Msaada: SMS ninazochat na mwanafunzi zimekamatwa

Msaada: SMS ninazochat na mwanafunzi zimekamatwa

Hongera mkuu, umekuwa mwelewa sana, tatizo liko kwenye jamii kwa ujumla lakini anayebebeshwa mzigo always anakuwa mwalimu duh
Watu wanakulaumu bure. Mi nikiwa shule nimewashuhudia sana mabinti wanafata walimu na kujilengesha. Huwezi kuwakwepa wote na wengine wanakuja kwa technic za hali ya juu kiasi kuwa hujui unaingia kwenye mtego. Kuwa mwalimu wa kiume hakukufanyi usiwe na mazungumzo na wanafunzi wa kike,sasa utafundishaje? Na katika harakati kama hizo akijisogeza ndo unakuwa mtihani lakini watu wakija wanalaumu mwanaume. Walee mabinti zenu kwa maadili
 
Take responsibility for your actions. Usisingizie "mitego". Mitego is a lame excuse. Ukilala na mtoto umembaka. Simple and clear. Do not stray away from the point of the discussion. Nincompoop... Kajitetee hivyo mahakani kama hautakula mvua ya miaka 30. Watu wote wanaolala na watoto wa shule sehemu yenu ni jela.
Usitumie neno tunakataa, mnakataa wewe na nani? Kwani hakuna wanaoangukia mikononi mwa hao unaowaita Malaya, by the way huyo unaye muita malaya pia alikuwa mwanafunzi, usije sema umalaya alijifunzia shule, think about it
 
Take responsibility for your actions. Usisingizie "mitego". Mitego is a lame excuse. Ukilala na mtoto umembaka. Simple any clear. Do stray away from the point of the discussion. Nincompoop... Kajitetee hivyo mahakani kama hautakula mvua ya miaka 30. Watu wote wanaolala na watoto wa shule sehemu yenu ni jela.
bahati nzuri hapa hatupo mahakamani, tupo kwenye platform ya kutafuta suluhisho na kuelimishana, nacho jaribu kukuelimisha ni kuwa msikimbilie sana kuwalaumu walimu bila kusahau mchango wa jamii nzima katika maadili ya watoto wenu, bahati nzuri mimi ni mwalimu so ninachokiandika hapa naelewa naandika nini, wewe hujiulizi hiyo simu huyo mtoto ameitoa wapi, na ikiwa shureni haturuhusu mtoto kuwa na simu? shuleni haturuhusu mtoto kumiliki simu, nyumbani mzazi anamlegezea mtoto anamiliki simu, unategemea nini? malezi ya nyumbani yanamchango mkubwa sana kwenye tabia na mafanikio ya mwanafunzi, wewe huelewi hilo umeng'ag'ana jela, jela mtafunga wa ngapi, asipogongwa na mwalimu wake atagongwa na bodaboda mtaani,bro mlee vizuri mwanao hutakuna na hizi kesi.
 
Habarini wadau.

Mimi ni baba wa familia ya mtoto mmoja na mke ambaye tunapendana sana. Pia Mimi ni mwalimu mpya wa shule moja hapa jiji kasoro bahari nina kama miezi mitano (5) hapa shuleni ila naona muda wowote naenda kufukuzwa.

Kisa chenyewe.
Mwezi huu mwanzoni kuna binti wa kidato cha tatu alinifuata ofisini jioni na maswali kadhaa ya somo ninalofundisha. nikamuelekeza kwa muda baadae anavyoondoka akasema anaomba namba yangu akawape wazazi wake pindi watakapomuuliza kwanini amechelewa kurudi home, nilikubali maana sikuona unayaendeleza wowote, usiku WA saa 4 hivi nikapokea message nyingi zikijitambulisha ni yule binti nikachukuliwa kawaida tu na nilimjibu kawaida maana wife alianza kuchukia so nikaacha kuchat.

Ila yule binti hakukoma aliendelea na siku moja usiku alinipigia nikiwa kwenye bia kupunguza mawazo,, alivyonipigia nadhani aligundua nimelewa akaanza kunichombeza ingawa sikuwa nimelewa sana ila nilishindwa mkataa pindi aliponiambia ananipenda maana kilakotu nilijibu sawa mpaka alivyokata simu.. Siku yako Pili asubuhi ndo nikakumbuka kama aliniambia vitu vya ajabu nikajilaumu sana na kabla sijatoka nyumbani kwenda kazini akatuma message yenye maneno ya mahaba sikumjibu.

Baada ya siku kadhaa nikajikuta nachat nae kuhusu mambo ya mahaba, ingawa sikupanga kuonana nae kwa namba yoyote.

MSAADA NINAOTAKA.

juzi usiku nilitumiwa message nyingi kwa namba ngeni nilivyojibu ndo akawa anasema baba ake ameona message amempiga haswa na anampango wa kuja shuleni kesho, wadau Msaada wenu muhimu je nifanyaje Wakuu na nijiteteaje?

Asanteni
Usikae kimya hapo kama unaona dalili ya mambo kuharibika jaribu kusoma mazingira kama mkuu wako wa kazi anaeleweka jaribu kumuelezea scenario nzima ilovyoenda ili mambo yaekwe sawa upate msaidizi ikotokea la kutokea.

Kuhusu kutomkemea huyo binti sio ishu saana kwa kua hakuna asiejua pepo la uzinzi lilivyo na nguvu.

Dah ila pole hebu ngoja nifikirie tena njia nyingine ya kukuelekezaa
 
Simu ni nyenzo ya mawasiliano. Wewe mwalimu wa chekechea nini? Mimi nimefundisha chuo kikuu wakati fulani na pengine hii inaleza kwa nini tuna misimamo tofauti kwa vile uelewa wetu ni tofauti. Usinione mkulima. Kumlaumu mtoto kwa kosa la mtu mzima ambaye ni mwalimu wake ni upuuzi wa walimu kama nyie. Haustahili kabisa kuwa mwalimu. Mtoto is a victim here na wala siyo kisababishi. Full stop! na hata hao bodaboda bado sheria inawabana. Akikamatwa ni hivyo hivyo kama walimu mafedhuri kama nyie.
bahati nzuri hapa hatupo mahakamani, tupo kwenye platform ya kutafuta suluhisho na kuelimishana, nacho jaribu kukuelimisha ni kuwa msikimbilie sana kuwalaumu walimu bila kusahau mchango wa jamii nzima katika maadili ya watoto wenu, bahati nzuri mimi ni mwalimu so ninachokiandika hapa naelewa naandika nini, wewe hujiulizi hiyo simu huyo mtoto ameitoa wapi, na ikiwa shureni haturuhusu mtoto kuwa na simu? shuleni haturuhusu mtoto kumiliki simu, nyumbani mzazi anamlegezea mtoto anamiliki simu, unategemea nini? malezi ya nyumbani yanamchango mkubwa sana kwenye tabia na mafanikio ya mwanafunzi, wewe huelewi hilo umeng'ag'ana jela, jela mtafunga wa ngapi, asipogongwa na mwalimu wake atagongwa na bodaboda mtaani,bro mlee vizuri mwanao hutakuna na hizi kesi.
 
Habarini wadau.

Mimi ni baba wa familia ya mtoto mmoja na mke ambaye tunapendana sana. Pia Mimi ni mwalimu mpya wa shule moja hapa jiji kasoro bahari nina kama miezi mitano (5) hapa shuleni ila naona muda wowote naenda kufukuzwa.

Kisa chenyewe.
Mwezi huu mwanzoni kuna binti wa kidato cha tatu alinifuata ofisini jioni na maswali kadhaa ya somo ninalofundisha. nikamuelekeza kwa muda baadae anavyoondoka akasema anaomba namba yangu akawape wazazi wake pindi watakapomuuliza kwanini amechelewa kurudi home, nilikubali maana sikuona unayaendeleza wowote, usiku WA saa 4 hivi nikapokea message nyingi zikijitambulisha ni yule binti nikachukuliwa kawaida tu na nilimjibu kawaida maana wife alianza kuchukia so nikaacha kuchat.

Ila yule binti hakukoma aliendelea na siku moja usiku alinipigia nikiwa kwenye bia kupunguza mawazo,, alivyonipigia nadhani aligundua nimelewa akaanza kunichombeza ingawa sikuwa nimelewa sana ila nilishindwa mkataa pindi aliponiambia ananipenda maana kilakotu nilijibu sawa mpaka alivyokata simu.. Siku yako Pili asubuhi ndo nikakumbuka kama aliniambia vitu vya ajabu nikajilaumu sana na kabla sijatoka nyumbani kwenda kazini akatuma message yenye maneno ya mahaba sikumjibu.

Baada ya siku kadhaa nikajikuta nachat nae kuhusu mambo ya mahaba, ingawa sikupanga kuonana nae kwa namba yoyote.

MSAADA NINAOTAKA.

juzi usiku nilitumiwa message nyingi kwa namba ngeni nilivyojibu ndo akawa anasema baba ake ameona message amempiga haswa na anampango wa kuja shuleni kesho, wadau Msaada wenu muhimu je nifanyaje Wakuu na nijiteteaje?

Asanteni
Nipe namba za huyo mwanafunzi nikusaidie ndugu mkuu ndugu yangu
 
Ngoja uvune ulichopanda mshenzy mkubwa wewe!! Unampaje mwanafunzi namba zako za simu? Walimu wa siku hizi sijui mpoje[emoji32][emoji51][emoji48]
Walimu wanaonewa tu

Ila vibinti vya siku hizi shida tupu .

Usikute kibinti kimewia aisee

Ila ticha kazingua Sana aisee

Hapo aruke futi Mia moja na hio namba ya simu atupe
 
pombe siyo chai Baba moreen..
 
anavyoondoka akasema anaomba namba yangu akawape wazazi wake
Mlianzaje kuombana namba za simu kama hamjaanza mambo yenu muda?

usiku WA saa 4 hivi nikapokea message nyingi zikijitambulisha ni yule binti
Ikawaje uendelee kuchat na mwanafunz ilhali unajua kwa mwanafunzi kuwa na simu ni makosa?, ila wewe ukachukulia poa maana uliendelea kuchat nae

Ila yule binti hakukoma aliendelea na siku moja usiku alinipigia nikiwa kwenye bia
Aha kumbe? kwahiyo ni wazi mliendelea kuwasiliana walahukuna tatizo , ukijua wazi huyo ni mtoto anatakiwa asome sio kuwasiliana mambo ya mapenzi

akaanza kunichombeza
Aisee 😳

nilishindwa mkataa pindi aliponiambia ananipenda maana kilakotu nilijibu sawa mpaka alivyokata simu
Basi ulikuwa tayari kukubaliana na matokeo ambayo yatatokea baada ya kumkubali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom