauzwa kwa hela nyingi tu kwa matapeli, halafu laini zilizofungwa kuna mtu alikamatwa kazi yake kuzifungua kwa hiyo bado kuna kazi
hahaaah hamna cha it wala nini,wanawapigaga kizembe,wanakwambia sasa hi line mpya tunataka tukusajilie na m pesa..ukikubali kuna sehemu ya kuingiza password anakupa simu uingize mwenyewe...wakati unaingiza anaicheki na kui mark..kinachofuata hapo ni kilio,or tena kwa wanawake hao walivyo wavivu wakati mwingine anadai ngoja nikutajie tu...anapigwa mtu hapo,wakikuona mzembe zaidi wanakwambia sasa hii line mpya tukusajilie na sim banking kabisa,ukikubali ushaibiwa hapo coz utachezeshewa ujanja tu hapo kuja kushtuka hela zishachukuliwa..matapeli wana mbinu nyingi hakuna cha IT wala nnYou've got a good sense. Nami nimefikiria hivyohivyo. Time will tell
Sent using Jamii Forums mobile app
Probability kubwa inaangukia hapahuwa tunaomba kitambulisho na wengine mnatumia tarehe zenu za kuzaliwa kama password hapo huwa tunajaribuzari la mentali