mimi ni mwalimu na mzazi pia, nina misimamo yangu katika malezi, mara ngapi huwa tuna waita wazazi kwa kesi za watoto wao, na mwisho wa siku tuna gundua tatizo liko kwa mzazi? kama simu ni nyenzo ya mawasiliano kwa nini tunazipiga vita mashuleni na kwa watoto(under 18)? bora kuwa mwalimu wa chekechea ukawa mwepesi kuelewa kuliko mwalimu wa chuo kikuu halafu mgumu kuelewa, by the way sijasema mtoto ndiyo kisababishi, nimesema wa kulaumiwa pia ni wazazi na jamii kwa ujumla sijasema tuwa exclude walimu, wewe umekazania sheria, kabla ya sheria we can do something better than. ninachokiona kwako huna experience ya malezi ya watoto under 18, unaongelea chuo kikuu, chuo kikuu kuna mtoto? huko chuo kikuu kwenyewe mnatoa degree za chupi au nyie siyo walimu? tatizo linaanzia nyumbani, bro. mlee mwanao vizuri ajitambue, aijue thamani yake, uking'ag'ania hayo malezi yenu ya kizungu, utaishia kulea wajukuu, eti simu chombo cha mawasiliano, unawajua anao wasiliana nao?