Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Oct 16, 2011 Thread starter #21 hayaka said: weka simu vibration then weka kwapani kisha nitakupigia.. Click to expand... teh!teh!jamani basi nimetoshaaaa.!!! Mmenitibu nimepo mkizidisha tiba mjue mnaenda kunivunja vunja kinanda changu(mbavu)
hayaka said: weka simu vibration then weka kwapani kisha nitakupigia.. Click to expand... teh!teh!jamani basi nimetoshaaaa.!!! Mmenitibu nimepo mkizidisha tiba mjue mnaenda kunivunja vunja kinanda changu(mbavu)
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Oct 16, 2011 #22 FaizaFoxy said: Chukuwa nazi uikalie. Click to expand... haaaaaaaaa...............maaaaaaaaaaaaaama
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Oct 16, 2011 Thread starter #23 Husninyo said: usinune bwana, utazeeka kabla ya umri. Click to expand... nitazeeka upesi! Husninyo acha kunitisha.maana nimesikia wachina hiyo dawa ya kujivua gamba baada ya kuanza kuzeeka bado hawajaipata.
Husninyo said: usinune bwana, utazeeka kabla ya umri. Click to expand... nitazeeka upesi! Husninyo acha kunitisha.maana nimesikia wachina hiyo dawa ya kujivua gamba baada ya kuanza kuzeeka bado hawajaipata.