Msaada: SMS ninazochat na mwanafunzi zimekamatwa

Msaada: SMS ninazochat na mwanafunzi zimekamatwa

Shida ya walimu wetu ni ufaulu duni wa division three au four unaopelekea uwezo mdogo wa kuchanganua mambo. SMS ni incriminating evidence. Ulikuwa na akili gani kuchat mahaba na mtoto? Jinga kabisa.

Sasa fanya hivi, angalia namba imesajiliwa kwa jina gani. Maana kama ni denti hakusajili laini yake maana hana kitambulisho cha kura wala cha taifa. Hapo kesi imeisha, jina la dent ni tofauti na jina la mwenye laini.
 
Habarini wadau.

Mimi ni baba wa familia ya mtoto mmoja na mke ambaye tunapendana sana. Pia Mimi ni mwalimu mpya wa shule moja hapa jiji kasoro bahari nina kama miezi mitano (5) hapa shuleni ila naona muda wowote naenda kufukuzwa.

Kisa chenyewe.
Mwezi huu mwanzoni kuna binti wa kidato cha tatu alinifuata ofisini jioni na maswali kadhaa ya somo ninalofundisha. nikamuelekeza kwa muda baadae anavyoondoka akasema anaomba namba yangu akawape wazazi wake pindi watakapomuuliza kwanini amechelewa kurudi home, nilikubali maana sikuona unayaendeleza wowote, usiku WA saa 4 hivi nikapokea message nyingi zikijitambulisha ni yule binti nikachukuliwa kawaida tu na nilimjibu kawaida maana wife alianza kuchukia so nikaacha kuchat.

Ila yule binti hakukoma aliendelea na siku moja usiku alinipigia nikiwa kwenye bia kupunguza mawazo,, alivyonipigia nadhani aligundua nimelewa akaanza kunichombeza ingawa sikuwa nimelewa sana ila nilishindwa mkataa pindi aliponiambia ananipenda maana kilakotu nilijibu sawa mpaka alivyokata simu.. Siku yako Pili asubuhi ndo nikakumbuka kama aliniambia vitu vya ajabu nikajilaumu sana na kabla sijatoka nyumbani kwenda kazini akatuma message yenye maneno ya mahaba sikumjibu.

Baada ya siku kadhaa nikajikuta nachat nae kuhusu mambo ya mahaba, ingawa sikupanga kuonana nae kwa namba yoyote.

MSAADA NINAOTAKA.

juzi usiku nilitumiwa message nyingi kwa namba ngeni nilivyojibu ndo akawa anasema baba ake ameona message amempiga haswa na anampango wa kuja shuleni kesho, wadau Msaada wenu muhimu je nifanyaje Wakuu na nijiteteaje?

Asanteni
Nyinyi wapuuzi ndio mnachukuwa watoto wetu jinga kubwa kabisa wewe mlevi wakutupwa
 
Nani atatusaidia watoto wetu, nyie walimu ndo tunaowaamini matokeo yake ndo haya sasa!

Kabla hujaanza kuchat na wanafunzi mfikirie!Moreen, ungependa nae apitie hayo unayompitisha huyo mwanafunzi?!
Kama sio, jiadhibu kabla hujaadhibiwa!!

Wazazi mmeona, tujitahidi sana kuwapa watoto wetu malezi yenye hofu ya Mungu jamani, tusisahau kuwaombea hawa watoto!
Huyu wakuliwa tu pumbavu zake mwalimu gani mlevi?
 
Watu wanakulaumu bure. Mi nikiwa shule nimewashuhudia sana mabinti wanafata walimu na kujilengesha. Huwezi kuwakwepa wote na wengine wanakuja kwa technic za hali ya juu kiasi kuwa hujui unaingia kwenye mtego. Kuwa mwalimu wa kiume hakukufanyi usiwe na mazungumzo na wanafunzi wa kike,sasa utafundishaje? Na katika harakati kama hizo akijisogeza ndo unakuwa mtihani lakini watu wakija wanalaumu mwanaume. Walee mabinti zenu kwa maadili
Nalo hili jinga jengine unaongea nini wewe chagubanga ?
 
Walimu wanaonewa tu

Ila vibinti vya siku hizi shida tupu .

Usikute kibinti kimewia aisee

Ila ticha kazingua Sana aisee

Hapo aruke futi Mia moja na hio namba ya simu atupe
Huyo mwalimu hata akitupa line ya simu mwalimu mkuu lazima yupo nayo au walimu wezake kama mimi ningekuwa Baba wa huyo mtoto ningemla kalio huyo mwalimu
 
Usiwaze wala cha nini mzee baba nyundo 30 zisikutishe!
Hata ukienda fanywa muke ya nyapara hakuna ubaya kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom