PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,258
mzee wake huwenda kacharuka anajua ushakula atakuja kukufanya kitu mbaya hapo hapo kazini kwako.
Mkuu ungekuwa mwalimu wala usingemtukana hivyo, hawa watoto wakati mwingine wanatabia za kutega walimu, kwa mtu asiye mzoefu ni rahisi kuingia mtegoniNgoja uvune ulichopanda mshenzy mkubwa wewe!! Unampaje mwanafunzi namba zako za simu? Walimu wa siku hizi sijui mpoje[emoji32][emoji51][emoji48]
Mkuu ungekuwa mwalimu wala usingemtukana hivyo, hawa watoto wakati mwingine wanatabia za kutega walimu, kwa mtu asiye mzoefu ni rahisi kuingia mtegoni
Pole mkuu kwa msala huo. Ila usiogope huenda huyo mzazi asifike shuleni we kausha tuu kwanza usikilizie! Ukiona kama kweli amefika shule basi geuza kibao kwamba namba uliyokuwa unachati nayo ni ya x wako au mchepuko /whatever lakini mkatae kabisa huyo mwanafunzi na hiyo namba alitumwa huyo binti kuifuata kwako kwa hiyo we siku zote unajua unachati naye na tunga hapo hapo ana namba mbili nyingine hii(sasa hiyo iwe ya mtu ambaye ushampanga ) ili kuepuka kukiri kosa ni noma.Habarini wadau.
Mimi ni baba wa familia ya mtoto mmoja na mke ambaye tunapendana sana. Pia Mimi ni mwalimu mpya wa shule moja hapa jiji kasoro bahari nina kama miezi mitano (5) hapa shuleni ila naona muda wowote naenda kufukuzwa.
Kisa chenyewe.
Mwezi huu mwanzoni kuna binti wa kidato cha tatu alinifuata ofisini jioni na maswali kadhaa ya somo ninalofundisha. nikamuelekeza kwa muda baadae anavyoondoka akasema anaomba namba yangu akawape wazazi wake pindi watakapomuuliza kwanini amechelewa kurudi home, nilikubali maana sikuona unayaendeleza wowote, usiku WA saa 4 hivi nikapokea message nyingi zikijitambulisha ni yule binti nikachukuliwa kawaida tu na nilimjibu kawaida maana wife alianza kuchukia so nikaacha kuchat.
Ila yule binti hakukoma aliendelea na siku moja usiku alinipigia nikiwa kwenye bia kupunguza mawazo,, alivyonipigia nadhani aligundua nimelewa akaanza kunichombeza ingawa sikuwa nimelewa sana ila nilishindwa mkataa pindi aliponiambia ananipenda maana kilakotu nilijibu sawa mpaka alivyokata simu.. Siku yako Pili asubuhi ndo nikakumbuka kama aliniambia vitu vya ajabu nikajilaumu sana na kabla sijatoka nyumbani kwenda kazini akatuma message yenye maneno ya mahaba sikumjibu.
Baada ya siku kadhaa nikajikuta nachat nae kuhusu mambo ya mahaba, ingawa sikupanga kuonana nae kwa namba yoyote.
MSAADA NINAOTAKA.
juzi usiku nilitumiwa message nyingi kwa namba ngeni nilivyojibu ndo akawa anasema baba ake ameona message amempiga haswa na anampango wa kuja shuleni kesho, wadau Msaada wenu muhimu je nifanyaje Wakuu na nijiteteaje?
Asanteni
Mtoto ni mtoto tu. Mtu mzima ukifanya jinai na mtoto, kosa ni lako tu. Kwani ukitegwa ni lazima ukubali. Visingizio vya kij*nga hivyo. Hata huku mitaani tunategwa na malaya lakini tunakaataa na kusimamia maadili.