Msaada: SMS ninazochat na mwanafunzi zimekamatwa

Niliwahi fundisha shule fulani ya serikali miaka ya nyuma kabla sijahama utumishi
Na kumbuka vibinti walivyokuwa wananihala nilikuwa mkali balaa sitaki ujinga jinga na watoto na headmaster alivyoniona akanipa na cheo cha malezi na nidhamu uwiiiii nilikuwa mtu serious hatarii
Asante Mungu mpaka naondoka sikuwahi kuingia kwenye hizo kashfa
Lakini nilichobaini mabinti wa shule wanamihemko sana haswa kwenye umri wao wa kubarehe
Ni kweli kabisa binti anakupenda na hafichi kabisa uamuzi ni wako mwalimu ama ulegee uingie king au usimamie maadili ya kazi yako
Nasikitika sana mwalimu umeingia cha kike kijinga kabisa yaani ningekuwa mie kile kitendo cha kujua tu mtoto wa shule anamiliki simu kesho yake ningeandika barua kwa wazazi wake[emoji53][emoji53][emoji53]
Sasa we ndo kwanza unaendekeza kuchat aise umekosea kinoma mwalimu
Hapo kubaliana na yajayo kila la kheri kwenye msala wako
 
Habarini wadau.

Mimi ni baba wa familia ya mtoto mmoja na mke ambaye tunapendana sana. Pia Mimi ni mwalimu mpya wa shule moja hapa jiji kasoro bahari nina kama miezi mitano (5) hapa shuleni ila naona muda wowote naenda kufukuzwa.

Kisa chenyewe.
Mwezi huu mwanzoni kuna binti wa kidato cha tatu alinifuata ofisini jioni na maswali kadhaa ya somo ninalofundisha. nikamuelekeza kwa muda baadae anavyoondoka akasema anaomba namba yangu akawape wazazi wake pindi watakapomuuliza kwanini amechelewa kurudi home, nilikubali maana sikuona unayaendeleza wowote, usiku WA saa 4 hivi nikapokea message nyingi zikijitambulisha ni yule binti nikachukuliwa kawaida tu na nilimjibu kawaida maana wife alianza kuchukia so nikaacha kuchat.

Ila yule binti hakukoma aliendelea na siku moja usiku alinipigia nikiwa kwenye bia kupunguza mawazo,, alivyonipigia nadhani aligundua nimelewa akaanza kunichombeza ingawa sikuwa nimelewa sana ila nilishindwa mkataa pindi aliponiambia ananipenda maana kilakotu nilijibu sawa mpaka alivyokata simu.. Siku yako Pili asubuhi ndo nikakumbuka kama aliniambia vitu vya ajabu nikajilaumu sana na kabla sijatoka nyumbani kwenda kazini akatuma message yenye maneno ya mahaba sikumjibu.

Baada ya siku kadhaa nikajikuta nachat nae kuhusu mambo ya mahaba, ingawa sikupanga kuonana nae kwa namba yoyote.

MSAADA NINAOTAKA.

juzi usiku nilitumiwa message nyingi kwa namba ngeni nilivyojibu ndo akawa anasema baba ake ameona message amempiga haswa na anampango wa kuja shuleni kesho, wadau Msaada wenu muhimu je nifanyaje Wakuu na nijiteteaje?

Asanteni
Wengine tuna watoto wa kike wapo sekondari na vyuo sasa unataka tukusaidie nini kwa ujinga wako.
Ilikupasa umwite mtoto mbele ya mwalimu mmoja na umuonye na asingerudia tena pia angewatangazia na wengine kuhusu wewe.
Yaani tunalipa ada mashuleni kumbe tunawalipia mahali mje kututombea watoto wetu.

Siwezi kuhukumu basi, ukiponyoka jifunze.
 
Habarini wadau.

Mimi ni baba wa familia ya mtoto mmoja na mke ambaye tunapendana sana. Pia Mimi ni mwalimu mpya wa shule moja hapa jiji kasoro bahari nina kama miezi mitano (5) hapa shuleni ila naona muda wowote naenda kufukuzwa.

Kisa chenyewe.
Mwezi huu mwanzoni kuna binti wa kidato cha tatu alinifuata ofisini jioni na maswali kadhaa ya somo ninalofundisha. nikamuelekeza kwa muda baadae anavyoondoka akasema anaomba namba yangu akawape wazazi wake pindi watakapomuuliza kwanini amechelewa kurudi home, nilikubali maana sikuona unayaendeleza wowote, usiku WA saa 4 hivi nikapokea message nyingi zikijitambulisha ni yule binti nikachukuliwa kawaida tu na nilimjibu kawaida maana wife alianza kuchukia so nikaacha kuchat.

Ila yule binti hakukoma aliendelea na siku moja usiku alinipigia nikiwa kwenye bia kupunguza mawazo,, alivyonipigia nadhani aligundua nimelewa akaanza kunichombeza ingawa sikuwa nimelewa sana ila nilishindwa mkataa pindi aliponiambia ananipenda maana kilakotu nilijibu sawa mpaka alivyokata simu.. Siku yako Pili asubuhi ndo nikakumbuka kama aliniambia vitu vya ajabu nikajilaumu sana na kabla sijatoka nyumbani kwenda kazini akatuma message yenye maneno ya mahaba sikumjibu.

Baada ya siku kadhaa nikajikuta nachat nae kuhusu mambo ya mahaba, ingawa sikupanga kuonana nae kwa namba yoyote.

MSAADA NINAOTAKA.

juzi usiku nilitumiwa message nyingi kwa namba ngeni nilivyojibu ndo akawa anasema baba ake ameona message amempiga haswa na anampango wa kuja shuleni kesho, wadau Msaada wenu muhimu je nifanyaje Wakuu na nijiteteaje?

Asanteni
Dah nachojua text mlizokuwa mnachati wewe ulikuwa unafuta ...
 
Nenda kituo chochote cha polis hapo mji kasoro bahar utakuta maelekezo yang...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom