Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

Siku izi kukuta mtu ana mpenzi mmoja ni nadra sana, wake za watu kuliwa Siku izi rahisi kama kumsukuma mlevi
Haswa hawa wabunge wa kike, wengi wanachaguliwa kenda kupoza wenzao wakati wa vikao vya usiku wa manane. Never ever date mbunge wa kike, si watu sahihi kwenye mahusiano na kama uko naye kwa sasa, pima afya yako mara kwa mara.
 
Unachekesha Una Miaka Mingapi mkuu. Acha Upuuzi Tafuta Mnyonge wako na wewe Ukajipigie Usuuze Urijali Hakuna Mwanamke Wa Peke Yako Dunia Hii
 
Hakuna mwanamke ASIYEWEKA double chance kwenye betting yake na hasa hawa walio ahidiwa kuolewa,atakaye kuwa na mipango mizuri kwake ama atakaye wahi kukamilisha mipango ndiye mwenye chance kubwa.
 
Niombee sana hili nalo litapita, au nilipaswa kuendelea na yule wa kwanza? Ikiwa sio wa pekee yangu basi sikupaswa kumuacha yule na alikuwa ananipenda sana

Hapana, hata wa kwanza ni sawa kumuacha kabisa, ni mambo magumu ila yanapita,
 
Your dick inside her isn't the first and won't be the last, especially kama hukumkuta bikra.
 
"Wajomba nilikuwa naendesha gari na AC kali sana ila nilijisi joto moja la hatari sana nikapaki pembeni kufikiria cha kufanya"

Ulikua unadrive huku unaperuzi dereva au sio......

Matendo ni mawili tu kuoa au kuolewa mengine utachagua mwenyewe
Anatuona mabwabwa wenzie sie!
 
Wajomba!
Ambao hatujaingia kwenye ndoa please jitafakari mara 10 kabla hujavaa pete na kusaini vyeti uchwara.

Nimeathirika na tukio 1 ambalo kiukweli nimejitahidi sana kulitoa akilini ila mara zote nikikumbuka tu ni kama limetokea jana.

Ipo hivi mwaka fulani hapo nyuma nilikuwa na mwanamke niliyempatia promises zote za ndoa na kumuamini na kumtengeneza kuwa mke wa maisha yangu na familia yangu.

Najua kosa langu lilikuwa ni kumuaminisha kuwa yeye ndio chaguo langu pekee na hakuna mwingine, kifupi nilimpa uhakika wa ndoa na niliwekeza kwake, kosa la pili.

Alijiweka sawa kwenye mahusiano na mara zote alikuwa clean na msiri sana, kila kitu alikipangilia vilivyo hadi pale nilipomkamata anacheat na jamaa mwingine na bahati mbaya au nzuri nilianza kuona viashiria ila nikajipa muda na kumuacha wenda atajirekebisha, "kosa la tatu hilo."

Mwanamke alicheat hadi akapata mimba na kibaya rafiki yake ambaye alikuwa naye muda wote walifanya mpango akatoa ile mimba na wakati huo nilikuwa safarini kikazi basi alinidanganya kuwa anaumwa sana malaria,Amiba na mengine basi nikatuma pesa ya matibabu akaendelea kupona taratibu.

NILIMKAMATA VIPI?
wajomba, kuna siku simu yake iphone ilianguka chini ikazima ghafla nikiwa naye basi nikaipeleka kwa fundi kutengeneza, hakuwa na mashaka sababu kila kitu ameficha na sms zote huwa anafuta, simu iliwaka nikatoa lock then nikawa nacheki vitu normal tu hadi nilipoenda kwenye sms, sikuona kitu cha maana sana pale maana sms zilikuwa nyingi ila hazikuwa zikionesha mashaka.

Wakati naenda home nikapata wazo nipitie sms za rafiki yake ambaye yupo naye muda wote na wanaitana "Girlfriend" wakuu humo ndio nilikuta uchafu mwingi sana wakipeana details za mwana kuja kumkamia demu wangu kisha wampe muda jamaa then aje amkamue yule manzi mwingine...wakuu mimba ikaingia wakamuambia jamaa kisha wakaenda kuitoa kisiri sana bila mimi kujua.

Wajomba nilikuwa naendesha gari na AC kali sana ila nilijisi joto moja la hatari sana nikapaki pembeni kufikiria cha kufanya, wakuu nilifika kwangu nikampatia simu nikiwa normal tu sikuwa na shida ila siku hiyo nililala kama mpumbavu.

Kufupisha story.
Nilimkaushia sikumuambia lolote siku ile, nikasubiriq siku nimemtoa kwenda beach pahali ndio nikamuomba anieleze nini kilimfanya anifanyie ukatili ule, alilia sana akiomba msamaha, alichanganyikiwa pale kila mtu aliona kelele tu mwanamke akilia kama kuna msiba, haikuwa rahisi mimi kumbembeleza nilimuacha hadi akatulia mwenyew, nilimchukua tukarudi home akiwa hajielew na full misamaha, nikienda kazini simu zinakuwa nyingi sana za misamaha na kujutia alichofanya.

Nikampatia nafasi amrudie yule jamaa wakafanye zaidi kwa uhuru nisiwasumbue kwa namna yoyote ile.

Majuzi nimejipatia mwanamke kutoka kwa family friend na kila kitu kinaenda sawa na ni mwanamke msafi na poa sana ila nikikumbuka yale matukio basi moyo wangu unakuwa mgumu sana kukubali masuala ya ndoa, nashindwa nini cha kufanya yaani kifupi sijui hatima yangu mbele kwenye masuala ya ndoa itakuwaje na sielew nifanye nini wajomba naombeni ushauri.

NAOMBA USHAURI NINI NIFANYE ILI NIPONE WAKUU NATESEKA SANA. 🙏🙏
Pole mkuu, ila wanawake - kwa kweli Mungu wao ni mwingine kabisa.
 
Haswa hawa wabunge wa kike, wengi wanachaguliwa kenda kupoza wenzao wakati wa vikao vya usiku wa manane. Never ever date mbunge wa kike, si watu sahihi kwenye mahusiano na kama uko naye kwa sasa, pima afya yako mara kwa mara.
Halafu unakuja kukuta mtu ana akili timamu eti anajichanganya na kuoa mbunge wa viti maalum au mbunge tu kiujumla. Watu wana roho ngumu kwa kweli.
 
Wajomba!
Ambao hatujaingia kwenye ndoa please jitafakari mara 10 kabla hujavaa pete na kusaini vyeti uchwara.

Nimeathirika na tukio 1 ambalo kiukweli nimejitahidi sana kulitoa akilini ila mara zote nikikumbuka tu ni kama limetokea jana.

Ipo hivi mwaka fulani hapo nyuma nilikuwa na mwanamke niliyempatia promises zote za ndoa na kumuamini na kumtengeneza kuwa mke wa maisha yangu na familia yangu.

Najua kosa langu lilikuwa ni kumuaminisha kuwa yeye ndio chaguo langu pekee na hakuna mwingine, kifupi nilimpa uhakika wa ndoa na niliwekeza kwake, kosa la pili.

Alijiweka sawa kwenye mahusiano na mara zote alikuwa clean na msiri sana, kila kitu alikipangilia vilivyo hadi pale nilipomkamata anacheat na jamaa mwingine na bahati mbaya au nzuri nilianza kuona viashiria ila nikajipa muda na kumuacha wenda atajirekebisha, "kosa la tatu hilo."

Mwanamke alicheat hadi akapata mimba na kibaya rafiki yake ambaye alikuwa naye muda wote walifanya mpango akatoa ile mimba na wakati huo nilikuwa safarini kikazi basi alinidanganya kuwa anaumwa sana malaria,Amiba na mengine basi nikatuma pesa ya matibabu akaendelea kupona taratibu.

NILIMKAMATA VIPI?
wajomba, kuna siku simu yake iphone ilianguka chini ikazima ghafla nikiwa naye basi nikaipeleka kwa fundi kutengeneza, hakuwa na mashaka sababu kila kitu ameficha na sms zote huwa anafuta, simu iliwaka nikatoa lock then nikawa nacheki vitu normal tu hadi nilipoenda kwenye sms, sikuona kitu cha maana sana pale maana sms zilikuwa nyingi ila hazikuwa zikionesha mashaka.

Wakati naenda home nikapata wazo nipitie sms za rafiki yake ambaye yupo naye muda wote na wanaitana "Girlfriend" wakuu humo ndio nilikuta uchafu mwingi sana wakipeana details za mwana kuja kumkamia demu wangu kisha wampe muda jamaa then aje amkamue yule manzi mwingine...wakuu mimba ikaingia wakamuambia jamaa kisha wakaenda kuitoa kisiri sana bila mimi kujua.

Wajomba nilikuwa naendesha gari na AC kali sana ila nilijisi joto moja la hatari sana nikapaki pembeni kufikiria cha kufanya, wakuu nilifika kwangu nikampatia simu nikiwa normal tu sikuwa na shida ila siku hiyo nililala kama mpumbavu.

Kufupisha story.
Nilimkaushia sikumuambia lolote siku ile, nikasubiriq siku nimemtoa kwenda beach pahali ndio nikamuomba anieleze nini kilimfanya anifanyie ukatili ule, alilia sana akiomba msamaha, alichanganyikiwa pale kila mtu aliona kelele tu mwanamke akilia kama kuna msiba, haikuwa rahisi mimi kumbembeleza nilimuacha hadi akatulia mwenyew, nilimchukua tukarudi home akiwa hajielew na full misamaha, nikienda kazini simu zinakuwa nyingi sana za misamaha na kujutia alichofanya.

Nikampatia nafasi amrudie yule jamaa wakafanye zaidi kwa uhuru nisiwasumbue kwa namna yoyote ile.

Majuzi nimejipatia mwanamke kutoka kwa family friend na kila kitu kinaenda sawa na ni mwanamke msafi na poa sana ila nikikumbuka yale matukio basi moyo wangu unakuwa mgumu sana kukubali masuala ya ndoa, nashindwa nini cha kufanya yaani kifupi sijui hatima yangu mbele kwenye masuala ya ndoa itakuwaje na sielew nifanye nini wajomba naombeni ushauri.

NAOMBA USHAURI NINI NIFANYE ILI NIPONE WAKUU NATESEKA SANA. 🙏🙏
Pole mkuu kwa janga hili la taifa kwani kwa sasa kupata mwanamke mwaminifu ni ziro kabisa.
 
IN CAPITAL LETTER"KATAA NDOA"
 
Kwa Herufi kubwa " KATAA NDOA""
 
Sasa mke wako huyo mmoja kitombwile kipumpunu hadi wanagawana na shogile wake ndo uunganishe wake wa wenzio woote?

Na kutokana na hilo ndio hapo utakapoanza kumsumbua huyo ulienae kwa wivu wa kijinga, kumchunga kusikoisha, kumkagua kwa kisenge, kama unamtafuta malaika,, wanaume mliopigwa na matukio mnakuwaga na kihoro muda wote mnadhani ke yupo kwenye kutiwa tiwa tu, mwisho wa siku huyo nae sio malaika unamkera anakuchoka anaenda kulisakua hogo ili afanye kweli,,, hautaacha kulia lia mpk kaburini
 
Po
Wajomba!
Ambao hatujaingia kwenye ndoa please jitafakari mara 10 kabla hujavaa pete na kusaini vyeti uchwara.

Nimeathirika na tukio 1 ambalo kiukweli nimejitahidi sana kulitoa akilini ila mara zote nikikumbuka tu ni kama limetokea jana.

Ipo hivi mwaka fulani hapo nyuma nilikuwa na mwanamke niliyempatia promises zote za ndoa na kumuamini na kumtengeneza kuwa mke wa maisha yangu na familia yangu.

Najua kosa langu lilikuwa ni kumuaminisha kuwa yeye ndio chaguo langu pekee na hakuna mwingine, kifupi nilimpa uhakika wa ndoa na niliwekeza kwake, kosa la pili.

Alijiweka sawa kwenye mahusiano na mara zote alikuwa clean na msiri sana, kila kitu alikipangilia vilivyo hadi pale nilipomkamata anacheat na jamaa mwingine na bahati mbaya au nzuri nilianza kuona viashiria ila nikajipa muda na kumuacha wenda atajirekebisha, "kosa la tatu hilo."

Mwanamke alicheat hadi akapata mimba na kibaya rafiki yake ambaye alikuwa naye muda wote walifanya mpango akatoa ile mimba na wakati huo nilikuwa safarini kikazi basi alinidanganya kuwa anaumwa sana malaria,Amiba na mengine basi nikatuma pesa ya matibabu akaendelea kupona taratibu.

NILIMKAMATA VIPI?
wajomba, kuna siku simu yake iphone ilianguka chini ikazima ghafla nikiwa naye basi nikaipeleka kwa fundi kutengeneza, hakuwa na mashaka sababu kila kitu ameficha na sms zote huwa anafuta, simu iliwaka nikatoa lock then nikawa nacheki vitu normal tu hadi nilipoenda kwenye sms, sikuona kitu cha maana sana pale maana sms zilikuwa nyingi ila hazikuwa zikionesha mashaka.

Wakati naenda home nikapata wazo nipitie sms za rafiki yake ambaye yupo naye muda wote na wanaitana "Girlfriend" wakuu humo ndio nilikuta uchafu mwingi sana wakipeana details za mwana kuja kumkamia demu wangu kisha wampe muda jamaa then aje amkamue yule manzi mwingine...wakuu mimba ikaingia wakamuambia jamaa kisha wakaenda kuitoa kisiri sana bila mimi kujua.

Wajomba nilikuwa naendesha gari na AC kali sana ila nilijisi joto moja la hatari sana nikapaki pembeni kufikiria cha kufanya, wakuu nilifika kwangu nikampatia simu nikiwa normal tu sikuwa na shida ila siku hiyo nililala kama mpumbavu.

Kufupisha story.
Nilimkaushia sikumuambia lolote siku ile, nikasubiriq siku nimemtoa kwenda beach pahali ndio nikamuomba anieleze nini kilimfanya anifanyie ukatili ule, alilia sana akiomba msamaha, alichanganyikiwa pale kila mtu aliona kelele tu mwanamke akilia kama kuna msiba, haikuwa rahisi mimi kumbembeleza nilimuacha hadi akatulia mwenyew, nilimchukua tukarudi home akiwa hajielew na full misamaha, nikienda kazini simu zinakuwa nyingi sana za misamaha na kujutia alichofanya.

Nikampatia nafasi amrudie yule jamaa wakafanye zaidi kwa uhuru nisiwasumbue kwa namna yoyote ile.

Majuzi nimejipatia mwanamke kutoka kwa family friend na kila kitu kinaenda sawa na ni mwanamke msafi na poa sana ila nikikumbuka yale matukio basi moyo wangu unakuwa mgumu sana kukubali masuala ya ndoa, nashindwa nini cha kufanya yaani kifupi sijui hatima yangu mbele kwenye masuala ya ndoa itakuwaje na sielew nifanye nini wajomba naombeni ushauri.

NAOMBA USHAURI NINI NIFANYE ILI NIPONE WAKUU NATESEKA SANA. 🙏🙏l
pole sana wakati mwingine huwa najiuliza wanahitaji nn hawa viumbe halafu utakuta mdada yupo kwenye mahusiano akiombwa no anatoa tu kirahisi hivi unatoaje no yako kwa mtu ambae huna inshu nae yoyote huo c umalaya
 
Hili ndo tatizo la jamii kuondoa mambo ya jando.

Kule moja ya somo tulikuwa tunafundishwa ni kwamba tunaoa kwa ajili ya kupata watoto, kuendeleza kizazi chako, kumbuka mwenye kubeba kizazi ni wewe.

Kingine ni kwamba mwanamke si ndugu yako, muda wowote mnaweza mkaachana, ila watoto ni ngumu kuwaacha, hata aondoke nao still hao ni wanao tu, they bear your name.

Sasa wanaume wa kizazi cha sasa mmekuwa soft soft, mnateseka na mapenzi, mnateseka na vitu vya kijinga. Mwanaume wewe ni free soul hata kama umeoa, kwanza kwenye unyago wanawake walikuwa wanaambiwa kabisa "MWANAUME HASHIBAGI MWANAMKE MMOJA".

Mwanaume unapaswa kuwa BANDIDU, usicheke na kima yeyote.

Sasa wewe endelea na ujinga wako wa kizungu hapo, utakufa kwa kihoro , utakufa vibaya wewe?
Changamoto inakuja pale ambapo zaman magonjwa hayakuwepo kama sasa hiv..kwa hiyo jando ilikuwa ina nguvu...huwez niambia nizingatie jando kwamba mwanamke akichepukq nikaushe tu mwsho wa siku aniletee magonjwa na watot wasio wangu
 
Ili usimpoteze. Kama unaona anakupenda usitafute sababu ya kuachana nae kaka.
Mimi nilikua nae anaelia na kunena kwa lugha madhabahuni. Anaamka usiku saa tisa kusali kila siku, mpaka nikawa nahisi mimi ndie nnae mkwamisha safari ya kuiona mbingu😁😁. Nikitaka kucheat nilikua nahisi ananiona kabisa... Aisee kumbe mimi ndo nilikua mlokole
Ulijuaje kwamba ww ndio ulikua mlokole ulimpekua?
 
Hapana hii story ni ya muda sana ila inanisumbuaga tu nikiwaza....family friend kwasasa ni muda ninaye ila nilifikiria tu baishiwa power
Kwenye ule uzi ulimwagia maua kama yote kumbe una lako kumoyo.

Enewe kataa ndoa wanazidi kujikita kileleni kwa tofauti ya alama nyingi mno
 
Uliona red flags ukazipotezea so nawe una sehemu ya kujilaumu as mapenzi yalikupofusha
 
Back
Top Bottom