Msaada: Nimuingie vipi huyu dada?

Msaada: Nimuingie vipi huyu dada?

Wakuu katika kuzunguka huku na kule nilivutiwa na huyu mdada, sikuwa na papara baada ya utafiti wangu mdogo nimegundua ni mtu mwenye busara na pia anajiheshimu!

Sasa nimejitahidi mara kadhaa kuonana naye nikachemsha, na hata baada ya kuonana naye nimemuomba namba akakataa nikaona isiwe kesi, maana kupata namba yake sishindwi!!

Sasa nimepata namba yake mahali, na bado sijamtafuta maana nahofia kuharibu, uzoefu unaniambia hivi, kuchukua namba ya mtu bila ridhaa yake na isitoshe mwenyewe aligoma kutoa, mission huwa zinabuma.. Yan kushindwa kueleweka ni kukubwa kuliko kueleweka!!

Sasa wadau nipeni mbinu, maana nia ipo kama ataelewa lengo ni kumuweka ndani awe mke!!
M bip,
 
Sifa mojawapo ya mwanaume ni uwezo wa kushawishi kitu au mtu..

Kuwa presentable mbele yake bila kuzunguka zunguka..

Akigoma usiweke bifu.. kanyaga "klachi" change gear timua vumbi
 
Oyo mbona na hisi kama mnampigia hesabu shemeji yenu... Hebu acheni hizo mie nsha mwahi na hio toughness unaoina ni kwa vile nimemkaba kila kona
 
Kama hata namba anakunyima ujue hata utakapofanikiwa kuwa naye atakusumbua mbele ya safari, otherwise labda km unataka kupiga na kusepa
 
Hapo kwenye mpesa lazima aingie tu line nguvu ya pesa kubwa sana
Sio wote lakini wanaangalia pesa mkuu, usimpotoshe mshikaji maana ndio kwanza ataona km amemchukulia malaya anayeuza mbunye.
 
Mkuu ungekuwa unafikria kutafuta pesa hivyo sasa hv ungekuwa mbali sana. Mbunye kitu gani bwana? Ziko kibao.
 
Achana nae huyo ana mtu wake mwingine, jiongeze.

Sio kila mwanamke umuonae na kuongea nae hayuko kwenye mahusiano.
 
Achana nae huyo ana mtu wake mwingine, jiongeze.

Sio kila mwanamke umuonae na kuongea nae hayuko kwenye mahusiano.
Hata huyo aliyenae naye alimkuta kwenye mahusiano na mwingine. Love is cycle, mambo ya tupo wangapi hayo.
 
Mkuu huku kila mtu ana cv yake ya kuaproach sasa wewe sijui utaaply ipi
 
Mooonyeshe siku au mtajire no yake
Mwabie adi akuruhusu ndo utampigia , then baada ya muda atakuona mvumilivu
Then mpigie mwambie uvumilivu umekushinda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom