Msaada: SMS ninazochat na mwanafunzi zimekamatwa

Habarini wadau.

Mimi ni baba wa familia ya mtoto mmoja na mke ambaye tunapendana sana. Pia Mimi ni mwalimu mpya wa shule moja hapa jiji kasoro bahari nina kama miezi mitano (5) hapa shuleni ila naona muda wowote naenda kufukuzwa.

Kisa chenyewe.
Mwezi huu mwanzoni kuna binti wa kidato cha tatu alinifuata ofisini jioni na maswali kadhaa ya somo ninalofundisha. nikamuelekeza kwa muda baadae anavyoondoka akasema anaomba namba yangu akawape wazazi wake pindi watakapomuuliza kwanini amechelewa kurudi home, nilikubali maana sikuona unayaendeleza wowote, usiku WA saa 4 hivi nikapokea message nyingi zikijitambulisha ni yule binti nikachukuliwa kawaida tu na nilimjibu kawaida maana wife alianza kuchukia so nikaacha kuchat.

Ila yule binti hakukoma aliendelea na siku moja usiku alinipigia nikiwa kwenye bia kupunguza mawazo,, alivyonipigia nadhani aligundua nimelewa akaanza kunichombeza ingawa sikuwa nimelewa sana ila nilishindwa mkataa pindi aliponiambia ananipenda maana kilakotu nilijibu sawa mpaka alivyokata simu.. Siku yako Pili asubuhi ndo nikakumbuka kama aliniambia vitu vya ajabu nikajilaumu sana na kabla sijatoka nyumbani kwenda kazini akatuma message yenye maneno ya mahaba sikumjibu.

Baada ya siku kadhaa nikajikuta nachat nae kuhusu mambo ya mahaba, ingawa sikupanga kuonana nae kwa namba yoyote.

MSAADA NINAOTAKA.

juzi usiku nilitumiwa message nyingi kwa namba ngeni nilivyojibu ndo akawa anasema baba ake ameona message amempiga haswa na anampango wa kuja shuleni kesho, wadau Msaada wenu muhimu je nifanyaje Wakuu na nijiteteaje?

Asanteni
Bila shaka hii kashfa haikukuharibia kibarua chako!
 
ACHA tu ufukuzwe KAZI maana akili huna! Umepewa wanafunzi uwafundishe na uwalee kimaadili halafu unataka kuwala !! Wanawake wasio na mgogoro wanejaa mtaani ww shobo na wanafunzi ni za nini? Unajiabisha KAZI ni ngumu kupata ww umepata unacheza nayo?? Kama unatongozwa mwanafunzi hakikisha hautumii sms mpigie tu na hiyo kesi ikifika shule huchomoki
 
Bahati nzuri mwanafunzi alikuambia mapema naomba namba zako nimpelekee baba...😀
 
Cha muhimu mlejesho
Nilipoteza kazi mkuu, lakini nilipona kufungwa mzazi alinionea huruma akanipa mawaidha.

Nilitoka mlango wa nyuma difenda ilikuwa imeishafika wakasema nimekimbia na hadi Leo sijarudi kazini.
 
Bila shaka hii kashfa haikukuharibia kibarua chako!
Nilipoteza kazi mkuu, na ilibidi nifungwe maana mzazi kabla ya kuja shule alikuwa amewasiliana na afisa elimu, tigo (message zote zilikuwa printed) , polisi

Alifika mzazi mwenyewe ofisini, mkuu wangu alimuita, basi akaja alipanick vibaya sana, nililia pia nilikuwa kimwili mdogo, na nafamilia basi akanisamehe hapo mkuu amepiga magoti namimi nimepiga magoti, difenda ilifika nje mzazi akasema nitolewe amenisamehe, atajua cha kufanya

Nikatolewa mlango wa nyuma ofisini nikaondoka toka 2019 sijarudi tena kazini.
 
Daah pole sana aisee! Ila umepata ajira mahali pengine na maisha yanaendelea fresh?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom