Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

Changamoto inakuja pale ambapo zaman magonjwa hayakuwepo kama sasa hiv..kwa hiyo jando ilikuwa ina nguvu...huwez niambia nizingatie jando kwamba mwanamke akichepukq nikaushe tu mwsho wa siku aniletee magonjwa na watot wasio wangu
Kumbe tupo pamoja, hawa watu wa jando wanajikuta hawajali na ndio wanaletewa magonjwa na watoto wasio wao wanaanza kupoga Yowe tu
 
Pona moyo kabla hujaingia mahusiano mapya. Hakikisha unapona.
 
Back
Top Bottom