Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

Wajomba!
Ambao hatujaingia kwenye ndoa please jitafakari mara 10 kabla hujavaa pete na kusaini vyeti uchwara.

Nimeathirika na tukio 1 ambalo kiukweli nimejitahidi sana kulitoa akilini ila mara zote nikikumbuka tu ni kama limetokea jana.

Ipo hivi mwaka fulani hapo nyuma nilikuwa na mwanamke niliyempatia promises zote za ndoa na kumuamini na kumtengeneza kuwa mke wa maisha yangu na familia yangu.

Najua kosa langu lilikuwa ni kumuaminisha kuwa yeye ndio chaguo langu pekee na hakuna mwingine, kifupi nilimpa uhakika wa ndoa na niliwekeza kwake, kosa la pili.

Alijiweka sawa kwenye mahusiano na mara zote alikuwa clean na msiri sana, kila kitu alikipangilia vilivyo hadi pale nilipomkamata anacheat na jamaa mwingine na bahati mbaya au nzuri nilianza kuona viashiria ila nikajipa muda na kumuacha wenda atajirekebisha, "kosa la tatu hilo."

Mwanamke alicheat hadi akapata mimba na kibaya rafiki yake ambaye alikuwa naye muda wote walifanya mpango akatoa ile mimba na wakati huo nilikuwa safarini kikazi basi alinidanganya kuwa anaumwa sana malaria,Amiba na mengine basi nikatuma pesa ya matibabu akaendelea kupona taratibu.

NILIMKAMATA VIPI?
wajomba, kuna siku simu yake iphone ilianguka chini ikazima ghafla nikiwa naye basi nikaipeleka kwa fundi kutengeneza, hakuwa na mashaka sababu kila kitu ameficha na sms zote huwa anafuta, simu iliwaka nikatoa lock then nikawa nacheki vitu normal tu hadi nilipoenda kwenye sms, sikuona kitu cha maana sana pale maana sms zilikuwa nyingi ila hazikuwa zikionesha mashaka.

Wakati naenda home nikapata wazo nipitie sms za rafiki yake ambaye yupo naye muda wote na wanaitana "Girlfriend" wakuu humo ndio nilikuta uchafu mwingi sana wakipeana details za mwana kuja kumkamia demu wangu kisha wampe muda jamaa then aje amkamue yule manzi mwingine...wakuu mimba ikaingia wakamuambia jamaa kisha wakaenda kuitoa kisiri sana bila mimi kujua.

Wajomba nilikuwa naendesha gari na AC kali sana ila nilijisi joto moja la hatari sana nikapaki pembeni kufikiria cha kufanya, wakuu nilifika kwangu nikampatia simu nikiwa normal tu sikuwa na shida ila siku hiyo nililala kama mpumbavu.

Kufupisha story.
Nilimkaushia sikumuambia lolote siku ile, nikasubiriq siku nimemtoa kwenda beach pahali ndio nikamuomba anieleze nini kilimfanya anifanyie ukatili ule, alilia sana akiomba msamaha, alichanganyikiwa pale kila mtu aliona kelele tu mwanamke akilia kama kuna msiba, haikuwa rahisi mimi kumbembeleza nilimuacha hadi akatulia mwenyew, nilimchukua tukarudi home akiwa hajielew na full misamaha, nikienda kazini simu zinakuwa nyingi sana za misamaha na kujutia alichofanya.

Nikampatia nafasi amrudie yule jamaa wakafanye zaidi kwa uhuru nisiwasumbue kwa namna yoyote ile.

Majuzi nimejipatia mwanamke kutoka kwa family friend na kila kitu kinaenda sawa na ni mwanamke msafi na poa sana ila nikikumbuka yale matukio basi moyo wangu unakuwa mgumu sana kukubali masuala ya ndoa, nashindwa nini cha kufanya yaani kifupi sijui hatima yangu mbele kwenye masuala ya ndoa itakuwaje na sielew nifanye nini wajomba naombeni ushauri.

NAOMBA USHAURI NINI NIFANYE ILI NIPONE WAKUU NATESEKA SANA. 🙏🙏
..."ishini nao kwa akili..." Kaa nae kwa akili.
 
Usitafute tiba mkuu, hainaga kupona hio.

Ishi maisha yako hawa viumbe tumia tu ni disposable, akizingua na huyo ww tulia utapata pisi nyingine ya kuchapa
 
Da pole sana watu wanapata wapenzi wa malengo wanashindwa kuwathamini nawaonea wivu mie
 
Watoto 2000 mnamatizo sana....... Mnateswa sana na mapenzi
 
I got you bro...but why nisikague simu yake kuangalia vitu anavyofanya? Kwanini
Mimi kwa experience yangu naona kama hakuna mwaminifu, ila viwango vinatofautiana. Hapa kwenye kucheat nawainclude ambao wao hawacheat kwa kufanya mapenzi, ila wanakua na watu ambao wanawaita wachangamsha simu. Yaani wewe ukiwa busy, mwingine anatake over, kuongea nae ujinga ujinga, kutaniana, kutumiana picha lakini kufanya hakuna. Hao wapo na nina mifano hai.
Sasa kama umempata unaehisi hana shida na anaonesha kukupenda pia, basi usirudie kosa ulilofanya mwanzo, ie kumfanya ajione yeye ni wapekee hakuna mwingine zaidi yake. Madhaifu yapo kwa kila mtu, lakini mwanamke ambae yupo tayari kwa ajili yako huwa anashaurika na hujitahidi kupunguza weakness zake.
Kama ataonesha ni mwanamke sahihi kwako kwa kipindi ulichokiweka kumchunguza basi never ever go throu her phone. Bcause ukikutana na kitu kidogo tu, hutamvumilia considering your past experience...
 
Pole kwa matukio
Umeshasema vyeti uchwara, sasa unataka ushauri wa nini tena wakati hutaki ndoa? Marriagr is not a comfort zone, so is life in general. Nakushauri tu, kama huwezi maisha ya ndoa, achana nayo. Ila pia usije kurubuni mabinti na kuwaambukiza hofu zako na machungu yako
Nimekuelewa mjomba
 
Pole sana kijana

Acha kuwekeza kwa mwanamke bro

Jitaid uwekeze kwa ndugu zako wanunulie hata cherehani dada zako na dada wa ndugu zako
 
Back
Top Bottom