Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

Kumbe hata haukuoa hivyo usiunganishe wote kwa matendo ya mwanamke wako maana hayajakushinda bado yangekushinda usingeingia mahusiano mapya
Yalinishinda nikakaa pembeni kwa muda nikawa nawaognore wanawake balaa ila nilijua nafanya kwasababu ya maumivu ndio nikajaa upya ila nikiwa tayari nimeshagrqduate USIMP
 
Achana na mpango wa kuoa mwanamke wa kutoka family friend, ukiwa na uwezo wa kuchimba kizazi chake kwanzia mababu labda nje na hapo utajuta
Ukoo wake wote naujua vyema na zaidi ya vyema sasa kwanini nisioe ninapopajua kuliko kufakamia sehemu mpya?
 
Pole sana mkuu. Wanawake sio wa kuwaamini hata kama unajua unampenda au anakupenda kiasi gani. Ni nyoka na wana siri sana. Ndiyo maana wanaume umri wa kuishi ni mfupi.

Mpe nafasi huyo na kikubwa uwe umejifunza kutokuamini mtu ambaye mmekutana ukubwani.
Cheating is not forgiven unless your psychopath
 
Jipe muda wakujitafakili wapi umekosea ili wakati ujao usitoe nafasi ya kugongewa kirahisi.
baada ya Hilo tukio kama limekuumiza na umeamua kuingia kwenye mahusiano mapya basi jipange kisaikolojia na uamini kwamba hakuna mwanamke wa peke yako, tofaut na hapo basi tafuta mwanamke ambaye ataoa future kwaajili ya kizazi chako kijacho zaanae mtunze kama mke lkn ajue kabisa anapata huduma Zote kasoro kupata ndoa., hili litakufanya uishi kwa kujiamini kwamba Dunia ni mahali salama wakati huo unaendeleza uchunguzi wakina kuhusu huyo mwanamke ukiona anakufaa basi utampa zawadi ya ndoa, ukumbuke kwamba mwanamke anaweza kuigiza hata miaka 10,tuangalie machimbuko ya Familia zao pia ili tusije kulalamika.
Umeandika ushauri mzuri sana nitaufuatilia na kufanyia kazi, hili jambo sio jepesi ila nitafanya nitakapoweza
 
Wajomba!
Ambao hatujaingia kwenye ndoa please jitafakari mara 10 kabla hujavaa pete na kusaini vyeti uchwara.

Nimeathirika na tukio 1 ambalo kiukweli nimejitahidi sana kulitoa akilini ila mara zote nikikumbuka tu ni kama limetokea jana.

Ipo hivi mwaka fulani hapo nyuma nilikuwa na mwanamke niliyempatia promises zote za ndoa na kumuamini na kumtengeneza kuwa mke wa maisha yangu na familia yangu.

Najua kosa langu lilikuwa ni kumuaminisha kuwa yeye ndio chaguo langu pekee na hakuna mwingine, kifupi nilimpa uhakika wa ndoa na niliwekeza kwake, kosa la pili.

Alijiweka sawa kwenye mahusiano na mara zote alikuwa clean na msiri sana, kila kitu alikipangilia vilivyo hadi pale nilipomkamata anacheat na jamaa mwingine na bahati mbaya au nzuri nilianza kuona viashiria ila nikajipa muda na kumuacha wenda atajirekebisha, "kosa la tatu hilo."

Mwanamke alicheat hadi akapata mimba na kibaya rafiki yake ambaye alikuwa naye muda wote walifanya mpango akatoa ile mimba na wakati huo nilikuwa safarini kikazi basi alinidanganya kuwa anaumwa sana malaria,Amiba na mengine basi nikatuma pesa ya matibabu akaendelea kupona taratibu.

NILIMKAMATA VIPI?
wajomba, kuna siku simu yake iphone ilianguka chini ikazima ghafla nikiwa naye basi nikaipeleka kwa fundi kutengeneza, hakuwa na mashaka sababu kila kitu ameficha na sms zote huwa anafuta, simu iliwaka nikatoa lock then nikawa nacheki vitu normal tu hadi nilipoenda kwenye sms, sikuona kitu cha maana sana pale maana sms zilikuwa nyingi ila hazikuwa zikionesha mashaka.

Wakati naenda home nikapata wazo nipitie sms za rafiki yake ambaye yupo naye muda wote na wanaitana "Girlfriend" wakuu humo ndio nilikuta uchafu mwingi sana wakipeana details za mwana kuja kumkamia demu wangu kisha wampe muda jamaa then aje amkamue yule manzi mwingine...wakuu mimba ikaingia wakamuambia jamaa kisha wakaenda kuitoa kisiri sana bila mimi kujua.

Wajomba nilikuwa naendesha gari na AC kali sana ila nilijisi joto moja la hatari sana nikapaki pembeni kufikiria cha kufanya, wakuu nilifika kwangu nikampatia simu nikiwa normal tu sikuwa na shida ila siku hiyo nililala kama mpumbavu.

Kufupisha story.
Nilimkaushia sikumuambia lolote siku ile, nikasubiriq siku nimemtoa kwenda beach pahali ndio nikamuomba anieleze nini kilimfanya anifanyie ukatili ule, alilia sana akiomba msamaha, alichanganyikiwa pale kila mtu aliona kelele tu mwanamke akilia kama kuna msiba, haikuwa rahisi mimi kumbembeleza nilimuacha hadi akatulia mwenyew, nilimchukua tukarudi home akiwa hajielew na full misamaha, nikienda kazini simu zinakuwa nyingi sana za misamaha na kujutia alichofanya.

Nikampatia nafasi amrudie yule jamaa wakafanye zaidi kwa uhuru nisiwasumbue kwa namna yoyote ile.

Majuzi nimejipatia mwanamke kutoka kwa family friend na kila kitu kinaenda sawa na ni mwanamke msafi na poa sana ila nikikumbuka yale matukio basi moyo wangu unakuwa mgumu sana kukubali masuala ya ndoa, nashindwa nini cha kufanya yaani kifupi sijui hatima yangu mbele kwenye masuala ya ndoa itakuwaje na sielew nifanye nini wajomba naombeni ushauri.

NAOMBA USHAURI NINI NIFANYE ILI NIPONE WAKUU NATESEKA SANA. 🙏🙏
Mwanamke anaekupenda ni mwaminifu mpaka siku umeshika simu yake. Lakini ambae hakupendi Redflags huwa zinaonekana kwa macho
 
Hapo unamaanisha uaminifu wake naweza muacha na kumkanya ajifunze? Wanaosema ni kumuacha aendelee ma maisha yake ni sahihi? Kipi bora kurekebisha makosa ama kuachana naye mazima kama nilivyofanya?
 
Wajomba!
Ambao hatujaingia kwenye ndoa please jitafakari mara 10 kabla hujavaa pete na kusaini vyeti uchwara.

Nimeathirika na tukio 1 ambalo kiukweli nimejitahidi sana kulitoa akilini ila mara zote nikikumbuka tu ni kama limetokea jana.

Ipo hivi mwaka fulani hapo nyuma nilikuwa na mwanamke niliyempatia promises zote za ndoa na kumuamini na kumtengeneza kuwa mke wa maisha yangu na familia yangu.

Najua kosa langu lilikuwa ni kumuaminisha kuwa yeye ndio chaguo langu pekee na hakuna mwingine, kifupi nilimpa uhakika wa ndoa na niliwekeza kwake, kosa la pili.

Alijiweka sawa kwenye mahusiano na mara zote alikuwa clean na msiri sana, kila kitu alikipangilia vilivyo hadi pale nilipomkamata anacheat na jamaa mwingine na bahati mbaya au nzuri nilianza kuona viashiria ila nikajipa muda na kumuacha wenda atajirekebisha, "kosa la tatu hilo."

Mwanamke alicheat hadi akapata mimba na kibaya rafiki yake ambaye alikuwa naye muda wote walifanya mpango akatoa ile mimba na wakati huo nilikuwa safarini kikazi basi alinidanganya kuwa anaumwa sana malaria,Amiba na mengine basi nikatuma pesa ya matibabu akaendelea kupona taratibu.

NILIMKAMATA VIPI?
wajomba, kuna siku simu yake iphone ilianguka chini ikazima ghafla nikiwa naye basi nikaipeleka kwa fundi kutengeneza, hakuwa na mashaka sababu kila kitu ameficha na sms zote huwa anafuta, simu iliwaka nikatoa lock then nikawa nacheki vitu normal tu hadi nilipoenda kwenye sms, sikuona kitu cha maana sana pale maana sms zilikuwa nyingi ila hazikuwa zikionesha mashaka.

Wakati naenda home nikapata wazo nipitie sms za rafiki yake ambaye yupo naye muda wote na wanaitana "Girlfriend" wakuu humo ndio nilikuta uchafu mwingi sana wakipeana details za mwana kuja kumkamia demu wangu kisha wampe muda jamaa then aje amkamue yule manzi mwingine...wakuu mimba ikaingia wakamuambia jamaa kisha wakaenda kuitoa kisiri sana bila mimi kujua.

Wajomba nilikuwa naendesha gari na AC kali sana ila nilijisi joto moja la hatari sana nikapaki pembeni kufikiria cha kufanya, wakuu nilifika kwangu nikampatia simu nikiwa normal tu sikuwa na shida ila siku hiyo nililala kama mpumbavu.

Kufupisha story.
Nilimkaushia sikumuambia lolote siku ile, nikasubiriq siku nimemtoa kwenda beach pahali ndio nikamuomba anieleze nini kilimfanya anifanyie ukatili ule, alilia sana akiomba msamaha, alichanganyikiwa pale kila mtu aliona kelele tu mwanamke akilia kama kuna msiba, haikuwa rahisi mimi kumbembeleza nilimuacha hadi akatulia mwenyew, nilimchukua tukarudi home akiwa hajielew na full misamaha, nikienda kazini simu zinakuwa nyingi sana za misamaha na kujutia alichofanya.

Nikampatia nafasi amrudie yule jamaa wakafanye zaidi kwa uhuru nisiwasumbue kwa namna yoyote ile.

Majuzi nimejipatia mwanamke kutoka kwa family friend na kila kitu kinaenda sawa na ni mwanamke msafi na poa sana ila nikikumbuka yale matukio basi moyo wangu unakuwa mgumu sana kukubali masuala ya ndoa, nashindwa nini cha kufanya yaani kifupi sijui hatima yangu mbele kwenye masuala ya ndoa itakuwaje na sielew nifanye nini wajomba naombeni ushauri.

NAOMBA USHAURI NINI NIFANYE ILI NIPONE WAKUU NATESEKA SANA. 🙏🙏
Mbona kawaida sana oa bwana maisha yanaendelea hayo mambo take easy hakuna raha haya maisha kama kuoa hayo majanga wengi wamepitia huyo mwanamke muoe kabisa,mwenyez Mungu nimwema kakuonyesha yule mwanamke hakupendi sasa umempata anaekupenda muoe upate heshima zaidi.
 
Asante sana nitalifanyiq kazi
 
Sio kweli ,usimseme vyovyote tutapiga a kikubwa tubaki na mada kwanini hutaki kuoa Tena?
Mkuu ninateseka na suala la mara ya kwanza maana limenitoa upepo kwa hivi viumbe najikuta sitaki tena, kuna muda nakuw royal ila kuna muda niliwaza tu yaliyopita najikuta nakuwa katili tu
 
Back
Top Bottom