Msaada: SMS ninazochat na mwanafunzi zimekamatwa

Habarini wadau.

Mimi ni baba wa familia ya mtoto mmoja na mke ambaye tunapendana sana. Pia Mimi ni mwalimu mpya wa shule moja hapa jiji kasoro bahari nina kama miezi mitano (5) hapa shuleni ila naona muda wowote naenda kufukuzwa.

Kisa chenyewe.
Mwezi huu mwanzoni kuna binti wa kidato cha tatu alinifuata ofisini jioni na maswali kadhaa ya somo ninalofundisha. nikamuelekeza kwa muda baadae anavyoondoka akasema anaomba namba yangu akawape wazazi wake pindi watakapomuuliza kwanini amechelewa kurudi home, nilikubali maana sikuona unayaendeleza wowote, usiku WA saa 4 hivi nikapokea message nyingi zikijitambulisha ni yule binti nikachukuliwa kawaida tu na nilimjibu kawaida maana wife alianza kuchukia so nikaacha kuchat.

Ila yule binti hakukoma aliendelea na siku moja usiku alinipigia nikiwa kwenye bia kupunguza mawazo,, alivyonipigia nadhani aligundua nimelewa akaanza kunichombeza ingawa sikuwa nimelewa sana ila nilishindwa mkataa pindi aliponiambia ananipenda maana kilakotu nilijibu sawa mpaka alivyokata simu.. Siku yako Pili asubuhi ndo nikakumbuka kama aliniambia vitu vya ajabu nikajilaumu sana na kabla sijatoka nyumbani kwenda kazini akatuma message yenye maneno ya mahaba sikumjibu.

Baada ya siku kadhaa nikajikuta nachat nae kuhusu mambo ya mahaba, ingawa sikupanga kuonana nae kwa namba yoyote.

MSAADA NINAOTAKA.

juzi usiku nilitumiwa message nyingi kwa namba ngeni nilivyojibu ndo akawa anasema baba ake ameona message amempiga haswa na anampango wa kuja shuleni kesho, wadau Msaada wenu muhimu je nifanyaje Wakuu na nijiteteaje?

Asanteni
acha kazi na umalaya
 
Mwalimu wa serikali afukuzwi ww tulia yanaisha hahahha
 
Baba Moreen, Yaani sijui kama itasaidia.

Ila fanya hivi we sema kwamba ndioo huyu mtoto alikuja, akaomba namba na akasema anawaletewa ninyi wazazi wake.

Ila baada ya hapo ulipigiwa simu na mdada mtu mzima akajitambulisha na,akasema namba ali mtuma mtu aje kuchukua kwangu na si kumuuliza ni nani maana namba una gawa hovyo sasa ukawa unachati nae mara kibao.

Ila kila ukimwambia muonane hataki. Ndo ikabidi niwe na chat nae kawaida tu.

Ila kiukweli sikujua kama ni huyu mtoto maana huyu mara ya mwisho kuonana ili kuwa ni ofisi na alikuja na maswali.
Akili nyingi sana
 
Mkuu kesi imeisha nipo uraiani hali ilikuwa ya shida ila nimepina mimi pekeangu ajira imepeperuka
Aisee pole sana mkuu kumbe serikali iko serious sana kipindi hiki.. naamini kama haikuwa kusudi lako basi utapata riziki pengine.
 
Ila walimu kuzagamua wanafunzi inauma aisee. Nikiwa mzazi sijui kama nitakua na uvumilivu nikiwabaini walimu kama wewe.

Tuliza akili usikurupuke, wala usikaribiane na huyo denti kwa namna yoyote na umruke futi 100.
 
Utakalolipata lipokee. Kwanini hukumpa karipio siku ya kwanza tu.
 
Ila walimu kuzagamua wanafunzi inauma aisee. Nikiwa mzazi sijui kama nitakua na uvumilivu nikiwabaini walimu kama wewe.

Tuliza akili usikurupuke, wala usikaribiane na huyo denti kwa namna yoyote na umruke futi 100.
Ushahidi message hazidanganyi
 
Habarini wadau.

Mimi ni baba wa familia ya mtoto mmoja na mke ambaye tunapendana sana. Pia Mimi ni mwalimu mpya wa shule moja hapa jiji kasoro bahari nina kama miezi mitano (5) hapa shuleni ila naona muda wowote naenda kufukuzwa.

Kisa chenyewe.
Mwezi huu mwanzoni kuna binti wa kidato cha tatu alinifuata ofisini jioni na maswali kadhaa ya somo ninalofundisha. nikamuelekeza kwa muda baadae anavyoondoka akasema anaomba namba yangu akawape wazazi wake pindi watakapomuuliza kwanini amechelewa kurudi home, nilikubali maana sikuona unayaendeleza wowote, usiku WA saa 4 hivi nikapokea message nyingi zikijitambulisha ni yule binti nikachukuliwa kawaida tu na nilimjibu kawaida maana wife alianza kuchukia so nikaacha kuchat.

Ila yule binti hakukoma aliendelea na siku moja usiku alinipigia nikiwa kwenye bia kupunguza mawazo,, alivyonipigia nadhani aligundua nimelewa akaanza kunichombeza ingawa sikuwa nimelewa sana ila nilishindwa mkataa pindi aliponiambia ananipenda maana kilakotu nilijibu sawa mpaka alivyokata simu.. Siku yako Pili asubuhi ndo nikakumbuka kama aliniambia vitu vya ajabu nikajilaumu sana na kabla sijatoka nyumbani kwenda kazini akatuma message yenye maneno ya mahaba sikumjibu.

Baada ya siku kadhaa nikajikuta nachat nae kuhusu mambo ya mahaba, ingawa sikupanga kuonana nae kwa namba yoyote.

MSAADA NINAOTAKA.

juzi usiku nilitumiwa message nyingi kwa namba ngeni nilivyojibu ndo akawa anasema baba ake ameona message amempiga haswa na anampango wa kuja shuleni kesho, wadau Msaada wenu muhimu je nifanyaje Wakuu na nijiteteaje?

Asanteni
Kama hujamla mbona hamna shida hapo imeisha hyo mwalimu
 
Beba msalaba wako,kwa kujitakia unamke na mtoto, mwanao akifanyiwa hivo utajisikiaje?? Wewe ni kufukuzwa kazi huna sifa za kuwa mwalim unastahili kutiwa adabu siungi mkono miaka 30,ila mitano itapendeza.
 
unaandaliwa kupigwa na kitu kizito sana kichwani matapeli sio wanaigeria ama tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom