Snow leopard
Senior Member
- Jan 21, 2025
- 177
- 364
Nchi ina vijana wa kiume dhaifu mnoo
Kwa mwendo huu women will run this country

Kataa ndoa,Wajomba!
Ambao hatujaingia kwenye ndoa please jitafakari mara 10 kabla hujavaa pete na kusaini vyeti uchwara.
Nimeathirika na tukio 1 ambalo kiukweli nimejitahidi sana kulitoa akilini ila mara zote nikikumbuka tu ni kama limetokea jana.
Ipo hivi mwaka fulani hapo nyuma nilikuwa na mwanamke niliyempatia promises zote za ndoa na kumuamini na kumtengeneza kuwa mke wa maisha yangu na familia yangu.
Najua kosa langu lilikuwa ni kumuaminisha kuwa yeye ndio chaguo langu pekee na hakuna mwingine, kifupi nilimpa uhakika wa ndoa na niliwekeza kwake, kosa la pili.
Alijiweka sawa kwenye mahusiano na mara zote alikuwa clean na msiri sana, kila kitu alikipangilia vilivyo hadi pale nilipomkamata anacheat na jamaa mwingine na bahati mbaya au nzuri nilianza kuona viashiria ila nikajipa muda na kumuacha wenda atajirekebisha, "kosa la tatu hilo."
Mwanamke alicheat hadi akapata mimba na kibaya rafiki yake ambaye alikuwa naye muda wote walifanya mpango akatoa ile mimba na wakati huo nilikuwa safarini kikazi basi alinidanganya kuwa anaumwa sana malaria,Amiba na mengine basi nikatuma pesa ya matibabu akaendelea kupona taratibu.
NILIMKAMATA VIPI?
wajomba, kuna siku simu yake iphone ilianguka chini ikazima ghafla nikiwa naye basi nikaipeleka kwa fundi kutengeneza, hakuwa na mashaka sababu kila kitu ameficha na sms zote huwa anafuta, simu iliwaka nikatoa lock then nikawa nacheki vitu normal tu hadi nilipoenda kwenye sms, sikuona kitu cha maana sana pale maana sms zilikuwa nyingi ila hazikuwa zikionesha mashaka.
Wakati naenda home nikapata wazo nipitie sms za rafiki yake ambaye yupo naye muda wote na wanaitana "Girlfriend" wakuu humo ndio nilikuta uchafu mwingi sana wakipeana details za mwana kuja kumkamia demu wangu kisha wampe muda jamaa then aje amkamue yule manzi mwingine...wakuu mimba ikaingia wakamuambia jamaa kisha wakaenda kuitoa kisiri sana bila mimi kujua.
Wajomba nilikuwa naendesha gari na AC kali sana ila nilijisi joto moja la hatari sana nikapaki pembeni kufikiria cha kufanya, wakuu nilifika kwangu nikampatia simu nikiwa normal tu sikuwa na shida ila siku hiyo nililala kama mpumbavu.
Kufupisha story.
Nilimkaushia sikumuambia lolote siku ile, nikasubiriq siku nimemtoa kwenda beach pahali ndio nikamuomba anieleze nini kilimfanya anifanyie ukatili ule, alilia sana akiomba msamaha, alichanganyikiwa pale kila mtu aliona kelele tu mwanamke akilia kama kuna msiba, haikuwa rahisi mimi kumbembeleza nilimuacha hadi akatulia mwenyew, nilimchukua tukarudi home akiwa hajielew na full misamaha, nikienda kazini simu zinakuwa nyingi sana za misamaha na kujutia alichofanya.
Nikampatia nafasi amrudie yule jamaa wakafanye zaidi kwa uhuru nisiwasumbue kwa namna yoyote ile.
Majuzi nimejipatia mwanamke kutoka kwa family friend na kila kitu kinaenda sawa na ni mwanamke msafi na poa sana ila nikikumbuka yale matukio basi moyo wangu unakuwa mgumu sana kukubali masuala ya ndoa, nashindwa nini cha kufanya yaani kifupi sijui hatima yangu mbele kwenye masuala ya ndoa itakuwaje na sielew nifanye nini wajomba naombeni ushauri.
NAOMBA USHAURI NINI NIFANYE ILI NIPONE WAKUU NATESEKA SANA. 🙏🙏
Mkuu tuhitimishe kwa kusema hakuna mwaminifu?Mwanamke anaekupenda ni mwaminifu mpaka siku umeshika simu yake. Lakini ambae hakupendi Redflags huwa zinaonekana kwa macho
Fact, if you think your woman is innocent go through her phoneMwanamke anaekupenda ni mwaminifu mpaka siku umeshika simu yake.
Wajomba!

Kwa experience yangu, nilihitimisha hivyo 😂😂 ila experience zimetofautiana.Mkuu tuhitimishe kwa kusema hakuna mwaminifu?
Ili usimpoteze. Kama unaona anakupenda usitafute sababu ya kuachana nae kaka.I got you bro...but why nisikague simu yake kuangalia vitu anavyofanya? Kwanini
Hahahahaha kweli kaka pole na hili naliweka akilini....nitajifunza hapo nakuwaga mgumu sanaIli usimpoteze. Kama unaona anakupenda usitafute sababu ya kuachana nae kaka.
Mimi nilikua nae anaelia na kunena kwa lugha madhabahuni. Anaamka usiku saa tisa kusali kila siku, mpaka nikawa nahisi mimi ndie nnae mkwamisha safari ya kuiona mbingu😁😁. Nikitaka kucheat nilikua nahisi ananiona kabisa... Aisee kumbe mimi ndo nilikua mlokole
🤣🤣Kwa experience yangu, nilihitimisha hivyo 😂😂 ila experience zimetofautiana.
Asante sanaPole muungwana
Niombee sana hili nalo litapita, au nilipaswa kuendelea na yule wa kwanza? Ikiwa sio wa pekee yangu basi sikupaswa kumuacha yule na alikuwa ananipenda sanaUshauri toka kwa Kaka yako aliyepitia haya mambo, just assume huyu wa 2 naye Malaya, ukifanikiwa, then muoe tu, akileta umalaya si kazi kumwacha, shida ni kuamini ni wakowemyewe, tutakuzika
Hii nimeiona sehemu mingi sana watu wakiifanya..mtu anakula chuma 3 then ndoa ni baada ya miaka 10 huko.Mwambie kwa kumkazia macho na ukimaanisha kuwa siku ukigundua amekusaliti maamuzi yatakuwa ni kuachana pasipo kujali idadi ya watoto, umri wa mahusiano au umri wenu.
Usifunge nae ndoa iwe mahakamani, msikitini hadi muishi miaka 20 kwanza mkiona mnaendana mtaenda kufunga ndoa isipokuwa kamlipie mahari
For Sure bro! This creature are built differentFact, if you think your woman is innocent go through her phone
I understand that bro...I appreciate n I leaned my head down sincerely...Kuna watakaokuja na kukuponda kuwa hakukuwa na haja ya kutaja iPhone na unamiliki gari lenye AC
By the way kama mwanamke umemkuta sio bikira huyo ni malaya
Ni mwanaume mjinga na mpumbavu tu ndiye ambaye anamwamini malaya na kuinvest kwa malaya
Your dick inside her wasn't the first one, and it won't be the last
Badala ya kumshukuru Mungu umejua uliyopaswa kuyajua kabla hujaangamia wewe unaumia nini sasa?. Tenga muda wa kipekee mshukuru Mungu,na huu ndio utakuwa mwanzo wako mpya!Wajomba!