I can make it, death is not a solution

I can make it, death is not a solution

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,905
Reaction score
3,717
Jana nilikuwa na msongo mkubwa wa mawazo hadi kufikia hatua ya kutaka kujiangamiza. Japokuwa wengi walidhani nilikuwa natania, ukweli ni kwamba nilikuwa serious.

Lakini asanteni sana, kwa kweli mlinifariji. Najua sasa ninaweza kushinda. Death is not a solution.
 
Pole sana 😢
Na hongera kwa uamzi ulichokua

Mwisho kabisa : nyakati ngumu hazidumu ila zina kikomo
Zinatuachia faida ya kutukomaza
Na mara nyingi hutuondelea watu wanafiki katika maisha yetu

Nb :hata usipojiua utakufa tu so hakuna haja ya kuharakisha msiba wako

Tulia choma nyama kunywa ka wine kama mnywaji then subiri siku yako ifike
 
Back
Top Bottom