Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,494
Ndo niniWewe roba ya mbao inakuhusu
Ndo niniWewe roba ya mbao inakuhusu
Unamfahamu?Pole sana!
Hadi umefungua ID mpya kwa ajili ya kutaka kuelezea tatizo lako
Kwanza sinywi pombe,pili sijawahi toka na mwanafunzi,tatu huna uwezo wa kunipiga roba. Muhimu hapa unaonekana ni mtu flani unayeleta ligue na watu usiowajuaT
Tena watu kama nyinyi mnaochukuwa wanafunzi nikikukamata nakupiga roba ya mbao mpaka unye mavi ya kijani kwa sababu ya vyakula unavyo kula na pombe zenu kienyeji
Walimu si ndo wanakula wanavyofundishaKwahiyo wewe pamoja na kuwa mwalimu bado unafanya mambo ya namna hiyo!
Habarini wadau.
Mimi ni baba wa familia ya mtoto mmoja na mke ambaye tunapendana sana. Pia Mimi ni mwalimu mpya wa shule moja hapa jiji kasoro bahari nina kama miezi mitano (5) hapa shuleni ila naona muda wowote naenda kufukuzwa.
Kisa chenyewe.
Mwezi huu mwanzoni kuna binti wa kidato cha tatu alinifuata ofisini jioni na maswali kadhaa ya somo ninalofundisha. nikamuelekeza kwa muda baadae anavyoondoka akasema anaomba namba yangu akawape wazazi wake pindi watakapomuuliza kwanini amechelewa kurudi home, nilikubali maana sikuona unayaendeleza wowote, usiku WA saa 4 hivi nikapokea message nyingi zikijitambulisha ni yule binti nikachukuliwa kawaida tu na nilimjibu kawaida maana wife alianza kuchukia so nikaacha kuchat.
Ila yule binti hakukoma aliendelea na siku moja usiku alinipigia nikiwa kwenye bia kupunguza mawazo,, alivyonipigia nadhani aligundua nimelewa akaanza kunichombeza ingawa sikuwa nimelewa sana ila nilishindwa mkataa pindi aliponiambia ananipenda maana kilakotu nilijibu sawa mpaka alivyokata simu.. Siku yako Pili asubuhi ndo nikakumbuka kama aliniambia vitu vya ajabu nikajilaumu sana na kabla sijatoka nyumbani kwenda kazini akatuma message yenye maneno ya mahaba sikumjibu.
Baada ya siku kadhaa nikajikuta nachat nae kuhusu mambo ya mahaba, ingawa sikupanga kuonana nae kwa namba yoyote.
MSAADA NINAOTAKA.
juzi usiku nilitumiwa message nyingi kwa namba ngeni nilivyojibu ndo akawa anasema baba ake ameona message amempiga haswa na anampango wa kuja shuleni kesho, wadau Msaada wenu muhimu je nifanyaje Wakuu na nijiteteaje?
Asanteni
Kwahiyo wewe pamoja na kuwa mwalimu bado unafanya mambo ya namna hiyo!
HahaahhaahahahahahaBaba Moriniiiiiiii
acha nikwambie kitu kimoja cha muhimu sana
.
.
.
.
UTAKOMA NAKWAMBIA yani UTASHAAAA nakwambia HAMNA RANGI UTAACHA KUONA.
.
.
.
nimemaliza.
nisije kucoment nikakutukana bure ngoja ninyamazeHabarini wadau.
Mimi ni baba wa familia ya mtoto mmoja na mke ambaye tunapendana sana. Pia Mimi ni mwalimu mpya wa shule moja hapa jiji kasoro bahari nina kama miezi mitano (5) hapa shuleni ila naona muda wowote naenda kufukuzwa.
Kisa chenyewe.
Mwezi huu mwanzoni kuna binti wa kidato cha tatu alinifuata ofisini jioni na maswali kadhaa ya somo ninalofundisha. nikamuelekeza kwa muda baadae anavyoondoka akasema anaomba namba yangu akawape wazazi wake pindi watakapomuuliza kwanini amechelewa kurudi home, nilikubali maana sikuona unayaendeleza wowote, usiku WA saa 4 hivi nikapokea message nyingi zikijitambulisha ni yule binti nikachukuliwa kawaida tu na nilimjibu kawaida maana wife alianza kuchukia so nikaacha kuchat.
Ila yule binti hakukoma aliendelea na siku moja usiku alinipigia nikiwa kwenye bia kupunguza mawazo,, alivyonipigia nadhani aligundua nimelewa akaanza kunichombeza ingawa sikuwa nimelewa sana ila nilishindwa mkataa pindi aliponiambia ananipenda maana kilakotu nilijibu sawa mpaka alivyokata simu.. Siku yako Pili asubuhi ndo nikakumbuka kama aliniambia vitu vya ajabu nikajilaumu sana na kabla sijatoka nyumbani kwenda kazini akatuma message yenye maneno ya mahaba sikumjibu.
Baada ya siku kadhaa nikajikuta nachat nae kuhusu mambo ya mahaba, ingawa sikupanga kuonana nae kwa namba yoyote.
MSAADA NINAOTAKA.
juzi usiku nilitumiwa message nyingi kwa namba ngeni nilivyojibu ndo akawa anasema baba ake ameona message amempiga haswa na anampango wa kuja shuleni kesho, wadau Msaada wenu muhimu je nifanyaje Wakuu na nijiteteaje?
Asanteni
Na hapo sms zisingekamatwa ungeshamlala bila ata kuja humu, afu unasema eti skuwa na nia sjui skuwa na nini, apo lazima upate akili nakuona pumbu zilivyonywea apo
Moreen... ok!Nani atatusaidia watoto wetu, nyie walimu ndo tunaowaamini matokeo yake ndo haya sasa!
Kabla hujaanza kuchat na wanafunzi mfikirie!Moreen, ungependa nae apitie hayo unayompitisha huyo mwanafunzi?!
Kama sio, jiadhibu kabla hujaadhibiwa!!
Wazazi mmeona, tujitahidi sana kuwapa watoto wetu malezi yenye hofu ya Mungu jamani, tusisahau kuwaombea hawa watoto!
Utaniweza babu mie dam yangu changa 😛 😛swe
we mtoto nizawadie hiyo kitu..nataka nikukule
Atakuwa ni mwalimu wa ReproductionKwahiyo wewe pamoja na kuwa mwalimu bado unafanya mambo ya namna hiyo!