Msaada plz nahitaji kucheka

Msaada plz nahitaji kucheka

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Wadau wa jumba hili mwenzenu nimepatwa na msongo wa mawazo najua kucheka inaweza kuwa tiba.kwahiyo nahitaji kuchekeshwa.
 
kwanza hilo jina lako ndo linaleta msongo wa kwanza wa mawazo. emancipate urself from mental slavery,none bt ursel can free ur mind.(unaujua huo wimbo?). ntarudi kuku-tickle,lol
 
nakusubiri ,
 
...For how long shall they kill our prophets while we stand aside and look....
 
ngoja nikutekenye kwa keyboard hadi ucheke.

husninyo bana ungeniona jinsi sura nilivyo ikunja hapo ndo ungeamini kwamba unakazi zaidi ya kutmia keybord. Ila ngoja nisubiri nione.
 
usinune bwana, utazeeka kabla ya umri.
 
ngoja nikutekenye kwa keyboard hadi ucheke.

husninyo bana ungeniona jinsi sura nilivyo ikunja hapo ndo ungeamini kwamba unakazi zaidi ya kutmia keybord. Ila ngoja nisubiri nione.
 
Chukuwa nazi uikalie.

ff hiyo dawa ya kienyeji? Hahahahaaaa! Dada yangu umenifurahisha ile mbaya thanks much.nimejikuta natafakari nazi namna gani sasa inakwenda kunichekesha.coz nimejenga picha kichwani jinsi nitakavyo mtuma binti yangu aniletee hiyo nazi na namna atakavyokuwa anashanga!
 
weka simu vibration then weka kwapani kisha nitakupigia..
 
hahahahah, hiki ni kichekesho tosha.lol

acha kabisaa nilijua huyu mama ni mkali kwenye mambo yetu sysyemu na cher demar.kumbe hata huku.weka mark hiyo siku ukipata tatizo kama hili dawa ndo hiyo F.FOX Katoa.
 
Back
Top Bottom