Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

Dada weka kautulivu kidogo tu utapata uelekeo mzuri tu. Kuchagua samaki mmoja katika bahari sio kazi ndogo. Wanaume tuna kazi ngumu mno katika hili,kaacha wengi na huyo aliyetuma sms ni mmoja tu kati ya waliokuwa katika bahari.

Hebu jipige kifuani jiambie mimi ndo mchaguliwa na mliwa wa milele. Nikwambie ukweli ukijivuruga hapo jamaa hana cha kupoteza kwa sababu ana akiba ya kutosha kabisa,atavua samaki mwingine na wewe ulianziwa process ya kutolewa magamba utatupwa baharini ukapambane na wenzio.
Kikubwa ungea nae kiupole kwa hekima na busara na si kumsimanga sana utakuwa unaharibu mchezo mzima.

Kikubwa zaidi nikupe kasiri kadogo dada angu" ukipewa uume na kuwa mwanaume japo kwa wiki moja tu utaona tunavyopata shida na hii mikengere yetu". Mtuombee tu

Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅😅daah!kuna ushaur hata kama upo kwny maumivu makali kias gan unajikuta tu unqcheka,by the way ndo ukwl wenyew,ukiona wanalalamika ujue n ule msemo mama kasema nisiwatafute,ajipe moyo tu ana nafac kubwa kwa mchizi wetu
 
W
Ila wanaume Mungu anawaona jamani, me juzi yamenikuta kama yako.

Na sijui kashtukia kitu gani kila muda anataja ndoa tu me nam-zoom tu, sikubali sikatai nipo katikati maana nishajua siyo mume bora kwangu.
We ndo upo kwa hyo avatar?
 
Huwa kinachonifurahisha huk jf n kuwa kila mtu anaruhusiwa kushauri,yaan hata mim et naweza kushauri,like serious?nmegundua unaweza kuta hata mama yako yupo huk kaumizwa na baba yako wa kambo...ila kwa vile kila mtu n mshauri bac unakuta tu unamshauri mama kuwa mtafutie njembaa mwngine huku ukisahau kuwa kamcheat baba yako
 
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu, naombeni ushauri wenu katika hili maana hata sielewi nini cha kufanya Nina mpenz Wang nmeishi naye kwa miaka 4 sasa na mwezi wa 2 mwaka huu amepanga kupeleka mahari kwetu ili tufunge ndoa na nyumbani nimeshawapa taarifa kuwa kutakuwa na ugeni.

Cha kushangaza juzi usiku tumelala imeingia text kwenye cm yake ya mdada anamlalamikia kuwa yupo bize sana amemsusa hamjali Kama mwanzo kiufupi ilikuwa inamalalamiko kibao na ilionesha kuwa ni wapenzi.

Kwa usiku huo sikutaka kumwambia mpenzi wangu chochote nilichukua no za yule dada asubui nikampigia nikajitambulisha kuwa nimekuta text yake kwenye cm ya mme Wang kiukwel yule dada alishtuka akanambia kuwa mpenz Wangu alimtongoza na alimwambia hana mke na alikuwa anamleta hadi nyumban tunapoishi coz mm kuna kipindi nilisafiri mwezi mmoja.

Ila baada ya mda niliporud akawa anaenda naye gest kila akimwambia twende kwako akawa anamzungusha anamwambia kule kwangu Kuna mafundi wanapaka rangi kutakuwa na usumbufu, kiukweli niliumia sana sikuamini ninachokisikia nikamuuliza Kama ni kweli ameshakuleta hadi nyumbani ndani pakoje maana nilihisi labda ananidanganya coz sikuamin.

Kama mwanaume Wangu anaweza kuleta mwanamke mwingne kwenye kitanda ninacholala nae mm kiukweli huyu dada alinitajia kila kitu kilichopo ndani hadi rangi za mashuka sikuamini bdo nikamwambia njo kwangu akaja alipoingia ndani nikamuuliza ulivyoambiwa hana mke inamana hukuona vtu vyang vya kike humu ndani akanambia hii mikoba kwenye enga haikuwepo na viatu vyako kwenye stend sikuvikuta kwa maana hiyo inaonesha alivitoa akanambia pia na kabati la nguo alikuwa akijaribu kufungua lilikuwa limefungwa na funguo.

Baada ya hapo nilijarbu kuongea na mpenz Wangu akakataa kabisa kuwa hajafanya hivyo ila baada ya kumbana sana akakubali akaniomba msamaha sikumjibu hata Kama nimemsamehe nilimwambia kwa ulichonifanyia umeniumiza sana nitakufikiria toka hapo na maumivu makali sana kichwa kinaniuma sana sipati hata usingizi nimepoteza hisia naye kimapenzi nipo nae Ila Niko njia panda sielewi nifanyaje na nyumbani kwetu wanajua Kuna ugeni unaenda mwez wa 2 hapa sijui niachane naye au niendelee nae naombeni mnisaidie kuhusu ili jambo linaniumiza sana nahisi kuchanganyikiwa na mda alionipotezea

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka mwanaume ambaye hajawahi gusa mwanaume utampata wapi?
Nani aliyetoa bikra yako?
Je hujawai fanya matusi na mwanaume aliye kwenye mahusiano!
Je kila mwanaume akiwa na mwanamke mmoja, wengine wataponea wapi?!
Kama ni mmeo, huo ugeni ni wa nini?
 
Ila wanaume Mungu anawaona jamani, me juzi yamenikuta kama yako.

Na sijui kashtukia kitu gani kila muda anataja ndoa tu me nam-zoom tu, sikubali sikatai nipo katikati maana nishajua siyo mume bora kwangu.
Wanawake ni watu wa ajabu sana, akiwa chuo anafanya matusi na waume za watu na hata maprof.

Akishachumbiwa au akitaka kuolewa, anataka mume wa peke yake.
 
Pengine yeye hakuombi tgo, kwa kukuheshimu, kule anapewa, je uko tayari kumtimizia vyote?
 
Ni kwel wanaume asili yao kuchepuka Ila Mimi kinachoniumiza sana kumleta huku ndani ninakoishi naye yani kila nikiona hiki kitanda maumivu yanaanza moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kuwa na mme wa peke yako.
Nenda sayari nyingine.
Hapa duniani mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja hata akiwa ndani ya Ndoa
 
Kwani alivomleta ndani aliondoka na shuka au kitanda na kma jibu n noo basi tulia wew kwanza una bahat jamaa alikubal mm hata kwa sumu sikubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukimuacha hakuna huafadhali, wanaume wengi tupo hivyo, ni wazee wa kuchovya chovya kila kibuyu cha asali..


Wewe tulia nae huyo.. wanaume wote tunapenda chini.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ila wanaume Mungu anawaona jamani, me juzi yamenikuta kama yako.

Na sijui kashtukia kitu gani kila muda anataja ndoa tu me nam-zoom tu, sikubali sikatai nipo katikati maana nishajua siyo mume bora kwangu.

Njoo kwangu, nina sifa kama za yesu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanawake ni watu wa ajabu sana, akiwa chuo anafanya matusi na waume za watu na hata maprof.

Akishachumbiwa au akitaka kuolewa, anataka mume wa peke yake.
Ni kweli kabisa, na ndy maana tunajifunza kwa walio tutangulia ili tusije anguka sisi.
 
Back
Top Bottom