Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 6,956
- 11,784
Dunia uwanja wa fujo ,watu kwa sasa hawana hofu na ndoa kabisa .. Miaka binti akiolewa anapeewa heshima wala hauwezi kumkuta akitaniana na wanaume...
Miaka hii ndoa hazina uzito ,mpaka ma-ex wanahudhuria na kuchangia mchango wa harusi na mambo yao yanaendelea kama kawaida.
Miaka hii ndoa hazina uzito ,mpaka ma-ex wanahudhuria na kuchangia mchango wa harusi na mambo yao yanaendelea kama kawaida.