Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

Matarajio ya wanaume ni kuwa mwanamke hatobalika, na mwanamke Matarajio yake ni akubadilishe vile anataka.
Reverse hii narrative utashinda.
 
Hili ndo tatizo la jamii kuondoa mambo ya jando.

Kule moja ya somo tulikuwa tunafundishwa ni kwamba tunaoa kwa ajili ya kupata watoto, kuendeleza kizazi chako, kumbuka mwenye kubeba kizazi ni wewe.

Kingine ni kwamba mwanamke si ndugu yako, muda wowote mnaweza mkaachana, ila watoto ni ngumu kuwaacha, hata aondoke nao still hao ni wanao tu, they bear your name.

Sasa wanaume wa kizazi cha sasa mmekuwa soft soft, mnateseka na mapenzi, mnateseka na vitu vya kijinga. Mwanaume wewe ni free soul hata kama umeoa, kwanza kwenye unyago wanawake walikuwa wanaambiwa kabisa "MWANAUME HASHIBAGI MWANAMKE MMOJA".

Mwanaume unapaswa kuwa BANDIDU, usicheke na kima yeyote.

Sasa wewe endelea na ujinga wako wa kizungu hapo, utakufa kwa kihoro , utakufa vibaya wewe?
Madogo wameiga mapenzi ya kizungu, sasa yanawayesa vibaya mno
 
Hapo ndio ulifikia ukomo wa yeye kuwa simp,
Mwanamke alikuwa anamuona jamaa ni simp na ndio maana akamcheat..!

Na hapo huwa wanaomba msamaha si kwa kujutia walichokitrnda ..
Ila wanalia sababu ujinga wao umegundulika
They don’t regret shxt
Wanasema mwanamke hulia kuficha ukweli na kilimo cha kweli cha mwanamke ni kile huwa analia akiwa peke yake labda
 
Hapo ndio ulifikia ukomo wa yeye kuwa simp,
Mwanamke alikuwa anamuona jamaa ni simp na ndio maana akamcheat..!

Na hapo huwa wanaomba msamaha si kwa kujutia walichokitrnda ..
Ila wanalia sababu ujinga wao umegundulika
They don’t regret shxt
Ni kweli kabisa , msamaha wao sio wa majuto.
 
Wajomba!
Ambao hatujaingia kwenye ndoa please jitafakari mara 10 kabla hujavaa pete na kusaini vyeti uchwara.

Nimeathirika na tukio 1 ambalo kiukweli nimejitahidi sana kulitoa akilini ila mara zote nikikumbuka tu ni kama limetokea jana.

Ipo hivi mwaka fulani hapo nyuma nilikuwa na mwanamke niliyempatia promises zote za ndoa na kumuamini na kumtengeneza kuwa mke wa maisha yangu na familia yangu.

Najua kosa langu lilikuwa ni kumuaminisha kuwa yeye ndio chaguo langu pekee na hakuna mwingine, kifupi nilimpa uhakika wa ndoa na niliwekeza kwake, kosa la pili.

Alijiweka sawa kwenye mahusiano na mara zote alikuwa clean na msiri sana, kila kitu alikipangilia vilivyo hadi pale nilipomkamata anacheat na jamaa mwingine na bahati mbaya au nzuri nilianza kuona viashiria ila nikajipa muda na kumuacha wenda atajirekebisha, "kosa la tatu hilo."

Mwanamke alicheat hadi akapata mimba na kibaya rafiki yake ambaye alikuwa naye muda wote walifanya mpango akatoa ile mimba na wakati huo nilikuwa safarini kikazi basi alinidanganya kuwa anaumwa sana malaria,Amiba na mengine basi nikatuma pesa ya matibabu akaendelea kupona taratibu.

NILIMKAMATA VIPI?
wajomba, kuna siku simu yake iphone ilianguka chini ikazima ghafla nikiwa naye basi nikaipeleka kwa fundi kutengeneza, hakuwa na mashaka sababu kila kitu ameficha na sms zote huwa anafuta, simu iliwaka nikatoa lock then nikawa nacheki vitu normal tu hadi nilipoenda kwenye sms, sikuona kitu cha maana sana pale maana sms zilikuwa nyingi ila hazikuwa zikionesha mashaka.

Wakati naenda home nikapata wazo nipitie sms za rafiki yake ambaye yupo naye muda wote na wanaitana "Girlfriend" wakuu humo ndio nilikuta uchafu mwingi sana wakipeana details za mwana kuja kumkamia demu wangu kisha wampe muda jamaa then aje amkamue yule manzi mwingine...wakuu mimba ikaingia wakamuambia jamaa kisha wakaenda kuitoa kisiri sana bila mimi kujua.

Wajomba nilikuwa naendesha gari na AC kali sana ila nilijisi joto moja la hatari sana nikapaki pembeni kufikiria cha kufanya, wakuu nilifika kwangu nikampatia simu nikiwa normal tu sikuwa na shida ila siku hiyo nililala kama mpumbavu.

Kufupisha story.
Nilimkaushia sikumuambia lolote siku ile, nikasubiriq siku nimemtoa kwenda beach pahali ndio nikamuomba anieleze nini kilimfanya anifanyie ukatili ule, alilia sana akiomba msamaha, alichanganyikiwa pale kila mtu aliona kelele tu mwanamke akilia kama kuna msiba, haikuwa rahisi mimi kumbembeleza nilimuacha hadi akatulia mwenyew, nilimchukua tukarudi home akiwa hajielew na full misamaha, nikienda kazini simu zinakuwa nyingi sana za misamaha na kujutia alichofanya.

Nikampatia nafasi amrudie yule jamaa wakafanye zaidi kwa uhuru nisiwasumbue kwa namna yoyote ile.

Majuzi nimejipatia mwanamke kutoka kwa family friend na kila kitu kinaenda sawa na ni mwanamke msafi na poa sana ila nikikumbuka yale matukio basi moyo wangu unakuwa mgumu sana kukubali masuala ya ndoa, nashindwa nini cha kufanya yaani kifupi sijui hatima yangu mbele kwenye masuala ya ndoa itakuwaje na sielew nifanye nini wajomba naombeni ushauri.

NAOMBA USHAURI NINI NIFANYE ILI NIPONE WAKUU NATESEKA SANA. 🙏🙏
Wewe oa tuu kama siyo bikra ujue kuna wenzio wengi tuu na hujui kati yenu anamgawia nani bure na nani anamtoza pesa.
 
Ni kweli SIMP ni balaa ila sikuwa najua hilo, nilidhani nikifanya vizuri basi atatulia ila kumbe nilikuwa najipalilia makaa ya moto mgo goni
 
Kwanini unataka kuoa? Ukielewa hili baasi changamoto yako imekwisha. Kuna mtu humu alianzisha mada kuwa kuna sababu nyingi za kuoa na usioe bila kuwa na sababu. Sababu ndo inakupa aina ya mke unayemtaka. Ukiweza itafute hii mada.
Upo sahihi
 
Ni kweli SIMP ni balaa ila sikuwa najua hilo, nilidhani nikifanya vizuri basi atatulia ila kumbe nilikuwa najipalilia makaa ya moto mgo goni
Kuoa au kuolewa si lazima ila angalia sababu za kwanini usioe ,kama zinatija ...basi heshimu maamuzi yako bila kujali lolote
 
Ni kweli SIMP ni balaa ila sikuwa najua hilo, nilidhani nikifanya vizuri basi atatulia ila kumbe nilikuwa najipalilia makaa ya moto mgo goni
Katika somo la nini maana ya Kupenda na Yupi anastahili upendo, hili somo Mungu hufundisha kwa vitendo.
Kama hivo yani.

Haupo peke yako wengi wanapitia somo hili.

Ni heli ukafanye mapenzi na Mwanamke wa kawaida kimuonekano lakini asiwe na hila mbaya na wewe,
kuliko kutafuta uzuri wa sura na muonekano lakini ni Muharibifu mkubwa kwa ndani.

Ukichanganywa na tako tu pole yako
 
Mwanamke akishakuwa si open kwa anayofanya analeta vitu kama "Simu yako sigusi na yangu usigusi" basi huyo hachana nae atakusumbuwa tu
 
Back
Top Bottom